-
Sharti 'lisilo la kawaida' la India la kufanya mazungumzo na Pakistan
Dec 03, 2018 04:13Mkuu wa majeshi ya India ameitaka Pakistan iwe na utawala wa kisekula kama sharti la New Delhi kufanya mazungumzo ya amani na kupanua ushirikiano wake na Islamabad.
-
Iran, Uturuki, Russia na India zaitisha kikao Ankara kuipiga teke sarafu ya dola ya Marekani
Oct 19, 2018 21:39Kikao cha "Changamoto na Fursa za Biashara kwa Fedha za Taifa" kilifanyika jana Ijumaa mjini Ankara Uturuki na kushirikisha maafisa na wataalamu kutoka nchi za Iran, Uturuki, Russia na India.
-
Warohingya: Bora tuuliwe India kuliko kurejeshwa Myanmar
Oct 15, 2018 10:16Wakimbizi Waislamu wa jamii ya Rohingya wanaoishi kambini nchini India wamesema afadhali wauawe wakiwa ndani ya nchi hiyo badala ya kurejeshwa nchini kwao Myanmar.
-
Sisitizo la Russia na India la kutekelezwa kikamilifu mapatano ya nyuklia ya JCPOA
Oct 07, 2018 23:03India na Russia wakiwa wanachama wa kundi la BRICS ambao wanataka mabadiliko katika muundo wa kimataifa utakao kuwa mbali na udhibiti wa Magharibi hususan Marekani, zimetangaza tena uungaji mkono wao kwa mapatano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Hofu ya UN juu ya kufukuzwa India wakimbizi wa Rohingya
Oct 06, 2018 00:18Umoja wa Mataifa umeonesha kutiwa wasiwasi mkubwa na hatua ya India ya kuwafukuza wakimbizi Waislamu wa Rohingya na kuwarejesha nchini Myanmar.
-
Safari ya Putin nchini India, mapambano ya Moscow na New Delhi dhidi ya vikwazo vya Marekani
Oct 05, 2018 03:07Russia na India zimeimarisha zaidi uhusiano wao katika nyanja mbalimbali za kiuchumi, kijeshi na silaha za nyuklia katika kipindi cha baada ya Vita Baridi na wakati huo huo zikiwa wanachama wa kundi la Brics, zinafnya jitihada za kupanua zaidi ushirikiano wa pande mbili.
-
India yaamua kuwafukuza wakimbizi Waislamu wa Rohingya
Sep 28, 2018 00:53Waziri wa Mambo ya Ndani wa India amesema kuwa serikali ya New Delhi imeamua kuwaondoa wakimbizi Waislamu wa Rohingya waliokimbilia nchini humo.
-
Basi labingiria bondeni na kuua watu 43 nchini India
Sep 11, 2018 09:39Kwa akali watu 43 wamepoteza maisha huku wengine kadhaa wakijeruhiwa baada ya basi la abiria kubingiria kwenye bonde, katika wilaya ya Jagtial kusini mwa India.
-
India: Hatutoacha kununua mafuta ya Iran licha ya Marekani kututaka tuache
Aug 30, 2018 11:24Afisa mmoja wa ngazi ya juu nchini India amesema kuwa, serikali ya nchi hiyo itaendelea kununua mafuta ya Iran.
-
India: Tunanunua mafuta ya Iran kwa maslahi yetu ya kitaifa sio ya Marekani
Jul 09, 2018 09:08Waziri wa Mafuta wa India sambamba na kuelezea umuhimu wa kuendelea kununua mafuta ya Iran licha ya tishio la vikwazo vya Marekani, amesema kuwa ununuzi wa mafuta hayo unatokana na maslahi ya kitaifa ya India na sio ya Marekani.