-
India: Hatutafuata agizo la Marekani la kuiwekea vikwazo Iran
May 29, 2018 03:12Waziri wa Mambo ya Nje wa India amesema kuwa, nchi yake haitofuata maagizo ya Marekani ya kuiwekea vikwazo Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Waislamu India wazidi kuwekewa vizuizi vya kutekeleza nguzo ya Sala
May 08, 2018 12:26Katika mwendelezo wa mpango wa kuzidi kuwabana Waislamu nchini India na kuwawekea mipaka ya uhuru wa kuabudu, serikali ya jimbo la Haryana imetangaza kuwa ni marufuku Waislamu kusali katika maeneo mengine ghairi ya misikitini.
-
Mvua, radi na vimbunga vyaua watu 143 nchini India
May 04, 2018 02:52Wimbi la vimbunga vilivyoikumba India wiki hii limesababisha vifo vya watu wasiopungua 143, huku maafisa wa serikali wakitahadharisha kuwa yumkini idadi hiyo ikaongezeka.
-
Waziri wa zamani India: Ni kweli chama cha Kongresi kimeua maelfu ya Waislamu
Apr 25, 2018 09:47Waziri wa zamani wa mambo ya nje nchini India na mjumbe wa chama cha Kongresi amekiri kwamba chama hicho kimehusika na mauaji ya maelfu ya Waislamu na wafuasi wa dini nyingine ndani ya taifa hilo.
-
Watu 20 wauawa katika mapigano ya jeshi la India na wanaotaka kujitenga Kashmir
Apr 02, 2018 02:53Watu wasiopungua 20 wamepoteza maisha katika eneo la Kashmir linalodhibitiwa na India kufuatia mapigano makali baina ya wanajeshi wa India na wanamgambo wanaopigania kujitenga eneo hilo linalozozaniwa la Himalaya.
-
India: Raia wetu 39 waliotekwa na Daesh nchini Iraq, waliuawa na magaidi hao
Mar 21, 2018 23:18Waziri wa Mambo ya Nje wa India amethibitisha habari ya kuuawa raia 39 wa nchi hiyo waliotekwa na wanachama wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) nchini Iraq miaka michache iliyopita.
-
Zarif: Iran ndiyo nchi yenye amani zaidi katika Mashariki ya Kati
Feb 17, 2018 02:54Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ndiyo nchi yenye amani zaidi na yenye nguvu kubwa zaidi katika eneo la Mashariki ya Kati licha ya mashinikizo yote ya kimataifa.
-
Rais Rouhani asisitiza umuhimu wa umoja wa Waislamu dhidi ya maadui
Feb 16, 2018 10:25Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya umuhimu wa umoja na mshikamano miongoni mwa Waislamu kote duniani, mbele ya utawala wa Kizayuni wa Israel na maadui wengine wa Uislamu na Waislamu.
-
Rais Rouhani asisitiza umuhimu wa umoja wa Waislamu dhidi ya maadui
Feb 16, 2018 10:24Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya umuhimu wa umoja na mshikamano miongoni mwa Waislamu kote duniani, mbele ya utawala wa Kizayuni wa Israel na maadui wengine wa Uislamu na Waislamu.
-
Waislamu India waandamana kuilaani serikali kwa kuwatelekeza mbele ya hujuma za Wahindu
Feb 15, 2018 00:33Waislamu nchini India wamefanya maandamano makubwa kulaani siasa mbovu za serikali kwa kushindwa kuzuia mashambulizi ya Wahindu dhidi yao.