Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

India

  • Waigizaji maarufu wa Bollywood waliomsusa Netanyahu India, wazidi kupongezwa duniani

    Waigizaji maarufu wa Bollywood waliomsusa Netanyahu India, wazidi kupongezwa duniani

    Jan 24, 2018 01:23

    Duru mbalimbali duniani, zimeendelea kuwapongeza wacheza filamu mashuhuri watatu wa Tasnia ya Filamu ya India 'Bollywood' kwa hatua yao ya kususa kuonana na Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel wakati alipotembelea India hivi karibuni.

  • Bandera za Israel zachomwa moto kumkaribisha Netanyahu India

    Bandera za Israel zachomwa moto kumkaribisha Netanyahu India

    Jan 14, 2018 04:32

    Maandamano makubwa yameshuhudiwa katika mji mkuu wa India, New Delhi, kabla ya kuanza safari ya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu katika nchi hiyo.

  • Russia yaionya Marekani kuhusu kuchochea mgogoro wa Korea

    Russia yaionya Marekani kuhusu kuchochea mgogoro wa Korea

    Dec 11, 2017 23:06

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ameionya Marekani kwa siasa zake za kuchochea na kushadidisha mgogoro wa Rasi ya Korea.

  • Radiamali ya India baada ya kugunduliwa kaburi la umati nchini Myanmar

    Radiamali ya India baada ya kugunduliwa kaburi la umati nchini Myanmar

    Oct 01, 2017 02:37

    Baada ya kutangazwa habari ya kugunduliwa kaburi la umati lenye idadi kubwa ya maiti za Waislamu wa jamii ya Rohingya katika mkoa wa Rakhine wa magharibi mwa Myanmar, serikali ya India imeonesha kusikitishwa sana na uhalifu huo na kutaka kupandishwa kizimbani wahalifu wote waliofanya jinai hiyo ya kutisha.

  • India kuwafukuza wakimbizi Waislamu wa Myanmar wapatao 40,000

    India kuwafukuza wakimbizi Waislamu wa Myanmar wapatao 40,000

    Sep 17, 2017 03:07

    Serikali ya India imewasilisha ombi katika Mahakama ya Juu ya nchi hiyo la kutaka kutimuliwa makumi ya maelfu ya wakimbizi Waislamu wa kabila la Rohingya, waliokimbilia usalama wao nchini humo kutokana na kushadidi mashambulizi ya jeshi la Myanmar likishirikiana na Mabudha wenye misimamo mikali dhidi yao.

  • Watu 28 wauawa India, katika machafuko ya kupinga kuhukumiwa kiongozi wa Kihindu aliyebaka

    Watu 28 wauawa India, katika machafuko ya kupinga kuhukumiwa kiongozi wa Kihindu aliyebaka

    Aug 25, 2017 23:29

    Polisi katika jimbo la Haryana nchini India imetangaza kuwa, kwa akali watu 28 wameuawa na wengine 200 kujeruhiwa vibaya katika mapigano yaliyotokea Ijumaa ya jana katika majimbo mawili ya Haryana na Punjab kaskazini mwa nchi hiyo.

  • Watoto 34 waaga dunia hospitalini India kwa kukosa hewa

    Watoto 34 waaga dunia hospitalini India kwa kukosa hewa

    Aug 12, 2017 03:26

    Watoto zaidi ya 30 wameripotiwa kupoteza maisha wakiwa katika hospitali moja ya serikali kaskazini mwa India, kwa kukosa hewa ya oksijeni ndani ya masaa 48.

  • Takwa la kuachiliwa huru Imam wa Msikiti wa Ijumaa wa Muzaffarpur nchini India

    Takwa la kuachiliwa huru Imam wa Msikiti wa Ijumaa wa Muzaffarpur nchini India

    Jul 29, 2017 08:04

    Jumuiya ya Maimamu wa India imetaka kuachiliwa huru mara moja Maulana Muhammad Kadhim Shabib, Imam wa Msikiti wa Ijumaa wa Mashia katika mji wa Muzaffarpur katika jimbo la Bihar nchini India.

  • Watu 120 wafariki dunia baada ya kusombwa na mafuriko India

    Watu 120 wafariki dunia baada ya kusombwa na mafuriko India

    Jul 28, 2017 09:32

    Zaidi ya watu 120 wanaripotiwa kufariki dunia nchini India kufuatia janga la mafuriko yaliyotokea magharibi mwa nchi hiyo.

  • Kulaaniwa  mashambulizi dhidi ya Waislamu nchini India

    Kulaaniwa mashambulizi dhidi ya Waislamu nchini India

    Jul 21, 2017 03:49

    Waziri Anayehusika na Masuala ya Jamii ya Walio Wachache katika serikali ya India amelaani mashambulizi dhidi ya Waislamu na jamii nyingine za raia wachache nchini humo na kueleza kuwa vitendo vya utumiaji mabavu na ukandamizaji dhidi ya jamii za wachache vinavyofanywa na makundi yenye misimamo mikali ni njama zenye lengo la kuzuia maendeleo ya India.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS