-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran azungumza na wenzake huku mvutano na Marekani ukitokota
May 18, 2026 12:08Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amefanya mazungumzo ya simu kwa nyakati tofauti na mawaziri wenzake wa Ufaransa, Qatar, Uturuki, na Korea Kusini, siku ya Jumapili, ili kutathmini mahusiano ya pande mbili, matukio ya kieneo na mchakato wa kidiplomasia unaoendelea.
-
FIFA yafanya mazungumzo “chanya” na Iran Kabla ya Kombe la Dunia 2026
May 18, 2026 04:37Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limesema mazungumzo ya hivi karibuni na maafisa wa soka wa Iran yalikuwa chanya na yenye kujenga, huku maandalizi ya kuelekea Kombe la Dunia la 2026 yakiendelea.
-
Spika Qalibaf: Muqawama wa kihistoria wa Iran unaongeza kasi ya mabadiliko ya kimataifa ambayo hayajawahi kutokea
May 17, 2026 11:25Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) Mohammad Baqir Qalibaf amesema kuwa muqawama wa kishujaa wa taifa la Iran kwa muda wa siku 70 umekuwa msukumo katika kuharakisha mageuzi ambayo hayajaonekana katika karne moja, na hivyo kuashiria mapambazuko ya mfumo mpya wa kambi kadhaa.
-
Mshauri wa ngazi ya juu wa Kiongozi Muadhamu: Uvumilivu haupo siku zote/ Azitahadharisha nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi
May 17, 2026 11:10Mshauri wa ngazi ya juu wa Kiongozi Muadhamu: Uvumilivu haupo siku zote/ Azitahadharisha nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi
-
Tehran yaikosoa Magharibi kwa kutoweza kutatua migogoro inayojitengenezea yenyewe
May 17, 2026 02:45Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amemsihi mwandishi anayepinga ukoloni, Aimé Césaire, kulaani uozo wa maadili, unafiki na kushindwa kwa nchi za Magharibi kukabiliana na migogoro iliyotokana na vita na udhibiti wao.
-
Sheikh Qassim: Imamu Khamenei alirejesha Umma kwenye Uislamu halisi
May 16, 2026 02:52Mwanazuoni mkuu wa Bahrain, Ayatullah Sheikh Isa Qassim amemsifu Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu aliyeuawa shahidi, Ayatullah Imam Ali Khamenei, kama "mtu aliyerudisha Umma kwenye Uislamu halisi."
-
Araqchi: Ubadilishanaji wa teknolojia na rasilimali watu ufanyike bila vikwazo kati ya wanachama wa BRICS
May 16, 2026 02:44Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika Mkutano wa Pili wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa BRICS kwamba: Ubadilishanaji wa teknolojia na rasilimali watu unapaswa kufanywa bila vikwazo miongoni mwa wanachama wa BRICS.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran awaonya maadui, mkijaribu mtashindwa tena
May 15, 2026 09:48Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi, amezionya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusu kuanzisha tena hatua mpya za kijeshi dhidi ya Iran, akisema kuwa makabiliano ya awali yalishindwa kufikia malengo yaliyokusudiwa, na kwamba jaribio lolote la baadaye litakuwa na matokeo yaleyale.
-
Qalibaf: Maigizo ya Marekani Hormuz yanaweza kusababisha mgogoro mpya wa kifedha duniani
May 15, 2026 09:45Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge), Mohammad-Baqer Qalibaf, ameonya kuwa juhudi za Marekani za kuendeleza mvutano wa kijeshi karibu na Mlango Bahari wa Hormuz zinaweza kusababisha mgogoro mpya wa kifedha duniani, wakati ambapo deni la taifa la Marekani tayari limefikia kiwango kikubwa cha dola trilioni 39.
-
Satelaiti tatu za Iran kurushwa katika anga za mbali karibuni
May 15, 2026 09:33Shirika la Anga za Mbali la Iran (ISA) limetangaza kwamba satelaiti tatu zilizotengenezwa ndani ya nchi zimeingia katika hatua ya mwisho ya majaribio, ishara kwamba mpango wa anga wa kiraia wa nchi hii unastawi kwa kasi licha ya mashinikizo kutoka nchi za Magharibi na utawala wa Kizayuni.