Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Mufti Mkuu wa Russia: Umma wa Kiislamu unapaswa kusimama pamoja na Iran dhidi ya njama za shetani

    Mufti Mkuu wa Russia: Umma wa Kiislamu unapaswa kusimama pamoja na Iran dhidi ya njama za shetani

    May 02, 2026 07:35

    Mufti Mkuu na Mkuu wa Idara ya Masuala ya Kidini ya Waislamu wa Russia ameeleza kuwa, Umma wa Kiislamu unapaswa kusimama pamoja na Iran dhidi ya njama za Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel na akasema: "Iwapo Waislamu watakuwa na umoja na mshikamano, kambi ya shetani haiwezi kamwe kurudia uchokozi dhidi ya Gaza, Syria, Iran na Lebanon."

  • Mbunge wa Kongresi: Ni mwehu anayedai Marekani imeshinda vita dhidi ya Iran

    Mbunge wa Kongresi: Ni mwehu anayedai Marekani imeshinda vita dhidi ya Iran

    May 02, 2026 07:25

    Mwakilishi wa cha cha Democratic wa California katika Kongresi ya Marekani, Sara Jacobs, amemkosoa vikali Waziri wa Vita wa nchi hiyo, Pete Hegseth kwa kutangaza ushindi dhidi ya Iran, akitaja madai hayo kuwa ni udanganyifu.

  • Mipaka yetu ni mirefu kuliko kuta mbili kote Marekani: Spika Qalibaf akejeli mzingiro wa Marekani

    Mipaka yetu ni mirefu kuliko kuta mbili kote Marekani: Spika Qalibaf akejeli mzingiro wa Marekani

    May 02, 2026 07:23

    Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Baqer Qalibaf amekejeli mzingiro wa jeshi la majini la Marekani dhidi ya Iran, akieleza kuwa mipaka mirefu ya nchi hiyo inabatilisha jaribio lolote la kuizingira Jamhuri ya Kiislamu.

  • IRGC: Manowari za Marekani zitateketea ikiwa Iran itashambuliwa tena

    IRGC: Manowari za Marekani zitateketea ikiwa Iran itashambuliwa tena

    May 01, 2026 08:13

    Kamanda wa Kikosi cha Anga cha Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC), Brigedia Jenerali Seyyed Majid Mousavi, amesema Iran itajibu uchokozi wowote wa adui kwa mashambulizi ya muda mrefu na yenye kuumiza, akibainisha kuwa meli za kivita za Marekani zitapata hatima sawa na vituo vya kijeshi vya Marekani katika eneo la Asia Magharibi.

  • Rais wa Iran: Mzingiro wa kijeshi baharini ni tishio kwa amani ya dunia

    Rais wa Iran: Mzingiro wa kijeshi baharini ni tishio kwa amani ya dunia

    May 01, 2026 08:04

    Rais wa Iran: Mzingiro wa kijeshi baharini ni tishio kwa amani ya dunia

  • Kiongozi Muadhamu: Iran itaweka “kanuni mpya za kisheria” katika Mlango wa Bahari wa Hormuz

    Kiongozi Muadhamu: Iran itaweka “kanuni mpya za kisheria” katika Mlango wa Bahari wa Hormuz

    Apr 30, 2026 13:59

    Ayatullah Seyyed Mojtaba Khamenei, Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, ametangaza mwanzo wa “sura mpya” kwa Mlango Bahari wa Hormuz, njia ya kimkakati ya baharini.

  • Mkuu wa Jeshi la Wanamaji la Iran: Wamarekani wanaogopa silaha yetu mpya

    Mkuu wa Jeshi la Wanamaji la Iran: Wamarekani wanaogopa silaha yetu mpya

    Apr 30, 2026 10:57

    Kamanda wa Jeshi la Wanamaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amesema kwamba majeshi ya Iran yameufunga Mlango Bahari wa Hormuz kutoka Bahari ya Arabia, akisisitiza kwamba: Adui atakutana na silaha yetu ambayo anaiogopa sana.

  • Qalibaf ajibu madai ya Trump na Waziri wa Fedha wa US

    Qalibaf ajibu madai ya Trump na Waziri wa Fedha wa US

    Apr 30, 2026 10:21

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amejibu madai ya Rais wa Marekani na majigambo ya Waziri wa Fedha wa utawala huo wa kigaidi kupitia ujumbe uliotumwa katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa X.

  • Iran yaitaka ICRC kufuatilia kisheria ukiukwaji wa haki za binadamu katika vita vya siku 40

    Iran yaitaka ICRC kufuatilia kisheria ukiukwaji wa haki za binadamu katika vita vya siku 40

    Apr 30, 2026 08:12

    Mkuu wa Jumuiya ya Hilali Nyekundu ya Iran (IRCS), katika kikao na Rais wa Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu (ICRC), ameitaka taasisi hiyo ya kimataifa kuiunga mkono Jumuiya ya Hilali Nyekundu na wananchi wa Iran katika kufuatilia kisheria ukiukwaji wa haki za kibinadamu uliofanyika katika vita vya siku 40 vya Marekani na Israel dhidi ya nchi hii.

  • Afisa wa Hizbullah: Mapambano yataendelea hadi ukombozi kamili wa ardhi ya Lebanon

    Afisa wa Hizbullah: Mapambano yataendelea hadi ukombozi kamili wa ardhi ya Lebanon

    Apr 30, 2026 07:42

    Makamu wa Mwenyekiti wa Baraza la Kisiasa la harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza msimamo wa msingi wa harakati hiyo kuhusu uvamizi wa utawala wa Kizayuni wa Israel na kusema kuwa Muqawama na mapambano yataendelea hadi ardhi yote ya nchi hiyo itakapokombolewa kikamilifu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS