Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Kukiri Washirika wa Marekani Kwamba Nchi Hiyo Imeshindwa Katika Vita Dhidi ya Iran

    Kukiri Washirika wa Marekani Kwamba Nchi Hiyo Imeshindwa Katika Vita Dhidi ya Iran

    Apr 30, 2026 04:31

    Baada ya kupita takribani miezi miwili tangu Marekani na utawala wa kizayuni zilipoanzisha uvamizi wa kijeshi dhidi ya Iran, wakosoaji wa sera za kushupalia vita za Trump katika kila pembe ya dunia wanaendelea kukiri na kutamka kwa uwazi zaidi kwamba Marekani imeshindwa katika vita hivyo.

  • Wizara ya Ulinzi ya Iran: Marekani haiwezi tena kulazimisha sera zake kwa mataifa huru

    Wizara ya Ulinzi ya Iran: Marekani haiwezi tena kulazimisha sera zake kwa mataifa huru

    Apr 29, 2026 09:02

    Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Iran amesema kuwa Marekani haina tena uwezo wa kulazimisha sera zake kwa mataifa huru, akiongeza kuwa hali hiyo sasa imejidhihirisha wazi duniani kupitia ustahimilivu wa wananchi wa Iran pamoja na vikosi vyake vya ulinzi.

  • Je, Marekani Inao Utayari wa Kuachana na Sera na Ndoto Yake ya Kuipigisha Magoti Iran?

    Je, Marekani Inao Utayari wa Kuachana na Sera na Ndoto Yake ya Kuipigisha Magoti Iran?

    Apr 29, 2026 03:38

    Jake Sullivan, mshauri wa usalama wa taifa wa Marekani katika serikali ya Joe Biden, ametoa taswira wadhiha na ya wazi ya sifa maalumu za mwenendo wa Iran katika mazungumzo ambayo inaweza kuwa ramani ya njia ya kuinasua serikali ya Marekani kwenye mkwamo ilionasa ndani yake hivi sasa. Sullivan ametoa taswira hiyo katika mahojiano na jarida la Foreign Affairs.

  • New York Times: Trump ndiye rais mbaya zaidi katika historia ya Marekani; Amekwama katika kinamasi cha Iran

    New York Times: Trump ndiye rais mbaya zaidi katika historia ya Marekani; Amekwama katika kinamasi cha Iran

    Apr 28, 2026 09:37

    Gazeti la Kimarekani la New York Times limemtaja Donald Trump kuwa ndiye rais mbaya zaidi katika historia ya Marekani.

  • Duru za Magharibi: Iran imeanza

    Duru za Magharibi: Iran imeanza "uhandisi kinyume wa bunker-buster" na silaha za kisasa za Marekani

    Apr 27, 2026 12:54

    Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini (IRGC) limetangaza kuwa limegundua makombora 15 ya Marekani ambayo hayakulipuka katika jimbo la Hormozgan kusini mwa Iran, na maelfu ya mabomu katika jimbo la kaskazini la Zanjan, chini ya mwezi mmoja baada ya uvamizi wa Marekani na Israel dhidi ya Iran kusitishwa.

  • Sultan wa Oman akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran

    Sultan wa Oman akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran

    Apr 26, 2026 11:29

    Sultan wa Oman Haitham bin Tariq amemkaribisha Sayyid Abbas Araghchi, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, katika Kasri la Al-Barakah mjini Muscat, mapema Jumapili.

  • Iran yamkamata jasusi mkongwe wa Mossad na magaidi katika operesheni za kitaifa

    Iran yamkamata jasusi mkongwe wa Mossad na magaidi katika operesheni za kitaifa

    Apr 26, 2026 11:19

    Wizara ya Usalama wa Taifa Iran imetangaza kukamatwa kwa jasusi “mzoefu” aliyekuwa akifanya kazi kwa niaba ya utawala wa Kizayuni wa Israel, pamoja na wanachama 15 wa makundi ya kigaidi ya makundi ya wanaotaka kujitenga, kufuatia operesheni zilizofanyika katika mikoa mbalimbali nchini

  • Rais Pezeshkian: Iran haitaingia katika mazungumzo chini ya mashinikizo, vitisho na mzingiro

    Rais Pezeshkian: Iran haitaingia katika mazungumzo chini ya mashinikizo, vitisho na mzingiro

    Apr 26, 2026 09:34

    Rais Masoud Pezeshkian amekosoa utata na mgongano unaoshuhudiwa kati ya mbinu za mashinikizo zinazotumiwa na Marekani dhidi ya Iran na kile kinachotajwa kuwa ni nia yake ya kushiriki katika mchakato wa kidiplomasia na Jamhuri ya Kiislamu.

  • Sheikh Zakzaky: Jina la kiongozi aliyeuawa shahidi wa Iran limekuwa membo ya mapambano

    Sheikh Zakzaky: Jina la kiongozi aliyeuawa shahidi wa Iran limekuwa membo ya mapambano

    Apr 26, 2026 09:23

    Sheikh Ibrahim Zakzaky, kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria, amemtaja Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, kiongozi aliyeuawa shahidi wa Iran, kuwa ni nembo mapambano, imani na kusimama kidete.

  • Saudi Arabia yatarajia kuwapokea kwa ukarimu Wairani wanaoshiriki ibada Hija

    Saudi Arabia yatarajia kuwapokea kwa ukarimu Wairani wanaoshiriki ibada Hija

    Apr 25, 2026 09:34

    Saudi Arabia imetangaza kuwa imejiandaa kikamilifu kwa msimu wa Hija na inasubiri kwa shauku kuwasili kwa waumini wa Iran wanaoshiriki katika ibada ya Hija Iran, baada ya kufanya maandalizi yote muhimu ili kuhakikisha wanatekeleza ibada zao kwa usalama na faraja.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS