-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran akutana na viongozi wa Pakistan jijini Islamabad
Apr 25, 2026 09:30Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Abbas Araqchi, amefika katika mji wa Islamabad, Pakistan na kufanya mazungumzo na viongozi wa ngazi za juu nchini humo.
-
Kiongozi Muadhamu: Umoja wa Wairani umetoa pigo kubwa kwa safu za adui
Apr 25, 2026 06:03Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei, amepongeza athari kubwa ya umoja wa kitaifa, akisema mshikamano wa wananchi wa Iran umevuruga kwa kiasi kikubwa safu za maadui.
-
Viongozi wa Iran wamwambia Trump: Hatuna watu wenye msimamo mkali na wenye msimamo wa wastani; sote ni Wairani na wanamapinduzi
Apr 25, 2026 05:53Wakuu wa Mihimili Mitatu ya Iran wamejibu madai ya uongo ya Rais Donald Trump Marekani kwamba kuna mgawanyiko ndani ya nchi na kusema: Hatuna watu wenye msimamo mkali na wenye msimamo wa wastani; sote ni Wairani na wanamapinduzi.
-
Papa Leo aendelea kukosoa vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran
Apr 25, 2026 05:15Papa Leo wa Kumi na Nne, kiongozi wa Wakatoliki duniani, ameendelea kukosoaji vikali sera za kuchochea vita za Donald Trump, Rais wa Marekani, akiwa ziarani barani Afrika na kwa mara nyingine amekemea vita na mashambulizi ya nchi hiyo ikishirikiana na utawala haramu wa Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Utafiti wa IRIB: Wairani wengi wanaunga mkono msimamo wa mapambano dhidi ya Marekani na Israel
Apr 25, 2026 04:34Baada ya vita vya siku 40 vya muungano wa Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Iran, utafiti wa kitaifa uliofanywa na Kituo cha Utafiti cha Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) umeonyesha kuendelea kusimama kidete kwa wananchi katika kuunga mkono vikosi vya ulinzi, mshikamano wa kitaifa na azma madhubuti ya kulinda uwezo wa nchi wa makombora na miundombinu ya kiulinzi.
-
Iran yaonya kuhusu mgogoro wa chakula duniani kutokana na vita vya kigaidi vya Marekani
Apr 25, 2026 04:25Waziri wa Kilimo wa Iran, Gholamreza Nouri, amesema kuwa mashambulizi na vitendo vya uchokozi vya Marekani vina madhara makubwa kwa usalama wa chakula duniani, na vinatoa kikwazo kikubwa katika kufanikisha lengo la “kutokomeza njaa.”
-
Vipi IRGC Imefikia Kuwa na Nguvu na Uwezo Unaoshuhudiwa Hivi Sasa?
Apr 23, 2026 19:05Maadhimisho ya mwaka huu ya kutimia miaka 48 ya kuasisiwa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC yametoa mguso zaidi katika duru za kisiasa na za vyombo vya habari kuliko ilivyowahi kushuhudiwa katika maadhimisho ya miaka iliyopita.
-
Iran Yalalamikia Matumizi Mabaya ya Ardhi na Anga ya Nchi 5 na Marekani
Apr 23, 2026 10:56Amir Saeed Iravani, balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa, katika barua aliyomwandikia Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Baraza la Usalama, ametoa malalamiko makali kuhusu matumizi mabaya ya Marekani ya ardhi na anga ya nchi tano za eneo katika hujuma za kijeshi dhidi ya Iran. Nchi hizo ambazo zimeafiki ardhi zao kutumiwa kuishambulia Iran ni pamoja na Qatar, Kuwait, Bahrain, Falme za Kiarabu (UAE) na Saudi Arabia.
-
Araqchi: Mashambulizi dhidi ya Iran ni chanzo cha ukosefu wa usalama katika Ghuba ya Uajemi
Apr 23, 2026 09:35Mwakilishi Maalumu wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Korea Kusini, ambaye aliwasili Tehran kwa ajili ya mashauriano na viongozi wa Iran, amekutana na kuzungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran.
-
Umoja wa Mataifa wakosoa vitisho vipya vya Trump dhidi ya Iran
Apr 21, 2026 09:11Msemaji wa Umoja wa Mataifa amekosoa wazi vitisho vipya vya Rais wa Marekani, Donald Trump, kuhusu kushambulia miundombinu ya Iran endapo matakwa ya Washington hayatatekelezwa.