Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Jibu la Iran kwa azimio la kiadui la bunge la Uswidi

    Jibu la Iran kwa azimio la kiadui la bunge la Uswidi

    May 12, 2023 22:00

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema kuwa hatua ya bunge la Uswidi ya kupitisha azimio dhidi ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC, imeathiriwa na makundi ya kigaidi yaliyokataliwa na taifa la Iran na kwamba ni kinyume na viwango na sheria za kimataifa.

  • Kikao cha pande nne cha Moscow kuhusu Syria pamoja na matokeo yake

    Kikao cha pande nne cha Moscow kuhusu Syria pamoja na matokeo yake

    May 11, 2023 07:54

    Kikao cha kwanza cha pande nne cha Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia, Syria, Uturuki na Iran kuhusiana na Syria kilifanyika Jumatano ya jana huko Moscow mji mkuu wa Rusia.

  • Spika wa Bunge la Pakistan: Mapambano ya Iran yamekuwa mfano wa kuigwa kwa mataifa mengine

    Spika wa Bunge la Pakistan: Mapambano ya Iran yamekuwa mfano wa kuigwa kwa mataifa mengine

    May 11, 2023 07:47

    Spika wa Bunge la Taifa la Pakistan amesema mapambano ya kishujaa ya Iran mbele ya changamoto mbalimbali yamekuwa mfano wa kkuigwa kwa mataifa mengine duniani.

  • Wafanyabiashara wa nchi 71 duniani wameshiriki maonyesho ya Iran Expo 2023

    Wafanyabiashara wa nchi 71 duniani wameshiriki maonyesho ya Iran Expo 2023

    May 11, 2023 01:33

    Mkuu wa Maonyesho ya Kimataifa ya Iran Expo 2023 amesema maooneysho ya mwaka huu yamevutia idadi kubwa ya wafanyabiashara na kuongeza kuwa: "Wafanyabiashara, maafisa wa biashara wa serikali kutoka nchi 71 za dunia wamesafiri hadi Iran kutembelea mambo kadhaa ambayo yamefanywa."

  • Kan'ani amjibu Blinken: Washington ishughulikie ukiukaji wa haki za binadamu ndani ya Marekani, isiingilie mambo ya wengine

    Kan'ani amjibu Blinken: Washington ishughulikie ukiukaji wa haki za binadamu ndani ya Marekani, isiingilie mambo ya wengine

    May 10, 2023 09:54

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeitaka Marekani kushughulikia ukiukaji wa haki za binadamu unaofanyika nchini humo badala ya kuingilia masuala ya nchi nyingine na kuhukumu kiwango chao cha uhuru wa kujieleza.

  • Iran yaendelea kusisitizia uhusiano mzuri na nchi za bara la Afrika

    Iran yaendelea kusisitizia uhusiano mzuri na nchi za bara la Afrika

    May 09, 2023 00:57

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Waziri wa Viwanda na Biashara wa Burkina Faso wamekutana na kujadiliana njia mbalimbali za kuimarisha ushirikiano wa pande mbili katika nyuga tofauti.

  • Profesa wa Chuo Kikuu US: Ziara ya Rais wa Iran Syria ni kiashiria cha ushindi wa Muqawama

    Profesa wa Chuo Kikuu US: Ziara ya Rais wa Iran Syria ni kiashiria cha ushindi wa Muqawama

    May 06, 2023 08:56

    David Yaghoubian, Profesa na mhadhiri wa Historia wa Chuo Kikuu cha Jimbo la California nchini Marekani amesema ziara ya rais wa Iran nchini Syria ni kiashiria cha ushindi wa mhimili wa Muqawama katika vita vichafu vya Syria vilivyoanzishwa kwa uungaji mkono na Marekani, ambapo Washington haikuweza kuleta mabadiliko ya utawala iliyokusudia ili kuigawa vipande vipande nchi hiyo.

  • Raisi asisitiza udharura wa kushirikiana kwa ajili ya kutetea haki zilizoghusubiwa za Wapalestina

    Raisi asisitiza udharura wa kushirikiana kwa ajili ya kutetea haki zilizoghusubiwa za Wapalestina

    May 04, 2023 22:59

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Waislamu wanapaswa kutumia uwezo wao wote kutetea haki zilizoghusubiwa za Palestina na kukomboa Quds Tukufu.

  • Ukurasa mpya wa ushirikiano wa kiuchumi baina ya Iran na Syria

    Ukurasa mpya wa ushirikiano wa kiuchumi baina ya Iran na Syria

    May 04, 2023 06:57

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana Jumatano aliwasili Damascus mji mkuu wa Syria kwa mwaliko rasmi wa rais wa nchi hiyo Bashar al-Assad.

  • Iran yaiambia US kuhusiana na ziara ya Rais Raisi nchini Syria: 'Kasirikeni na kufeni kwa hasira'

    Iran yaiambia US kuhusiana na ziara ya Rais Raisi nchini Syria: 'Kasirikeni na kufeni kwa hasira'

    May 04, 2023 04:48

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuvunjwa pembe za Marekani huko Syria na katika eneo ndio sababu ya kukasirishwa Ikulu ya White House na ziara ya Rais Ebrahim Raisi mjini Damascus, Syria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS