-
"Uzoefu wa JCPOA umeipa Iran funzo la kutowategemea maajinabi"
Feb 05, 2023 07:19Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya kisiasa amesema Jamhuri ya Kiislamu imejifunza kutowategemea maajinabi kutokana na uzoefu wa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Iran yatoa mwito wa kupanuliwa uhusiano wake na Venezuela
Feb 04, 2023 04:02Mawaziri wa mambo ya nje wa Iran na Venezuela wametilia mkazo udharura wa kuzidisha uhusiano na ushirikiano wa pande mbili katika nyuga tofauti bila vizingiti.
-
Iran yajibu uropokaji wa Macron, yamtaka azungumzie silaha za nyuklia za Israel
Feb 03, 2023 23:55Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekosoa matamshi ghalati ya Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa aliyedai katika mazungumzo yake na Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel kuwa, eti Paris inatiwa wasiwasi na shughuli za nyuklia za Jamhuri ya Kiislamu.
-
Radiamali ya Iran kwa vitendo vya uhasama vya utawala wa Kizayuni na msimamo wa kichochezi wa Ukraine
Feb 03, 2023 04:47Amir Saeed Irwani, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa, siku ya Jumatano, akizungumzia shambulio la kigaidi kwenye kiwanda cha Wizara ya Ulinzi huko Isfahan, amesema katika barua kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na pia kwa mwenyekiti wa kiduru wa Baraza la Usalama kwamba uchunguzi wa awali unaonyesha kuwa utawala wa Kizayuni umehusika na tukio hilo la kigaidi.
-
Rais Ebrahim Raisi: Taifa la Iran muda wote limekuwa likiwakatisha tamaa maadui
Feb 03, 2023 00:44Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kujitokeza vilivyo na kwa wingi wananchi katika nyuga tofauti kumekuwa muda wote kukiwavunja moyo na kuwakatisha maadui wa Iran ya Kiislamu.
-
Majibu makali ya Tehran kuhusu msimamo ulio dhidi ya Tehran wa Blinken
Feb 01, 2023 22:42Nasser Kan'ani, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, siku ya Jumatatu alijibu upayukaji mpya wa baadhi ya viongozi wa Marekani na kusema kuwa, serikali ya Washington inaelewa vilvyo kwamba Iran haiwezi kufumbia macho uchokozi wa aina yoyote ile wa ardhi yake na lazima itatoa majibu makali kwa yeyote anayelichokoza taifa hili la Kiislamu.
-
Russia yalaani shambulio lililofeli la droni dhidi ya kituo cha kijeshi cha Iran
Jan 31, 2023 04:18Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amelaani shambulio la ndege zisizo na rubani (droni) dhidi ya kituo cha kijeshi cha Iran katika mji wa Isfahan, katikati ya Iran.
-
Iran, dunia zalaani shambulio la kigaidi lililoua 88 msikitini Pakistan
Jan 31, 2023 03:16Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani shambulio la kigaidi lililotokea jana msikitini kaskazini magharibi mwa Pakistan na kuua na kujeruhi makumi ya watu.
-
Iran: Hatubabaishwi na bwabwaja na matamshi ya vitisho ya Marekani
Jan 30, 2023 23:24Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imekosoa porojo na matamshi ya vitisho ya Marekani na kuonya kuwa, Jamhuri ya Kiislamu itatoa jibu kali kwa hatua yoyote ya uvamizi dhidi ya taifa hili.
-
Iran yazima mashambulio ya droni katika mkoa wa Isfahan
Jan 29, 2023 09:13Wizara ya Ulinzi ya Iran imesema vyombo vya usalama vya Jamhuri ya Kiislamu vimefanikiwa kuzima mashambulio ya ndege zisizo na rubani (drone) dhidi ya kituo cha kijeshi katika mji wa Isfahan, katikati mwa nchi.