Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Iran na Zimbabwe zatathmini njia za kuimarisha uhusiano wao

    Iran na Zimbabwe zatathmini njia za kuimarisha uhusiano wao

    Nov 06, 2022 04:18

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Zimbabwe hapa mjini Tehran, na kujadili mikakati na njia za kupanua na kuboresha uhusiano wa pande mbili wa nchi hizi mbili.

  • Jibu la Rais wa Iran kwa bwabwaja na njozi za Biden

    Jibu la Rais wa Iran kwa bwabwaja na njozi za Biden

    Nov 05, 2022 07:57

    Rais Sayyid Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika marasimu ya kukumbuka tarehe 13 Aban ambayo inaadhimishwa hapa nchini kama Siku ya Kitaifa ya Kupambana na Uistikbari Duniani kwamba: Marekani ina nafasi ya kwanza katika vita na umwagaji damu na inaangamiza na kuharibu maslahi ya mataifa mengine ili kujidhaminia maslahi yake. Rais wa Iran ameeleza hayo katika radiamali yake kwa matamshi ya Joe Biden ya kuuunga mkono ghasia na fujo nchini Iran.

  • Sheikh Kazem Sediqi: Lengo la Marekani ni kuchochea hisia za kikaumu nchini Iran

    Sheikh Kazem Sediqi: Lengo la Marekani ni kuchochea hisia za kikaumu nchini Iran

    Nov 04, 2022 08:24

    Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, lengo la utawala wa Marekani katika fitina na vurugu za hivi karibuni hapa Iran ni kuchochea hisia za kikaumu na kuzusha vita vya ndani katika taifa hili.

  • Imam wa msikiti auawa katika shambulio la kigaidi mkoani Sistan na Baluchistan kusini mwa Iran

    Imam wa msikiti auawa katika shambulio la kigaidi mkoani Sistan na Baluchistan kusini mwa Iran

    Nov 04, 2022 03:15

    Mkuu wa Polisi wa Sistan na Baluchistan ya Iran amesema: Kabla ya Sala ya Magharibi hapo jana Imamu wa msikiti wa Moulay-e-Mottaqian katika mji wa Zahedan, kusini mashariki mwa Iran, aliuawa shahidi kwa kupigwa risasi na magaidi.

  • China, Russia zapinga mkutano usio rasmi wa Baraza la Usalama la UN dhidi ya Iran

    China, Russia zapinga mkutano usio rasmi wa Baraza la Usalama la UN dhidi ya Iran

    Nov 03, 2022 22:52

    China na Russia zimelaani kuitishwa mkutano wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa dhidi ya Iran. Wawakilishi wa China na Russia wamelaani kitendo cha Marekani na Albania cha kufanya mkutano usio rasmi wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu eti matukio ya Iran.

  • Iran yatangaza vikwazo dhidi ya shakhsia na taasisi ya Canada

    Iran yatangaza vikwazo dhidi ya shakhsia na taasisi ya Canada

    Nov 03, 2022 08:19

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kuwa imeyaweka majina ya shakhsia na taasisi ya Canada kwenye orodha yake ya vikwazo, kwa kuunga mkono ugaidi.

  • Umoja wa Mataifa waionya Twitter kuhusu matamshi ya kueneza chuki, ubaguzi

    Umoja wa Mataifa waionya Twitter kuhusu matamshi ya kueneza chuki, ubaguzi

    Nov 01, 2022 23:17

    Rekodi mbaya ya mmiliki mpya wa Twitter, Elon Musk ya kuchukua misimamo isiyo ya kawaida na kuibua masuala yenye utata imeufanya Umoja wa Mataifa kumuonya dhidi ya kuchapisha maudhui yoyote ya chuki katika mtandao wa kijamii wa Twitter.

  • Kataib Hizbullah ya Iraq: Riyadh imeanzisha mashine chafu ya propaganda dhidi ya Iran

    Kataib Hizbullah ya Iraq: Riyadh imeanzisha mashine chafu ya propaganda dhidi ya Iran

    Oct 27, 2022 23:24

    Harakati ya Kataib Hizbullah ya Iraq imetangaza kwamba Saudi Arabia inaendeleza harakati yake chafu na ya kichochezi dhidi ya Iran na inatumia vyombo vyake vya habari na makundi ya kitakfiri na kigaidi katika mwelekeo huo.

  • Raisi: Shambulio la kigaidi dhidi ya Haram Tukufu mjini Shiraz halitapita bila jibu

    Raisi: Shambulio la kigaidi dhidi ya Haram Tukufu mjini Shiraz halitapita bila jibu

    Oct 27, 2022 04:46

    Rais wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu itatoa jibu kali na la kujutisha kwa wale waliohusika katika shambulio la kigaidi dhidi ya Haram Tukufu ya Shah Cheragh mjini Shiraz, kusini magharibi mwa nchi.

  • Dunia yalaani shambulio la umwagaji damu nchini Iran

    Dunia yalaani shambulio la umwagaji damu nchini Iran

    Oct 27, 2022 04:44

    Jamii ya kimataifa imeendelea kutuma salamu za rambirambi na kutoa taarifa za kulaani shambulio la kigaidi lililopelekea kuuawa na kujeruhiwa makumi ya watu kusini magharibi mwa Iran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS