Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Iran: Vikwazo kwa wazalishaji gesi kuwa na matokeo hasi

    Iran: Vikwazo kwa wazalishaji gesi kuwa na matokeo hasi

    Oct 25, 2022 23:02

    Waziri wa Mafuta wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametahadharisha kuwa, hatua ya Wamagharibi ya kuziwekea vikwazo nchi zinazozalisha na kuuza nje ya nchi gesi itakuwa na matokeo hasi yasiyoweza kurekebishika.

  • Kan'ani: Inachotaka Iran katika mazungumzo ni haki yake ya kisheria, ya wazi na ya kimantiki

    Kan'ani: Inachotaka Iran katika mazungumzo ni haki yake ya kisheria, ya wazi na ya kimantiki

    Oct 24, 2022 09:12

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesisitiza kuwa, inachotaka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika mazungumzo ya nyuklia ni haki zake za kimsingi, za kisheria, za wazi na za kimantiki. Inachotaka ni kuondolewa vikwazo iliivyowekewa kidhulma na mabeberu.

  • China yapinga vikwazo haramu na vya upande mmoja vya EU dhidi ya Iran

    China yapinga vikwazo haramu na vya upande mmoja vya EU dhidi ya Iran

    Oct 24, 2022 00:31

    China imepinga na kukosoa vikali hatua ya Umoja wa Ulaya ya kuiwekea Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vikwazo ilivyovitaja kuwa haramu na vya upande mmoja.

  • Barua ya Troika ya Ulaya kwa Umoja wa Mataifa: Mwendelezo wa vita vya kisiasa na kipropaganda dhidi ya Iran

    Barua ya Troika ya Ulaya kwa Umoja wa Mataifa: Mwendelezo wa vita vya kisiasa na kipropaganda dhidi ya Iran

    Oct 22, 2022 23:05

    Katika barua yake kwa Umoja wa Mataifa, Troika ya Umoja wa Ulaya inayojumuisha Uingereza, Ufaransa na Ujerumani, imekariri madai ambayo hayajathibitishwa kwamba Russia inatumia ndege zisizo na rubani zilizotengenezwa na Iran katika vita vya Ukraine, na imeutaka Umoja wa Mataifa kuchunguza iwapo huo ni ukiukaji ya Azimio 2231 la Baraza la Usalama au la

  • Iran yalaani jaribio la kuiondoa timu yake ya soka katika fainali za Kombe la Dunia

    Iran yalaani jaribio la kuiondoa timu yake ya soka katika fainali za Kombe la Dunia

    Oct 21, 2022 08:03

    Shirikisho la Soka la Iran limekosoa vikali jaribio la kuiengua timu ya taifa ya kandanda ya Jamhuri ya Kiislamu katika michuano ya Kombe la Dunia itakayoanza kutimua mavumbi mwezi ujao wa Novemba nchini Qatar.

  • Vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Iran kwa kutegemea madai yasiyo na msingi

    Vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Iran kwa kutegemea madai yasiyo na msingi

    Oct 21, 2022 07:14

    Siku ya Alhamisi, Oktoba 20, Umoja wa Ulaya ulitangaza vikwazo vipya dhidi ya Iran kwa kutegemea madai ambayo hayajathibitishwa kuhusu kushiriki ndege zisizo na rubani zilizotengenezwa na Iran katika vita vya Ukraine.

  • Amir-Abdollahian: Iran inapinga vikali vita na kuzipatia silaha pande mbili zinazopigana

    Amir-Abdollahian: Iran inapinga vikali vita na kuzipatia silaha pande mbili zinazopigana

    Oct 20, 2022 00:39

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Jamhuri ya Kiislamu inapinga vikali vita na kuupatia silaha upande wowote kati ya pande mbili zinazopigana.

  • Vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Iran; kuiga mdundo wa ngoma inayopigwa na Marekani

    Vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Iran; kuiga mdundo wa ngoma inayopigwa na Marekani

    Oct 19, 2022 09:38

    Katika mwendelezo wa uungaji mkono wa nchi za Magharibi kwa machafuko ya hivi karibuni nchini Iran, Umoja wa Ulaya siku ya Jumatatu ulitangaza vikwazo kadhaa dhidi ya Waziri wa Mawasiliano wa Iran, Polisi ya Usalama wa Maadili, Jeshi la Polisi na kitengo cha kupambana na hujuma za intaneti cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, IRGC.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran apongeza kuteuliwa mwenzake wa Tanzania

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran apongeza kuteuliwa mwenzake wa Tanzania

    Oct 18, 2022 04:24

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemnyooshea mkono wa tahania Stergomena Lawrence Tax, kwa kuteuliwa kuwa Waziri mpya wa Mashauri ya Kigeni wa Tanzania.

  • Iran: Vikwazo vya EU havina maana, ghasia haziruhusiwi popote duniani

    Iran: Vikwazo vya EU havina maana, ghasia haziruhusiwi popote duniani

    Oct 18, 2022 00:13

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema ghasia, fujo na kuharibu mali za umma ni mambo yasiyokubalika katika sehemu yoyote ile duniani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS