Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Iran yamkosoa Biden kwa kuunga mkono, kushajiisha ghasia hapa nchini

    Iran yamkosoa Biden kwa kuunga mkono, kushajiisha ghasia hapa nchini

    Oct 16, 2022 07:54

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imelaani vikali hatua ya Marekani ya kuingilia masuala ya ndani ya Jamhuri ya Kiislamu, baada ya Rais Joe Biden wa nchi hiyo kutangaza kuwa anaunga mkono ghasia na fujo zinazoshuhudia hapa nchini.

  • Kukiri Marekani kuwa inahusika katika kuchochea ghasia na machafuko nchini Iran

    Kukiri Marekani kuwa inahusika katika kuchochea ghasia na machafuko nchini Iran

    Oct 15, 2022 00:10

    Ned Price, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, amekiri kwamba utawala wa Joe Biden sasa umejikita kwenye machafuko na ghasia nchini Iran huku akiiishutumu Tehran kuwa haiko tayari kufikia muafaka kuhusu kuhuisha mapatano ya nyuklia ya JCPOA. Mbali na kukiri huko, imekuwa ikifahamika wazi kimataifa kuwa Marekani inaingilia masuala ya ndani ya Iran.

  • Rais wa Iran aipongeza Iraq kwa kuchagua rais mpya

    Rais wa Iran aipongeza Iraq kwa kuchagua rais mpya

    Oct 14, 2022 04:26

    Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameipongeza serikali na wananchi wa Iraq, kufuatia kuchaguliwa na Bunge, Abdul Latif Rashid kuwa rais mpya wa nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Iran: Kama US inapigania kweli haki za binadamu, iache kuwasaidia magaidi

    Iran: Kama US inapigania kweli haki za binadamu, iache kuwasaidia magaidi

    Oct 14, 2022 04:20

    Ofisi ya Uwakilishi wa Kudumu ya Iran katika Umoja wa Mataifa imesema iwapo Marekani inataka kupambana kwa dhati na ugaidi, sharti iachane na tabia yake ya kuunga mkono makundi ya kigaidi kama lile la Kumalah.

  • Raisi: Uingiliaji wa maajinabi hauwezi kutatua matatizo ya Asia Magharibi

    Raisi: Uingiliaji wa maajinabi hauwezi kutatua matatizo ya Asia Magharibi

    Oct 13, 2022 23:45

    Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa uingiliaji wa madola ya Magharibi katika masuala ya ndani ya nchi za Asia Magharibi na kusisitiza kuwa, uingiliaji huo kamwe hauwezi kuwa suluhu ya matatizo na changamoto za eneo hili.

  • Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: Kusimama imara; njia ya kukabiliana na maadui

    Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: Kusimama imara; njia ya kukabiliana na maadui

    Oct 13, 2022 08:14

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametaja ghasia na machafuko yaliyoenea katika maeneo mbalimbali hapa nchini kuwa ni mpango usio wa kawaida na wa fedheha wa adui mkabala wa maendeleo na harakati za ubunifu na kubwa za taifa la Iran na kwamba, njia ya kukabiliana na maadui ni kusimama imara.

  • Raisi: Dunia ya leo inahitaji zaidi mchango athirifu wa ubunifu wa kikanda kuliko wakati wowote ule

    Raisi: Dunia ya leo inahitaji zaidi mchango athirifu wa ubunifu wa kikanda kuliko wakati wowote ule

    Oct 13, 2022 04:37

    Rais Ebrahim Raisi amesema dunia ya leo inahitaji kuliko wakati wowote ule mchango athirifu na madhubuti wa taratibu zinazobuniwa kikanda.

  • Jeshi la Anga la Iran lina uwezo wa kujibu haraka tishio lolote la adui

    Jeshi la Anga la Iran lina uwezo wa kujibu haraka tishio lolote la adui

    Oct 11, 2022 08:29

    Kamanda mwandamizi wa Jeshi la Iran amesema Kikosi cha Anga cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu kina uwezo wa kufuatilia na kujibu kitisho au chokochoko zozote za maadui katika eneo hili ndani ya muda mfupi.

  • Rais Raisi: Usalama na uwezo wa Iran unategemea kusimama imara wananchi

    Rais Raisi: Usalama na uwezo wa Iran unategemea kusimama imara wananchi

    Oct 11, 2022 04:35

    Rais Ebrahim Raisi amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na familia ya Shahidi mlinzi wa usalama wa nchi na kueleza kwamba usalama na uwezo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran unategemea kusimama imara wananchi na juhudi kubwa za maelfu ya Mashahidi, na akasisitizia umuhimu wa watu wote kuilinda na kuienzi rasilimali hiyo ya taifa.

  • Iran: Magharibi inalipiza kisasi kwa kuwaua kwa umati wagonjwa Wairani

    Iran: Magharibi inalipiza kisasi kwa kuwaua kwa umati wagonjwa Wairani

    Oct 10, 2022 03:58

    Msemaji wa Serikali ya Iran amelaani vikwazo shadidi vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu na kueleza kuwa, "Wamagharibi wanalipiza kisasi dhidi ya Wairani, kwa kuanzisha kampeni ya mauji ya kimbari dhidi ya wagonjwa wa nchi hii."

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS