Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Iran na EU zajadili masuala yaliyosalia katika mazungumzo ya Vienna

    Iran na EU zajadili masuala yaliyosalia katika mazungumzo ya Vienna

    Mar 27, 2022 07:59

    Kiongozi wa timu ya Iran katika mazungumzo ya nyuklia ya Vienna, Ali Baqeri Kani amekutana na kufanya mazungumzo hapa mjini Tehran na Enrique Mora, mratibu wa mazungumzo ya Vienna, ambapo wamejadili hatua zilizopigwa na masuala yaliyosalia katika mazungumzo hayo yanayofanyika huko Austria.

  • Iran: Vikosi vamizi vya Marekani viondoke Syria mara moja

    Iran: Vikosi vamizi vya Marekani viondoke Syria mara moja

    Mar 25, 2022 21:53

    Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema vikosi vya Marekani na waitifaki wake vinapaswa kuondoka Syria haraka iwezekanavyo.

  • Spika wa Lebanon: Iran ndio chimbuko kuu la muqawama katika eneo

    Spika wa Lebanon: Iran ndio chimbuko kuu la muqawama katika eneo

    Mar 25, 2022 09:53

    Spika wa Bunge la Lebanon ameitaja Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kama chanzo kikuu cha harakati za muqawama katika eneo la Asia Magharibi, zilizoipa ilhamu kambi ya muqawama kote duniani.

  • Mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu mjini Islamabad

    Mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu mjini Islamabad

    Mar 23, 2022 06:16

    Mkutano wa 48 wa siku mbili wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) ulianza jana Jumanne mjini Islamabad, mji mkuu wa Pakistan.

  • Khatibzadeh: Iran itaendelea kuwa sauti ya ulimwengu wa Kiislamu

    Khatibzadeh: Iran itaendelea kuwa sauti ya ulimwengu wa Kiislamu

    Mar 22, 2022 02:01

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu imejitolea kwa dhati kuendelea kupaza sauti ya ulimwengu wa Kiislamu na mataifa yanayodhulumiwa duniani.

  • Kiongozi Muadhamu: Taifa la Iran limefanya machaguo sahihi katika kupambana na Uistikbari

    Kiongozi Muadhamu: Taifa la Iran limefanya machaguo sahihi katika kupambana na Uistikbari

    Mar 21, 2022 23:01

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyid Ali Khamenei amesema kuhusu matukio ya dunia yanayoendelea kujiri katika nchi za Afghanistan, Ukraine na Yemen kwamba: "matukio yote haya yanaonyesha ukweli wa taifa la Iran na machaguo sahihi liliyofanya katika kupambana Uistikbari."

  • Sisitizo la Kamanda wa Jeshi la Majini la Iran kuhusu kupambana vilivyo na ushetani wa adui

    Sisitizo la Kamanda wa Jeshi la Majini la Iran kuhusu kupambana vilivyo na ushetani wa adui

    Mar 21, 2022 04:23

    Admiral Shahram Irani, Kamanda wa Jeshi la Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu imejiimarisha vilivyo kupambana na ushetani wowote wa maadui na haitatoa mwanya hata kidogo wa kufanikiwa njama za adui.

  • Ayatullah Khamenei: Mwaka 1401 Shamsia ni mwaka wa uzalishaji unaotegemea elimu na kutengeneza ajira

    Ayatullah Khamenei: Mwaka 1401 Shamsia ni mwaka wa uzalishaji unaotegemea elimu na kutengeneza ajira

    Mar 21, 2022 00:01

    Katika ujumbe wake kwa mnasaba wa kuanza mwaka 1401 Hijria Shamsia, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amelipongeza taifa kwa kuwadia sikukuu ya Nowruz na kuutaja mwaka mpya kuwa ni mwaka wa "uzalishaji unaotegemea elimu na kutengeneza ajira."

  • Raisi katika ujumbe wa Nowruz 1401: Karne ya 15 ni karne ya Iran ya Kiislamu

    Raisi katika ujumbe wa Nowruz 1401: Karne ya 15 ni karne ya Iran ya Kiislamu

    Mar 21, 2022 00:00

    Katika ujumbe wake wa Nowruz na mwaka mpya wa 1401 Hijria Shamsia, Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameitaja karne ya kumi na tano Hijria Shamsia kuwa ni karne ya Iran ya Kiislamu na zama za watu wa Iran kuwa na nafasi na machango muhimu zaidi.

  • Jahromi: Uingereza imesalimu amri mbele ya nguvu za taifa la Iran

    Jahromi: Uingereza imesalimu amri mbele ya nguvu za taifa la Iran

    Mar 17, 2022 07:25

    Msemaji wa serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, baada ya kupita miaka 40 ya kutotekeleza ahadi zake, hatimaye Uingereza imesalimu amri mbele ya nguvu za mazungumzo za taifa la Iran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS