-
Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran nchini Russia na matokeo yake
Mar 17, 2022 03:08Hossein Amir-Abdollahian, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran aliwasili mjini Moscow siku ya Jumanne akiongoza ujumbe wa ngazi za juu kwa ajili ya kukutana na kuzungumza na Sergey Lavrov, Waziri mwenzake wa Mambo ya Nje wa Russia kuhusu masuala ya pande mbili, mazungumzo ya Vienna, Ukraine, Syria, Yemen na Afghanistan.
-
Ayatullah Makarem Shirazi: Unyongaji wa umati wa Saudia umezijeruhi nyoyo za Waislamu wote huru
Mar 15, 2022 21:07Ayatullah Naser Makarem Shirazi, mmoja wa Marjaa Taqlidi wa mjini Qum nchini Iran amesema kuwa, hatua ya kuwanyonga makumi ya vijana Waislamu tena kwa sura ya kinyama na ya kikatili imezihunisha nyoyo za Waislamu wote huru ulimwenguni.
-
Amir-Abdollahian: Kustawisha uhusiano na Russia kuna umuhimu kwa Iran
Mar 15, 2022 10:14Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema, bila kujali matukio na mabadiliko yoyote yanayojiri kimataifa, kustawisha uhusiano na Russia kuna umuhimu kwa Jamhuri ya Kiislamu.
-
Iran yaikosoa Marekani kwa kuibua maudhui mpya katika mazungumzo ya Vienna
Mar 13, 2022 04:28Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameijia juu Marekani kwa kuibua maudhui nyingine mpya kwenye mazungumzo ya Vienna kati ya Jamhuri ya Kiislamu na kundi la 4+1, ambayo lengo lake kuu ni kuondolewa Tehran vikwazo vya kidhalimu.
-
Iran yapinga tuhuma zisizo na msingi za Arab League
Mar 11, 2022 04:43Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekadhibisha madai yaliyotolewa dhidi ya taifa hili katika mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu.
-
Harakati ya Palestina: Hakuna nchi inayounga mkono ukombozi wa Quds kama Iran
Mar 11, 2022 04:33Harakati ya Mujahideen ya Palestina imesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaunga mkono kwa dhati suala la kukombolewa kwa mji mtukufu wa Quds, unaokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel.
-
Iran: Kujitakia makuu Marekani kusiathiri masuala muhimu Vienna
Mar 10, 2022 23:44Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema masuala ya msingi na kuondolewa Iran vikwazo havipaswi kuathiriwa na tabia ya kujitakia makuu Marekani.
-
Mazungumzo baina ya Iran na Oman kuhusu usalama wa baharini
Mar 10, 2022 00:40Kikao cha Tatu cha Makamanda wa Gadi ya Ufukweni ya Jamhuri ya Kiisalmu ya Iran na Oman kimefanyika mjini Muscat na kujadili usalama wa baharini. Maudhui kuu iliyojadiliwa na nchi hizi mbili ndugu katika kikao hicho ni kuzidi kushirikiana na kuwa na uratibu wa pamoja na kulinda usalama wa mpaka wa baharini wa nchi hizo.
-
Kiongozi Muadhamu: Kuiridhia Marekani ni kosa kubwa na pigo kwa nguvu za kisiasa
Mar 10, 2022 08:15Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema, kuiridhia Marekani au dola jengine lolote lile kwa ajili ya kuepukana na vikwazo ni kosa kubwa na pigo kwa nguvu za kisiasa.
-
Iran yalaani shambulio la roketi la Israel dhidi ya Damascus, Syria
Mar 09, 2022 06:50Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali shambulizi la roketi la utawala haramu wa Israel dhidi ya mji mkuu wa Syria, Damascus.