Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Rais Ebrahim Raisi: Wananchi wa Ukraine ni wahanga wa siasa za kishetani za Marekani

    Rais Ebrahim Raisi: Wananchi wa Ukraine ni wahanga wa siasa za kishetani za Marekani

    Mar 07, 2022 00:52

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, wananchi wa Ukraine wamekuwa wahanga wa siasa za kishetani za Marekani.

  • Ulyanov: Ziara ya Rafael Grossi nchini Iran imefanikiwa

    Ulyanov: Ziara ya Rafael Grossi nchini Iran imefanikiwa

    Mar 07, 2022 00:47

    Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika taasisi za kimataifa zenye makao yake mjini Vienna, Austria amesema kuwa safari ya Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA) nchini Iran imefanikiwa.

  • Mazungumzo ya Vienna na umuhimu wa safari ya Grossi mjini Tehran

    Mazungumzo ya Vienna na umuhimu wa safari ya Grossi mjini Tehran

    Mar 05, 2022 08:04

    Rafael Grossi Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ta Atomiki (IAEA) leo Jumamosi amewasili hapa Tehran na kulakiwa na Behrouz Kamalvandi Msemaji na Mkuu wa Masuala ya Kimataifa wa Shirika la Nishati ya Atomiki lal Iran. Ziara ya Grossi hapa Tehran inafanyika kwa lengo la kuzipatia ufumbuzi baadhi ya hitilafu za mitazamo kuhusu faili la nyuklia la Iran pamoja na masuala mengine kati ya Iran na wakala wa IAEA.

  • Iran ni moja ya nchi zilizofanikiwa sana kupambana na corona

    Iran ni moja ya nchi zilizofanikiwa sana kupambana na corona

    Mar 05, 2022 04:06

    Waziri wa Afya wa Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ni moja ya nchi kumi zilizofanikiwa sana kupambana na janga la corona ulimwenguni na hayo yanaweza kuhesabiwa kuwa ni mafanikio makubwa.

  • Iran yakaribisha ushirikiano na mashirika ya kimataifa na taasisi za utafiti

    Iran yakaribisha ushirikiano na mashirika ya kimataifa na taasisi za utafiti

    Mar 04, 2022 23:35

    Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Nyuklia ya Iran amesema kuwa, Tehran inakaribisha ushirikiano na mashirika ya kimataifa na taasisi za kielimu na kiutafiti.

  • Khatibu ya Swala ya Ijumaa: Marekani imehusika na yanayoendelea Ukraine

    Khatibu ya Swala ya Ijumaa: Marekani imehusika na yanayoendelea Ukraine

    Mar 04, 2022 09:00

    Khatibu wa Muda wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehrah amekosoa vikali mienendo ghalati ya Marekani katika medani ya kimataifa na kusisitiza kuwa, US ni nembo ya ujahili mamboleo.

  • Bin Salman: Tuna matumaini ya kuendelezwa mazungumzo na Iran

    Bin Salman: Tuna matumaini ya kuendelezwa mazungumzo na Iran

    Mar 04, 2022 04:47

    Mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia ameeleza matumaini kuwa mazungumzo kati ya Iran na Saudi Arabia yatafikia hatua ambayo itakuwa nzuri kwa pande zote mbili na kutengeneza mustakabali mzuri kwa nchi zote mbili.

  • Mkurugenzi mkuu wa wakala wa IAEA kuitembelea Iran kesho

    Mkurugenzi mkuu wa wakala wa IAEA kuitembelea Iran kesho

    Mar 03, 2022 23:10

    Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) anatazamiwa kuitembelea Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kesho Jumamosi kwa ziara rasmi ya kikazi.

  • Shamkhani: Mashinikizo ya juu yamefelishwa na sera ya muqawama

    Shamkhani: Mashinikizo ya juu yamefelishwa na sera ya muqawama

    Mar 03, 2022 22:59

    Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema stratejia ya muqawama amilifu ndiyo iliyoishinda na kusambaratisha sera ya mashinikizo ya kiwango cha juu zaidi ya aliyekuwa rais wa Marekani, Donald Trump dhidi ya Iran.

  • Safari ya Kamanda wa Jeshi la Anga la Iran nchini Pakistan na diplomasia ya Tehran ya ulinzi amilifu

    Safari ya Kamanda wa Jeshi la Anga la Iran nchini Pakistan na diplomasia ya Tehran ya ulinzi amilifu

    Feb 28, 2022 07:39

    Jumapili ya jana tarehe 27 Februari, Brigedia Jenerali Hamid Vahedi, Kamanda wa Kikosi cha Anga cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran aliwasili katika mji mkuu wa Pakistan Islamabad kwa minajili ya kukutana na kufanya mazungumzo na maafisa wa kijeshi na kisiasa wa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS