-
Momeni :Iran inashika rekodi ya dunia ya kukamata dawa za kulevya
Dec 19, 2021 04:48Katibu Mkuu wa Taasisi ya Kupambana na Mihadarati nchini Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu inashika rekodi ya dunia ya kukamata dawa za kulevya.
-
Iran yakosoa azimio la haki za binadamu lililoungwa mkono na Canada
Dec 18, 2021 09:39Afisa wa ngazi za juu wa Idara ya Mahakama ya Iran amekosoa azimio la Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ambalo lilipitishwa hivi karibuni kuhusu hali ya haki za binadamu nchini Iran na kusema, azimio hilo ambalo limeungwa mkono na Canada, ni la kisiasa, na halijazingatia uhalisia wa mambo.
-
Abdollahian: Utawala bandia wa Israel ni kiini na chimbuko la matatizo ya Asia Magharibi
Dec 15, 2021 10:27Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, utawala bandia wa Kizayuni wa Israe ni kiini na matatizo ya eneo la Asia magharibi.
-
Mahojiano na Balozi Joshua I Gatimu wa Kenya mjini Tehran + Sauti
Dec 13, 2021 13:20Jumapili ya jana ya Disemba 12, 2021, Wakenya waliadhimisha siku ambayo taifa hilo lilipata uhuru wake kutoka kwa mkoloni Muingereza.
-
Russia: Iran ni kati ya nchi nne bora duniani katika uzalishaji makombora
Dec 12, 2021 04:42Naibu Mkuu wa Akademia ya Makombora Russia amesema katika uga wa kijeshi Iran ni miongoni mwa nchi zilizoendelea na katika uundaji wa mifumo ya makombora Iran na ni miongoni mwa nchi nne bora duniani.
-
Iran yalaani vikwazo vya Marekani dhidi ya mahakama ya ICC
Dec 09, 2021 01:11Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali vikwazo vya upande mmoja vya Marekani dhidi ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC).
-
Raisi: Uhusiano wa Iran na Uturuki utaingia katika marhala mpya
Dec 09, 2021 01:00Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria umuhimu wa uhusiano wa kiuchumi na kibiashara wa Tehran na Ankara na kusema kuwa, kustawi kwa ushirikiano wa pande mbili kutaingia katika hatua mpya karibuni hivi, kwa kufanyika kongamano hapa Tehran.
-
New York Post: Biden ni dhaifu, hawezi kukabiliana na Russia, China na Iran
Dec 08, 2021 10:56Gazeti la Marekani la New York Post limemtaja rais wa sasa wa nchi hiyo kuwa ni dhaifu na mwenye kutetereka na kwamba hawezi kukabiliana na Russia, China na Iran katika maeneo mbalimbali ya dunia.
-
Mkuu wa CIA akiri kuwa mpango wa nyuklia wa Iran hauna malengo ya kijeshi
Dec 07, 2021 23:26Mkuu wa Shirika la Ujasusi la Marekani CIA amekiri kuwa mpango wa nyuklia wa Iran hauna malengo ya kijeshi.
-
Shamkhani: Marekani inataka kulifufua kundi la ISIS
Dec 07, 2021 10:43Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema Marekani ilighadhabishwa mno na kitendo cha kusambaratika kwa kundi la kigaidi la ISIS katika nchi za Syria na Iraq, na hivi sasa linafanya juu chini kulifufua genge hilo ili kuzusha mgogoro mpya katika eneo.