Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Iran itatoa jibu kali kwa tishio na uchokozi wowote wa Israel

    Iran itatoa jibu kali kwa tishio na uchokozi wowote wa Israel

    Feb 07, 2021 03:55

    Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa ametahadharisha juu ya matamshi ya kichokozi na ya kupiga ngoma ya vita ya maafisa wa utawala haramu wa Israel na kusema kuwa, Tehran itatoa jibu kali kwa tishio lolote la Wazayuni dhidi yake.

  • Iran: Marekani ingali inakiuka azimio 2231 kwa vikwazo haramu

    Iran: Marekani ingali inakiuka azimio 2231 kwa vikwazo haramu

    Feb 05, 2021 09:00

    Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, Marekani inaendelea kukanyaga azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la umoja huo kwa kuliwekea taifa hili vikwazo kinyume cha sheria.

  • Meja Jenerali Salami: Adui hawezi kuvumilia kuona Iran inastawi

    Meja Jenerali Salami: Adui hawezi kuvumilia kuona Iran inastawi

    Feb 04, 2021 23:23

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema maadui wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wanahamaki na kushindwa kuvumilia hatua za maendeleo na ustawi zinazopigwa na taifa hili.

  • Shehena ya kwanza ya chanjo ya Covid-19 ya Russia yawasili Iran

    Shehena ya kwanza ya chanjo ya Covid-19 ya Russia yawasili Iran

    Feb 04, 2021 10:45

    Shehena ya kwanza ya chanjo ya kukabiliana na virusi vya corona ya Sputnik V ya Russia imewasili hapa nchini Iran leo Alkhamisi.

  • Rais Rouhani: Kwa mara nyingine tena, Iran imeipiga mweleka Marekani

    Rais Rouhani: Kwa mara nyingine tena, Iran imeipiga mweleka Marekani

    Feb 04, 2021 09:25

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, hukumu ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC ya kukataa pingamizi la Marekani kuhusu mashataka ya Tehran dhidi yake, ni ushindi mwingine kwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Ustawi wa Kisayansi wa Iran katika uga wa anga za mbali; jibu erevu kwa vikwazo vya Marekani

    Ustawi wa Kisayansi wa Iran katika uga wa anga za mbali; jibu erevu kwa vikwazo vya Marekani

    Feb 03, 2021 23:13

    Siku ya Jumatatu, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ilirusha kwa mafanikio katika anga za mbali kombora la kubeba sataliti ambalo limepewa jina la Zuljanah.

  • Rais Rouhani: Iran itaanza kutoa chanjo ya corona baada ya wiki mbili

    Rais Rouhani: Iran itaanza kutoa chanjo ya corona baada ya wiki mbili

    Feb 02, 2021 09:13

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema chanjo ya corona au COVID-19 nchini itaanza kutolewa baada ya wiki tatu.

  • Amir Abdolahian: Iran itaendelea kuunga mkono usalama wa Iraq kwa nguvu zake zote

    Amir Abdolahian: Iran itaendelea kuunga mkono usalama wa Iraq kwa nguvu zake zote

    Feb 01, 2021 04:43

    Msaidizi maalumu wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) katika masuala ya kimataifa amesema kuwa, Iran inauhesabu usalama wa jirani yake Iraq kuwa ni sawa na usalama wake, hivyo itatumia nguvu zake zote kuunga mkono usalama wa nchi hiyo.

  • Kuchaguliwa Robert Malley kama mjumbe maalumu wa Marekani katika masuala ya Iran na kelele zisizo na maana zilizofuata

    Kuchaguliwa Robert Malley kama mjumbe maalumu wa Marekani katika masuala ya Iran na kelele zisizo na maana zilizofuata

    Jan 31, 2021 06:41

    Baada ya kuingia madarakani serikali mpya ya Joe Biden nchini Marekani na kutangazwa msimamo wake kuhusu mapatano ya nyuklia ya Iran ambayo ni maarufu kama JCPOA, ilikuwa inatarajiwa kuwa kungekuwa na mabadiliko maalumu katika uga huu.

  • Iran yajibu bwabwaja za Ufaransa juu ya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    Iran yajibu bwabwaja za Ufaransa juu ya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    Jan 30, 2021 23:56

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema silaha za Ufaransa na nchi nyingine za Magharibi ndilo chimbuko kuu la ukosefu wa uthabiti katika eneo la Ghuba ya Uajemi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS