-
Khatibzadeh: Yeyote atakayekuweko White House hatakuwa na chaguo isipokuwa kuheshimu haki za taifa la Iran
Nov 22, 2020 09:05Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesisitiza kuwa, yeyote atakyekuweko Ikulu ya White House hatakuwa na chaguo jengine isipokuwa kuheshimu haki za taifa la Iran.
-
Kuongezeka nguvu ya kiulinzi ya Iran katika kivuli cha mashinikizo ya juu kabisa ya Marekani
Nov 21, 2020 07:06Siasa imara na za busara za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mkabala na Marekani zimepelekea siasa laini na ngumu za Washington kukabiliwa na changamoto kubwa.
-
Iran yakanusha madai ya kuzungumza na timu ya Joe Biden
Nov 20, 2020 23:57Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekadhibisha ripoti iliyochapishwa na gazeti la New York Times la Marekani kwamba Tehran imewasiliana na timu ya Rais mteule wa nchi hiyo, Joe Biden.
-
Vikwazo vipya na kuendelea mashinikizo ya kiwango cha juu ya Marekani dhidi ya Iran
Nov 19, 2020 08:46Katika hali ambayo imebakia miezi miwili tu hadi kukata roho serikali ya Donald Trump huko Marekani, lakini rahisi huyo mwenye chuki za kidini ameendelea kuwawekea vikwazo wananchi wa Iran katika muendelezo wa vikwazo vyake vya kiwango cha juu dhidi ya taifa hili la Kiislamu huku kukiwa na taarifa kwamba amekusudia kutangaza vikwazo vipya kila wiki dhidi ya Tehran.
-
Rouhani: Utawala wa sasa wa Marekani ni wa kijinai na kigaidi
Nov 18, 2020 08:31Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria kuhusu mienendo haribifu na ugaidi wa kiuchumi wa Washington na kusema kuwa, utawala ulioko madarakani hivi sasa nchini Marekani ni mtenda jinai na dola la kigaidi.
-
Mambo yasiyo na uwazi katika mpango wa amani wa Russia kuhusu mgogoro wa Karabakh
Nov 16, 2020 06:49Mambo ya kutiliwa shaka na yasiyofahamika vizuri katika mkataba wa amani wa Russia kuhusu mgogoro wa Azerbaijan na Armenia juu ya eneo la Nagorno Karabakh, yamenyamaziwa kimya na viongozi wa Azerbaijan na Uturuki.
-
Meja Jenerali Salami: Tutalipiza kisasi cha damu ya kamanda Suleimani kwa waliomuua
Nov 16, 2020 04:29Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesisitiza tena akisema: "Tutalipiza kisasi cha damu ya kamanda shahidi Qassim Suleimani kwa waliomuua."
-
Rouhani: Bajeti ijayo ya Iran haitategemea mapato ya mafuta
Nov 15, 2020 09:30Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema muswada wa bajeti ya mwaka ujao wa kifedha wa Iran unapania kufuta kikamilifu utegemezi wa mapato ya mauzo ya mafuta.
-
Waziri wa Ulinzi wa Iraq aonana na Brigedia Jenerali Baqeri
Nov 15, 2020 04:35Waziri wa Ulinzi wa Iraq ambaye yuko ziarani hapa nchini Iran ameonana na kuzungumza na Mkuu wa Komandi Kuu ya Vikozi vya Ulinzi vya Iran.
-
Iran yapuuzilia mbali madai ya kuuawa kinara wa al-Qaeda hapa nchini
Nov 14, 2020 04:48Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu Iran amekanusha vikali habari za kipropaganda zinazodai kuwa kiongozi wa ngazi za juu wa mtandao wa kigaidi wa al-Qaeda ameuawa hapa nchini.