-
Mousavi: kubadilishwa "Brian Hook" hakutaleta mabadiliko katika siasa za Marekani
Aug 07, 2020 23:54Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa kubadilishwa Briah Hook aliyekuwa mjumbe maalumu wa Marekani katika masuala ya Iran hakutabadilisha chochote siasa za nchi hiyo.
-
Kujiuzulu Brian Hook; nembo ya kufeli wenzo wa mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Iran
Aug 07, 2020 08:19Serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani ikitumia wenzo wa mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa, iliiwekea Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vikwazo ambavyo havijawahi kushuhudiwa.
-
Zarif: Silaha za Atomiki za Marekani na Israel ni tishio kwa eneo
Aug 06, 2020 21:56Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ametoa kauli kwa mnasaba wa siku ambayo Marekani ilidondosha mabomu ya atomiki huko Hiroshima Japan wakati wa Vita Vikuu vya Pili vya Dunia na kusema jinamizi la silaha za atomiki linapaswa kufika ukingoni.
-
Iran yamtia mbaroni kiongozi wa kundi la kigaidi la Tondar lenye makao yake nchini Marekani
Aug 01, 2020 09:17Vikosi vya Usalama vya Iran vimemtia mbaroni Jamshid Sharmahd, kiongozi wa kundi la kigaidi la Tondar lenye makao yake nchini Marekani.
-
Mtazamo wa muda mrefu wa Iran na Iraq kwa ushirikiano wa pande mbili
Aug 01, 2020 05:01Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Ijumaa ya jana alifanya mazungumzo ya simu na mwenzake wa Iraq, Barham Saleh na kutilia mkazo udharura wa kustawishwa zaidi uhusiano na ushirikiano wa pande mbilii
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: Vikwazo vya Marekani ni jinai dhidi ya taifa la Iran
Aug 01, 2020 02:22Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei amevitaja vikwazo vya Marekani kuwa ni kitendo cha jinai dhidi ya taifa la Iran na ametoa wito wa kusimama kidete kukabiliana na adui huyo.
-
Swala ya Idul Adh'ha yafanyika katika maeneo mbalimbali ya Iran ya Kiislamu kwa kufuata protokali za afya
Jul 31, 2020 03:46Swala ya Idul Adh'ha imefanyika leo asubuhi katika miji mbalimbali ya Iran ya Kiislamu kwa kufuata protokali za afya.
-
Zaidi ya wagonjwa 259,000 wa Covid-19 nchini Iran wamepata afueni
Jul 29, 2020 10:31Msemaji wa Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Utabibu ya Iran amesema, wagonjwa wengine wapya wapatao elfu mbili wa maradhi ya Covid-19 wamegunduliwa nchini, huku idadi ya waliopata afueni ya ugonjwa huo ikipindukia 259,000.
-
Rouhani: Adui hajaweza kuizuia Iran kuuza bidhaa nje ya nchi
Jul 29, 2020 03:15Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema adui hajaweza kuizuia Iran kuuza bidhaa zake nje ya nchi.
-
Uhusiano wenye mlingano na madola yote ya Eurasia, Asia Mashariki na Kusini, kipaumbele katika sera za kigeni za Iran
Jul 26, 2020 06:16Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina azma ya kulinda na kuendeleza mlingano wa uhusiano na urafiki na madola yote makubwa ya Eurasia, Asia Mashariki na Kusini.