-
Waliopona ugonjwa wa COVID-19 nchini Iran wakaribia 92,000
May 15, 2020 08:02Mkuu wa Idara ya Mawasiliano ya Umma na Upashaji Habari ya Wizara ya Afya ya Iran ametangaza kuwa, hadi hivi sasa waathiriwa zaidi ya 91,836 wa ugonjwa wa COVID-19 au corona humu nchini wamepata afueni na kuruhusiwa kurejea nyumbani kutoka mahospitalini.
-
Sayyid Hassan Nasrallah atetea msimamo wa Iran kuhusu mgogoro wa Syria
May 15, 2020 03:03Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon ametoa hotuba yenye kukosoa vikali sera za Marekani na utawala Israel kuhusu misimamo ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika mgogoro wa Syria.
-
Corona; dhihirisho la tabia ya kigaidi ya Marekani dhidi ya taifa la Iran
May 14, 2020 19:54Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, licha ya kuwa siku zote Marekani inajulikana kuwa ni nchi ya kigaidi, lakini si kwa kiwango hiki cha hata kuzuia bidhaa za afya na tiba zikiwemo dawa kuwafikia watu wa Iran.
-
Ziara ya Pompeo katika ardhi za Palestina na malengo yake kadhaa
May 13, 2020 23:20Uhusiano wa Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel umepanuka sana kwa namna ambayo haijawahi kutokea katika wakati huu wa urais wa Donald Trump huko Marekani ambaye amechukua hatua nyingi za kutekeleza kivitendo matakwa haramu ya 'Israel.'
-
Iran yaapa kutoa jibu kali kwa chokochoko za kijeshi za Marekani
May 13, 2020 23:20Iran itatoa jibu kali kwa chokochoko za kijeshi za Marekani baada ya Rais Donald Trump kutumia turufu yake kupinga azimio la Bunge la Kongresi la hatua ya kijeshi isichukuliwe dhidi ya Iran kabla ya idhini ya wabunge.
-
Russia: Hatuitaruhusu Marekani irefushe vikwazo vya silaha dhidi ya Iran
May 13, 2020 03:48Russia imesema itapinga jitihada zozote za Marekani za kutaka muda wa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran uongezwe utakapomalizika mwezi Oktoba mwaka huu.
-
Indhari ya Russia kuhusu kibarua kigumu katika mchakato wa kuongezwa muda wa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran
May 12, 2020 21:51Marekani imekuwa iking’ang’ania kutekeleza siasa za "mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa" na kuendeleza vikwazo dhidi ya Iran iwe ni vikwazo vya upande mmoja au vikwazo vinavyohusiana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA hususan vikwazo vya silaha.
-
Bunge la Iran lapasisha muswada wa kukabili njama za Israel
May 12, 2020 10:22Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) imepasisha kwa kauli moja muswada wa dharura wa kukabili njama za utawala wa Kizayuni wa Israel, dhidi ya amani na usalama wa kieneo na kimataifa.
-
Shule za Iran kufunguliwa Mei 16, baada ya kufungwa kwa karibu miezi 3
May 12, 2020 10:20Waziri wa Elimu wa Iran ametangaza kuwa, shule zote za humu nchini zitafunguliwa Mei 16, baada ya kufungwa kwa karibu miezi mitatu tokea mwishoni mwa Februari mwaka huu kutokana na mripuko wa virusi vya corona.
-
Iran: Hakuna mpango wa kufanya mazungumzo yoyote na Marekani
May 12, 2020 03:11Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, hakuna mpango wa kufanya mazungumzo yoyote na Marekani kwa sababu Washington haiwezi kuaminika kwa mazungumzo inayofanya.