Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Kuzifungia tovuti za kimataifa za vyombo vya habari vya Iran, njama za Marekani zilizoshindwa zamani

    Kuzifungia tovuti za kimataifa za vyombo vya habari vya Iran, njama za Marekani zilizoshindwa zamani

    Apr 27, 2020 05:39

    Ikiwa ni katika kuendeleza siasa zake za vikwazo vya kiwango cha juu kabisa, serikali ya Donald Trump huko Marekani si tu imeiwekea Iran vikwazo vikubwa ambavyo havijawahi kushuhudiwa, lakini pia imekuwa ikifanya njama kubwa za kuibana Tehran katika kila upande, ikiwa ni pamoja na upande wa vyombo vya habari, ili kuzuia sauti ya haki ya Jamhuri ya Kiislamu isiwafikie walimwengu.

  • Rouhani: Iran inafuatilia kwa karibu sana nyendo za Marekani

    Rouhani: Iran inafuatilia kwa karibu sana nyendo za Marekani

    Apr 25, 2020 06:05

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Iran inafuatilia kwa karibu sana nyendo za Marekani na kuongeza kuwa: "Iran katu haitakuwa muanzishaji wa taharuki na mapigano katika eneo."

  • Seneta wa Marekani akiri juu ya uwezo mkubwa wa Iran na udhaifu wa Marekani

    Seneta wa Marekani akiri juu ya uwezo mkubwa wa Iran na udhaifu wa Marekani

    Apr 25, 2020 00:57

    Rais Donald Trump wa Marekani daima amekuwa akitekeleza hatua za uhasama na mashinikizo ya juu kabisa dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa lengo la kuidhoofisha na hatimaye kuilazimisha ikubali matakwa yake.

  • Setilaiti ya Nour; mdhamini wa maslahi ya amani ya Iran katika anga za mbali

    Setilaiti ya Nour; mdhamini wa maslahi ya amani ya Iran katika anga za mbali

    Apr 24, 2020 23:33

    Kurushwa kwa mafanikio katika anga za mbali setilaiti ya Nour-1 kupitia kombora la kurushia setilaiti la Qased, na setilaiti hiyo kuanza kufanya kazi zake huko, ni suala ambalo limekabiliwa na radiamali ya kisiasa na madai ya kukaririwa na yasiyo na msingi ya Marekani na baadhi ya nchi za Ulaya.

  • Idadi ya waliopona baada ya kuugua COVID-19 nchini Iran wapindukia 66,000

    Idadi ya waliopona baada ya kuugua COVID-19 nchini Iran wapindukia 66,000

    Apr 24, 2020 10:43

    Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Utabibu ya Iran imetangaza kuwa, hadi kufikia mchana wa leo Ijumaa watu 66,596 miongoni mwa walioambukizwa virusi vya corona wamepata afueni na kuruhusiwa kutoka hospitali.

  • Iran yalaani chokochoko za Marekani Ghuba ya Uajemi, yamuita balozi wa Uswisi

    Iran yalaani chokochoko za Marekani Ghuba ya Uajemi, yamuita balozi wa Uswisi

    Apr 23, 2020 22:15

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali chokochoko za jeshi la Marekani dhidi ya wanajeshi wa baharini wa Iran katika Ghuba ya Uajemi, sambamba na kukosoa bwabwaja na vitisho vya Rais Donald Trump dhidi ya askari hao wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH).

  • Karibu asilimia 65 ya waathiriwa wa corona wapata uzima nchini Iran

    Karibu asilimia 65 ya waathiriwa wa corona wapata uzima nchini Iran

    Apr 23, 2020 07:06

    Wizara ya Afya, Matibabu na Mafunzo ya Tiba ya Iran imetangaza kuwa, hadi hivi sasa waathiriwa 64 elfu na 843 wa ugonjwa wa corona humu nchini wamepata uzima na wameruhusiwa kurejea nyumbani kutoka mahospitalini.

  • Marais Rouhani na Museveni wataka kuimarishwa uhusiano wa Iran na Uganda

    Marais Rouhani na Museveni wataka kuimarishwa uhusiano wa Iran na Uganda

    Apr 22, 2020 08:38

    Rais Hassan Rouhani ameutaja uhusiano wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Uganda kuwa mzuri na uliojengeka katika misingi ya heshima, na kusisitiza kuwa Iran iko tayari kuboresha uhusiano wa pande mbili na nchi hiyo ya Afrika Mashariki katika nyuga zote.

  • Iran yaboresha uwezo na kasi ya makombora yake ya baharini

    Iran yaboresha uwezo na kasi ya makombora yake ya baharini

    Apr 21, 2020 03:41

    Kamanda wa Kikosi cha Baharini cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran IRGC amesema kikosi hicho kimeunda makombora yenye uwezo mkubwa zaidi, yanayoweza kupiga umbali wa kilomita 700.

  • Ombi la Trump kwa UN la kurefusha vikwazo vya silaha dhidi ya Iran kinyume na JCPOA

    Ombi la Trump kwa UN la kurefusha vikwazo vya silaha dhidi ya Iran kinyume na JCPOA

    Apr 20, 2020 01:34

    Kwa mujibu wa mapatano ya nyuklia ya JCPOA yenye baraka kamili za Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, vikwazo vya kidhulma vya silaha ilivyowekewa Iran, vinapaswa viondolewe kikamilifu tarehe 18 Oktoba mwaka huu wa 2020.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS