Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Iran: Uropokaji mpya wa Marekani unakusudia kuipotosha dunia

    Iran: Uropokaji mpya wa Marekani unakusudia kuipotosha dunia

    Apr 19, 2020 03:22

    Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema Marekani imeazimia kuupotosha ulimwengu, ili usishughulishwe tena na ugaidi wa kiuchumi wa taifa hilo la kibeberu dhidi ya Iran.

  • "Gwaride la Huduma": Jeshi la Iran liko pamoja na wananchi katika vita dhidi ya corona

    Apr 17, 2020 05:05

    Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran daima hulinda kiwango cha uwezo wake wa kiulinzi na kumzuia adui kuanzisha mashambulizi na wakati huo huo huwa pamoja na wananchi wakati wa maafa au majanga na kuwasaidia kutatua matatizo yao.

  • Madai ya kushangaza ya Saudia; serikali ya Mansur Hadi inaihudumia Iran

    Madai ya kushangaza ya Saudia; serikali ya Mansur Hadi inaihudumia Iran

    Apr 17, 2020 02:34

    Siku ya Jumatano Muhammad Aal Jabir, balozi wa Saudi Arabia nchini Yemen alimtuhumu Ahmed Saleh Al-Issa, naibu mkuu wa masuala ya kiuchumi wa ofisi ya Abdurabbuh Mansur Hadi, rais aliyestaafu na kukimbia nchi wa Yemen kuwa anaiuzia mafuta Iran.

  • Jeshi la Majini la Iran kuunda nyambizi za nyuklia

    Jeshi la Majini la Iran kuunda nyambizi za nyuklia

    Apr 17, 2020 00:00

    Kamanda wa Jeshi la Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kikosi hicho kinajiandaa kuunda nyambizi zitakazotumia nishati ya nyuklia zenye uwezo wa kutekeleza operesheni za baharini kwa muda mrefu zaidi katika maji ya kimataifa.

  • Tahadhari ya Russia kuhusiana na kuutumia kisiasa mgogoro wa corona

    Tahadhari ya Russia kuhusiana na kuutumia kisiasa mgogoro wa corona

    Apr 16, 2020 23:53

    Katika kipindi hiki cha mgogoro wa mlipuko wa virusi vya corona, Marekani ambayo ni kinara wa nchi za Magharibi imeendeleza siasa zake zisizo za kibinadamu dhidi ya nchi hasimu na wapinzani wake, hususn katika kuzidisha vikwazo vya kiuchumi na kuzizuia kupata misaada ya kimataifa. Suala hili limekosolewa sana na madola mengine makubwa duniani.

  • Tuhuma za ajabu, Saudia yamtuhumu kibaraka wake kuwa anaisaidia Iran kuuza mafuta yake

    Tuhuma za ajabu, Saudia yamtuhumu kibaraka wake kuwa anaisaidia Iran kuuza mafuta yake

    Apr 16, 2020 03:16

    Mohammed bin Saeed Aal Jabir, balozi wa Saudi Arabia nchini Yemen, jana alimtuhumu afisa mmoja wa ngazi za juu wa serikali ya Abdu Rabbuh Mansour Hadi, rais wa zamani wa Yemen aliyejiuzulu na kukimbilia Saudia kwamba anashiriki katika kuiuzia Iran mafuta yake.

  • Kwa mara nyingine UN yaitaka Marekani iondoe vikwazo vyake duniani wakati huu wa corona

    Kwa mara nyingine UN yaitaka Marekani iondoe vikwazo vyake duniani wakati huu wa corona

    Apr 16, 2020 03:12

    Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa mara nyingine ametilia mkazo mwito wa umoja huo wa kuitaka Marekani ifute vikwazo vyake kwa mataifa ya dunia wakati huu wa vita dhidi ya COVID-19.

  • Bunge la Juu ya Uingereza lataka kuondolewa vikwazo Iran

    Bunge la Juu ya Uingereza lataka kuondolewa vikwazo Iran

    Apr 15, 2020 03:39

    Mwenyekiti wa Kamati ya Uhusiano wa Kimataifa na Ulinzi ya Bunge la Juu la Uingereza (House of Lords) amesema anaunga mkono miito inayotolewa na maafisa wa nchi za Ulaya na Marekani za kutaka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iondolewa vikwazo, katika kipindi hiki ambapo Iran inaendelea kukabiliana na maambukizi makubwa ya virusi vya Corona.

  • Kukabiliana na Corona; Changamoto za kimataifa za kuokoa maisha ya wanadamu

    Kukabiliana na Corona; Changamoto za kimataifa za kuokoa maisha ya wanadamu

    Apr 15, 2020 03:13

    Kuhatarisha afya ya watu kwa malengo ya kisiaisa si tu kuwa ni kinyume cha sheria bali ni ukatili. Hiyo ni kauli ya madakatari na wataalamu 550 wanachama wa Baraza la Kitiba la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambao wamemuandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na kubainisha nukta hiyo huku wakilalamikia kuendelea sera za vikwazo vya Marekani dhidi ya taifa la Iran.

  • Baraza la Makanisa Duniani laitaka Marekani iiondolee Iran vikwazo

    Baraza la Makanisa Duniani laitaka Marekani iiondolee Iran vikwazo

    Apr 12, 2020 23:06

    Baraza la Makanisa Duniani na Jumuiya ya Kitaifa ya Makanisa ya Kristo zimeeleza wasiwasi wao juu ya athari mbaya za vikwazo vya Marekani dhidi ya wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS