-
Mazoezi ya pamoja ya kijeshi ya Iran, China, Russia; kigezo chenye ufanisi cha kieneo kuhusu usalama
Dec 27, 2019 20:55Kufanyika mazoezi ya pamoja ya majeshi ya majini ya Iran, Russia na China katika eneo lenye umuhimu wa kistratijia la kaskazini mwa Bahari ya Hindi na Bahari ya Oman ni ushirikiano wa kieneo usiohusisha madola ajinabi.
-
Iran, Russia na China zaanza mazoezi ya pamoja ya kijeshi kaskazini mwa Bahari ya Hindi
Dec 27, 2019 06:21Mazoezi ya kijeshi ya baharini yanayoshirikisha majeshi ya majini ya nchi tatu za Iran, Russia na China yameanza leo Ijumaa kaskazini mwa Bahari ya Hindi kwa kaulimbiu ya "Amani, Urafiki na Usalama Endelevu Chini ya Kivuli cha Ushirikiano na Umoja".
-
Radiamali ya Marekani kwa maneva ya Iran, Russia na China
Dec 27, 2019 03:47Sean Robertson msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) amesema kuwa nchi hiyo ina taarifa kuhusu maneva kati ya Iran, Russia na China na inafuatilia maneva hiyo.
-
Russia yamkosoa Guterres kwa kufumbia macho ukiukaji sheria unaofanywa na Marekani
Dec 26, 2019 22:54Kwa kuzingatia kuwa Marekani ndiko yaliko makao makuu ya Umoja wa Mataifa, nchi hiyo ya kibeberu daima imekuwa ikiwawekea vikwazo wanadiplomasia na maafisa wa ngazi za juu wa nchi zinazopinga siasa za Washington, wanaoazimia kusafiri nchini humo kwa ajili ya kutekeleza majukumu yao ya kikazi.
-
Maneva ya Iran, Russia na China; maneva ya pande tatu iliyo na ujumbe wa kimataifa
Dec 26, 2019 06:56Maneva ya kwanza ya baharini kati ya nchi tatu za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Russia na China itafanyika hivi karibuni kaskazini mwa Bahari ya Hindi na ya Oman kwa lengo la kuimarisha usalama wa biashara ya kimataifa katika eneo hilo.
-
Jumuiya ya Kimataifa ya AhlulBayt: Sheikh Zakzaky anapigania umoja wa Waislamu duniani
Dec 25, 2019 02:00Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya AhlulBayt amesema kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) Sheikh Ibrahim Zakzaky ni shakhsia anayepigania umoja katika ulimwengu wa Kiislamu.
-
Iran yaonya; Israel itajuta kuanzisha mashambulizi dhidi ya Syria
Dec 24, 2019 08:25Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya kimataifa ameutahadharisha utawala wa Kizayuni wa Israel, kwa kuanzisha mashambulizi ya anga dhidi ya Syria akisisitiza kuwa, hujuma hizo hazitapita hivi hivi bila kupata jibu kali.
-
Wakristo, Wayahudi na Wazartoshi wa Iran walaani azimio la haki za binadamu dhidi ya Tehran
Dec 22, 2019 23:10Wawakilishi wa dini za waliowachache katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) wamelaani azimio la haki za binadamu lililotolewa dhidi ya Iran na kuitaka Wizara ya Mambo ya Nje kufuatilia misimamo ya nchi adui na kuzima njama zinazofanywa dhidi ya Iran katika nyanja za kimataifa.
-
Rais Rouhani akiwa Japan: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran havimnufaishi yoyote
Dec 20, 2019 23:35Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema hatua ya upande mmoja ya Marekani ya kujiondoa kinyume cha sheria kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA haina maslahi kwa Marekani yenyewe wala upande wowote wa mapatano hayo ya kimataifa.
-
Azimio la UN kwa ajili ya kuwaondolea vizuizi wanadiplomasia wa Iran nchini Marekani
Dec 20, 2019 02:46Marekani ambayi ni mwenyeji wa makao makuu ya Umoja wa Mataifa siku zore imekuwa ikitatiza na kuwekdea vizingiti wanadiplomasia na viongozi wa ngazi za juu wa nchi mbalimbali zinaopinga siasa za Washington.