-
Iran yamshangaa Netanyahu kwa kutiwa kiwewe na safari ya Shinzo Abe nchini
Jun 10, 2019 03:30Mkuu wa Kamati ya Usalama wa Taifa na Sera za Kigeni ya Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemkejeli na kumshangaa Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu kwa kuingiwa na kiwewe kutokana na safari tarajiwa ya Shinzo Abe, Waziri Mkuu wa Japan hapa mjini Tehran.
-
"Iran haihitajii Marekani wala haitaki kuwa na uhusiano nayo"
Jun 09, 2019 22:44Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu haihitajii Marekani wala haina haja ya kuwa na uhusiano na Washington.
-
"Iran haiwezi kufanya mazungumzo na Trump kidhabi"
Jun 09, 2019 22:05Mchambuzi mmoja wa Kimarekani amesema kuwa Iran haiwezi kufanya mazungumzo na serikali kidhabi ya Donald Trump ambayo haioneshi nia yoyote nzuri katika mazungumzo.
-
Muhadhiri wa Uturuki: Lengo la Marekani ni kuzidhoofisha nchi zenye nguvu Asia Magharibi
Jun 09, 2019 22:02Mtaalamu wa masuala ya kisiasa na mhadhiri wa chuo kikuu nchini Uturuki amesema kuwa lengo la vikwazo na mashinikizo ya Marekani dhidi ya Iran ni kuendeleza siasa za kibeberu za White House za kuzidhoofisha nchi zenye nguvu za Asia Magharibi.
-
Iran yazindua mfumo wa makombora wa Khordad 15 + Video
Jun 09, 2019 09:26Iran imezindua mfumo wa kujilinda kwa makombora uliotengenezwa kikamilifu hapa nchini unaoweza kulenga shabaha sita za adui kwa wakati mmoja.
-
Heiko Maas : Nchi za Ulaya zinafungamana na mapatano ya nyuklia ya Iran
Jun 08, 2019 23:06Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Heiko Maas amekutana na Waziri Mkuu wa Iraq Adel Abdul Mahdi mjini Baghdad siku ya Jumamosi na kusema nchi za Umoja wa Ulaya zinafungamana na mapatano ya nyuklia ya Iran maarufu kama JCPOA.
-
Russia: Madai kuwa Iran ilituomba tuiuzie ngao ya S-400 ni uvumi mtupu
Jun 07, 2019 21:47Naibu Waziri Mkuu wa Russia katika Masuala ya Ulinzi amesema kwamba, Moscow haijapata ombi kutoka Iran la kuiuzia ngao ya makombora ya S-400.
-
Ayatullah Kashani: Katu Iran haitasaimu amri mbele ya njama za adui
Jun 07, 2019 08:36Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema katu Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haitasalimu amri mkabala wa njama za maadui na kusisitiza kwamba taifa hili litaendelea kufungamana na muqawama.
-
Iran yakosoa matamshi ya Rais wa Ufaransa alipokutana na Trump
Jun 07, 2019 02:58Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu matamshi ya Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa alipokutana na mwenzake wa Marekani mjini Paris na kusema matamshi ya Macron hayasaidii katika kulindwa mapatano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Siasa za pamoja za Iran na Qatar; uimarishaji wa usalama wa eneo
Jun 06, 2019 04:01Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kwamba Iran inataka kuimarisha usalama wa eneo zima la Asia Magharibi na kwamba haina nia ya kuanzisha mapigano na nchi yoyote ile. Hata hivyo ameongeza kuwa iwapo Iran itashambuliwa na nchi yoyote katika eneo basi nchi hiyo itapata jibu la kuifanya ijute ni kwa nini ilianzisha mashambulizi.