-
Russia na China zalaani vikwazo vya upande mmoja vya Marekani dhidi ya Iran
Jun 06, 2019 03:19Marais wa Russia na China sanjari na kulaani vikwazo vya upande mmoja vya Marekani dhidi ya Iran, lakini pia wamezitaka pande husika kufungamana na makubaliano ya nyuklia ya Vienna yanayojulikana kama JCPOA.
-
Zarif aikosoa Mossad ya Israel kwa kuituhumu Iran kwa ulipuaji wa meli za mafuta al-Fujairah, UAE
Jun 05, 2019 22:45Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepuuzilia mbali 'taarifa za kiintelijensia' za Shirika la Kijasusi la Utawala wa Kizayuni wa Israel Mossad zinazodai kwamba Iran imehusika na kulipuliwa meli za mafuta katika Bandari ya al-Fujairah huko Umoja wa Falme za Kiarabu, akisisitiza kuwa amewahi kutoa indhari huko nyuma kuhusu kupikwa njama za kutaka kuibua taharuki katika eneo.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu; 'Muqawama (ukakamavu)', siri ya ushindi dhidi ya adui
Jun 05, 2019 22:01Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amewaambia viongozi na wananchi wa Iran kutohadaika na ujanja wa kisiasa wa rais wa Marekani.
-
Nukta nne muhimu za kushindwa vikao vya Makka
Jun 05, 2019 07:58Katika hali ambayo siku nne zimepita tokea kufanyika vikao vya Makka lakini bado matokeo mabaya na hata yaliyo kinyume na matarajio ya waandaaji wa vikao hivyo yangali yanaendelea kuakisiwa kieneo na kimataifa.
-
Iran yaliasa jeshi la Sudan likabidhi madaraka kwa raia
Jun 04, 2019 09:05Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kueleza kusikitishwa kwake na machafuko ya kisiasa nchini Sudan, imetoa mwito kwa Baraza la Mpito la Kijeshi kukabidhi madaraka kwa raia kama wanayoshinikiza wananachi wanaoandamana kwa miezi kadhaa sasa.
-
Iran na Korea Kusini zasisitizia kutatua matatizo ya kibenki kati yao
Jun 04, 2019 08:38Waziri wa Uchumi wa Korea Kusini amekutana na Gavana wa Benki Kuu ya Iran na kusisitizia umuhimu wa kuzidishwa uhusiano wa pande mbili na kufanya jitihada zaidi kwa ajili ya kutatua matatizo ya kibenki.
-
Iran yaionya Saudi Arabia kutokana na chokochoko zake dhidi ya Tehran
Jun 04, 2019 02:39Msaidizi maalumu wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) katika masuala ya kimataifa ameionya Saudi Arabia iache kushirikiana na Marekani katika chokochoko zake dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Iran inatazamia kusherehekea siku kuu ya Idul Fitr Jumatano ya Juni 5
Jun 03, 2019 06:18Wananchi Waislamu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wanatazamiwa kusherehekea siku kuu ya Idul Fitr siku ya Jumatano, Juni 5.
-
IRGC: Kwa uwezo wake mkubwa, Iran itapita kipini cha vitisho na vikwazo
Jun 03, 2019 06:10Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limetoa taarifa na kusema: "Mapambano au muqawama na kusimama kidete taifa la Iran ni nukta ambazo zitavunja njama za adui."
-
Iran yaonya kuhusu matokeo mabaya ya ugaidi wa kiuchumi wa Marekani
Jun 03, 2019 06:06Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amevitaja vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya taifa hili kama 'ugaidi wa kiuchumi', huku akitahadharisha kuhusu taathira hasi iwapo Washington itaendelea kung'ang'ania mkondo wake huo wa kuwashinikiza Wairani.