Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Zarif: Vita vya kiuchumi vya Marekani dhidi ya wananchi wa Iran havina tofauti na ugaidi

    Zarif: Vita vya kiuchumi vya Marekani dhidi ya wananchi wa Iran havina tofauti na ugaidi

    May 23, 2019 06:57

    Akizungumza na chombo kimoja cha habari cha Marekani, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa vita vya kiuchumi vya Marekani dhidi ya taifa la Iran havina tofauti yoyote na ugaidi.

  • Balozi wa Iran UN: Wairani ni wakali kwa mabeberu na maadui, lakini wenye huruma kwa majirani

    Balozi wa Iran UN: Wairani ni wakali kwa mabeberu na maadui, lakini wenye huruma kwa majirani

    May 22, 2019 10:18

    Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa, Majid Takht-Ravanchi amemtumia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na rais wa umoja huo ambapo amekariri mwito wa Tehran wa kufanyika kongamano la mazungumzo ya pamoja kwa ajili ya eneo la Ghuba ya Uajemi, lengo likiwa ni kurahisisha kufikiwa makubaliano kuhusiana na masuala mapana ya eneo hilo.

  • Utafiti: Aghalabu ya Wamarekani wanapinga kushambuliwa Iran

    Utafiti: Aghalabu ya Wamarekani wanapinga kushambuliwa Iran

    May 22, 2019 06:18

    Utafiti mpya wa maoni unaonesha kuwa akthari ya wananchi wa Marekani hawaungi mkono wazo la kushambuliwa kijeshi Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Marekani.

  • Sisitizo la viongozi wa Russia, Ujerumani na Ufaransa la kulindwa mapatano ya JCPOA

    Sisitizo la viongozi wa Russia, Ujerumani na Ufaransa la kulindwa mapatano ya JCPOA

    May 22, 2019 05:18

    Mapatano ya nyuklia yanayojulikana kwa jina la JCPOA yalifikiwa mwezi Julai 2015 mjini Vienna Austria baina ya Iran na kundi la 5+1 lililojumuisha nchi za Marekani, Uingereza, Ufaransa, Russia, China pamoja na Ujerumani na Umoja wa Ulaya. Mapatano hayo yalianza kutekelezwa mwezi Januari 2016.

  • Russia, Ujerumani na Ufaransa zasisitiza kuwa JCPOA lazima ilindwe

    Russia, Ujerumani na Ufaransa zasisitiza kuwa JCPOA lazima ilindwe

    May 22, 2019 03:46

    Viongozi wa Russia, Ujerumani na Ufaransa wamesisitizia haja ya kubakishwa hai na kulindwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, huku wakibainisha kuwa nchi zao zinafanya kila linalowezekana kuimarisha uhusiano wao wa kibiashara na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, licha ya Marekani kuchukua hatua ya upande mmoja ya kujiondoa kwenye mapatano hayo ya kimataifa.

  • Zarif: Iran haitafanya mazungumzo na Marekani

    Zarif: Iran haitafanya mazungumzo na Marekani

    May 21, 2019 09:44

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema maadamu Marekani haitekelezi ahadi zake katika mapatano ya JCPOA, na maadamu haiiheshimu Iran, basi hakuna mazungumzo yatakayofanyika.

  • Iran: Netanyahu anataka kuigeuza Bahrain kuwa kisiwa cha Israel

    Iran: Netanyahu anataka kuigeuza Bahrain kuwa kisiwa cha Israel

    May 21, 2019 09:30

    Msaidizi maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesema Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu anataka kuigeuza Bahrain kuwa kisiwa cha utawala huo wa Kizayuni.

  • Trump adai kuwa Iran ndio inafanya uadui mkali, aweka matumaini ya kufanya nayo mazungumzo

    Trump adai kuwa Iran ndio inafanya uadui mkali, aweka matumaini ya kufanya nayo mazungumzo

    May 21, 2019 00:08

    Kwa mara nyingine Rais Donald Trump wa Marekani ametoa tuhuma bandia dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kuanzisha uadui mkali dhidi ya nchi yake.

  • Kamanda wa Iraq: Mashinikizo ya Marekani dhidi ya Iran ni dalili ya upumbavu

    Kamanda wa Iraq: Mashinikizo ya Marekani dhidi ya Iran ni dalili ya upumbavu

    May 19, 2019 20:50

    Kamanda wa ngazi za juu wa Harakati ya Wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi nchini Iraq amesema hatua ya Marekani kushadidisha mashinikizo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaashiria 'upumbavu mpya' na hali ya kukanganyikiwa Washington.

  • Kamanda wa IRGC: Iran haitaki vita, lakini pia haiogopi vita

    Kamanda wa IRGC: Iran haitaki vita, lakini pia haiogopi vita

    May 19, 2019 10:00

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) Meja Jenerali Hussein Salami amesema kuwa Iran haitaki vita lakini pia wakati huo huo haiogopi vita.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS