Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Iran yasema vita havitaibuka katika eneo

    Iran yasema vita havitaibuka katika eneo

    May 19, 2019 03:27

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Mohammad Javad Zarif amesema hakuna vita vitakavyoibuka Mashariki ya Kati (Asia Magharibi) pamoja na kuwepo hali ya taharuki baina ya Iran na Marekani.

  • Sisitizo la Ujerumani la kutokuwa na natija siasa za

    Sisitizo la Ujerumani la kutokuwa na natija siasa za "mashinikizo ya kiwango cha juu zaidi" za Donald Trump dhidi ya Iran

    May 19, 2019 02:34

    Rais Donald Trump wa Marekani iwe ni katika kipindi cha kampeni zake za uchaguzi au baada ya kuingia katika ikulu ya White House Januari 2017, ametanguliza mbele mkondo wa siasa za kutaka kuudhoofisha na kuuangusha mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Kwa mara nyingine EU yapinga siasa za Marekani kuhusu Iran

    Kwa mara nyingine EU yapinga siasa za Marekani kuhusu Iran

    May 18, 2019 20:51

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani kwa mara nyingine amesisitiza kuwa Umoja wa Ulaya unapinga siasa za Marekani dhidi ya Iran na kusema kuwa siasa hizo za kiuadui hazisaidii chochote.

  • Kulegeza msimamo Marekani kuhusiana na shambulio la kijeshi dhidi ya Iran

    Kulegeza msimamo Marekani kuhusiana na shambulio la kijeshi dhidi ya Iran

    May 18, 2019 05:48

    Rais Donald Trump wa Marekani iwe ni katika kipindi cha kampeni zake za uchaguzi au baada ya kuingia katika ikulu ya White House Januari 2017, amechukua mkondo wa siasa za kutaka kuudhoofisha na kuuangusha mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • NATO: Taarifa za Marekani kuihusu Iran si kinaifu

    NATO: Taarifa za Marekani kuihusu Iran si kinaifu

    May 18, 2019 03:17

    Afisa mmoja wa kitengo cha upelelezi wa Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi NATO amekosoa taarifa zinazotolewa na Marekani kuhusu maandalizi ya Iran kwa ajili ya kushambulia maslahi ya Marekani katika eneo na kuongeza kuwa, taarifa hizo kuihusu Tehran si za kukinaisha na hata ni za kudhalilisha.

  • Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran nchini China; mazungumzo ya kisiasa na kiuchumi

    Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran nchini China; mazungumzo ya kisiasa na kiuchumi

    May 18, 2019 02:55

    Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif katika bara Asia iliendelea kwa kuutembelea mji mkuu wa China na kufanya mazungumzo na viongozi wa nchi hiyo na hivyo kufungua ukurasa mpya wa udiplimasia wa kieneo wa Iran.

  • Zarif ajibu matamshi mapya ya Trump; Timu B yasema hiki, Trump anasema kingine

    Zarif ajibu matamshi mapya ya Trump; Timu B yasema hiki, Trump anasema kingine

    May 17, 2019 23:27

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema migongano katika kauli za watawala wa Marekani inaonyesha wazi kuwa hawafahamu kile wanachopaswa kufanya.

  • Udharura wa ulimwengu uliostaarabika kusimama mbele ya Marekani

    Udharura wa ulimwengu uliostaarabika kusimama mbele ya Marekani

    May 17, 2019 22:51

    Akiwa katika safari ya kuitembelea Japan, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumza na viongozi wa nchi hiyo kuhusu mapatano ya nyuklia mashuhuri kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA, na vile vile siasa haribifu za Marekani katika eneo la Asia Magharibi.

  • Gazeti la Saudia laitaka Marekani iishambulie Iran, lasema vikwazo havina athari

    Gazeti la Saudia laitaka Marekani iishambulie Iran, lasema vikwazo havina athari

    May 17, 2019 02:49

    Gazeti la Saudi Arabia lenye mfungamano na utawala wa Aal-Saud limeitaka Marekani ianzishe mashambulizi ya kijeshi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, likidai kuwa Tehran na Harakati ya Wananchi ya Ansarullah ya Yemen wamehusika na hujuma dhidi ya taasisi za mafuta za shirika la ARAMCO la Saudia.

  • Kilele cha uadui wa Marekani; Iran mshindi wa vita vya irada (azma/nia)

    Kilele cha uadui wa Marekani; Iran mshindi wa vita vya irada (azma/nia)

    May 17, 2019 02:44

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran SEPAH, amesisitiza kwamba maadui wamefikia mwisho wa njia na kwamba licha ya haiba yao ya kidhahiri lakini mifupa yao imeoza kwa ndani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS