Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • IRGC: Kufuata miongozo ya Kiongozi Muadhamu kunatoa dhamana ya ufanisi na maendeleo Iran

    IRGC: Kufuata miongozo ya Kiongozi Muadhamu kunatoa dhamana ya ufanisi na maendeleo Iran

    Apr 01, 2019 10:45

    Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) limesema kufuata miongozo ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika awamu ya pili ya Mapinduzi kutatoa dhamana ya kupatikana mafanikio na maendeleo hapa nchini.

  • Zarif: Iran kamwe haitasalimu amri mbele ya mashinikizo ya Marekani

    Zarif: Iran kamwe haitasalimu amri mbele ya mashinikizo ya Marekani

    Mar 31, 2019 22:41

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria hatua dhidi ya Iran zinazochukuliwa na Marekani na kusema: "Wairani kamwe hawatasalimu amri mbele ya mashinikizo ya Marekani."

  • Wairaq watangaza mshikamano na waathiriwa wa mafuriko nchini Iran

    Wairaq watangaza mshikamano na waathiriwa wa mafuriko nchini Iran

    Mar 31, 2019 08:45

    Kufuatia mafuriko yaliyoikumba mikoa kadhaa ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, makundi tofauti ya Wairaq yametangaza mshikamano wao na waathirika wa mafuriko hayo kwa kuchukua hatua ya kukusanya misaada ya fedha na isiyo ya fedha kwa ajili ya watu hao.

  • Idadi ya waliopoteza maisha katika mafuriko Iran yapindukia 40

    Idadi ya waliopoteza maisha katika mafuriko Iran yapindukia 40

    Mar 31, 2019 03:32

    Idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zilizonyesha katika maeneo kadhaa ya Iran imeongezeka na kufikia 42.

  • Vikwazo vya dawa dhidi ya Iran; Mahakama ya ICJ yaitaka Marekani ijieleze

    Vikwazo vya dawa dhidi ya Iran; Mahakama ya ICJ yaitaka Marekani ijieleze

    Mar 31, 2019 03:09

    Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ) imesema, imeipeleka barua serikali ya Marekani kuitaka iondoe vikwazo ilivyoiwekea Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Taasisi ya Brookings ya Marekani: Muqawama wa Iran umeichakaza timu ya Trump

    Taasisi ya Brookings ya Marekani: Muqawama wa Iran umeichakaza timu ya Trump

    Mar 30, 2019 22:00

    Taasisi ya utafiti ya Brookings nchini Marekani imekiri kuwa muelekeo unaofuatwa hivi sasa na timu ya utawala wa Donald Trump kwa madhumuni ya kuipigisha magoti Iran ikidhi matakwa ya Washington haujafanikiwa.

  • Iran: Amani ya kudumu itapatikana kwa kutamatishwa ukaliaji wa mabavu wa adhi za Palestina

    Iran: Amani ya kudumu itapatikana kwa kutamatishwa ukaliaji wa mabavu wa adhi za Palestina

    Mar 30, 2019 03:27

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa taarifa kwa mnasaba wa maadhimisho ya mwaka mmoja ya Maandamano ya Wapalestina ya "Haki ya Kurejea" yaliyoanza rasmi tarehe 30 Machi mwaka jana 2018.

  • Sisitizo la Russia la wajibu wa kukabiliana vilivyo na vikwazo vya Marekani

    Sisitizo la Russia la wajibu wa kukabiliana vilivyo na vikwazo vya Marekani

    Mar 30, 2019 02:56

    Marekani ina historia ndefu na mbaya zaidi ya kutumia vikwazo dhidi ya nchi nyingine kwa ajili ya kuendeleza malengo yake ya kibeberu. Kwa kweli viongozi wa ngazi za juu wa Marekani wanaamini kuwa, vikwazo dhidi ya nchi nyingine ndio wenzo bora kwao wa kuweza kufanikishia malengo yao.

  • Iran: 'Siku ya Ardhi' ni nembo ya mapambano dhidi ya ukaliaji ardhi kwa mabavu wa utawala wa Kizayuni

    Iran: 'Siku ya Ardhi' ni nembo ya mapambano dhidi ya ukaliaji ardhi kwa mabavu wa utawala wa Kizayuni

    Mar 29, 2019 21:49

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa taarifa na kusema: "Siku ya Ardhi" katika historia na utamaduni wa muqawama na mapambano ya Wapalestina ni nukta ya msingi ambayo imekuwa na nafasi muhimu katika kuendelea kuhuisha mapambano mbele ya ukaliaji ardhi kwa mabavu unaofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Brian Hook na ndoto ya alinacha ya kuizuia kikamilifu Iran isiuze mafuta yake

    Brian Hook na ndoto ya alinacha ya kuizuia kikamilifu Iran isiuze mafuta yake

    Mar 29, 2019 21:48

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, enzi za Marekani kutoa amri kwa nchi zingine ili kufanikisha matashi yake yaliyo dhidi ya ubinadamu na matakwa yake maovu na ya ubinafsi, hivi sasa hazipo tena.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS