Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Rais Rouhani: Mwenendo wa Marekani dhidi ya wananchi wa Iran ni jinai dhidi ya binadamu

    Rais Rouhani: Mwenendo wa Marekani dhidi ya wananchi wa Iran ni jinai dhidi ya binadamu

    Mar 07, 2019 01:10

    Rais Hassan Rouhani amesema: Mwenendo wa Marekani wa kuiwekea Iran vikwazo vya dawa ni kielelezo cha jinai dhidi ya binadamu.

  • IAEA yathibitisha kwa mara ya 15 kwamba Iran imefungamana na makubaliano ya JCPOA

    IAEA yathibitisha kwa mara ya 15 kwamba Iran imefungamana na makubaliano ya JCPOA

    Mar 04, 2019 10:53

    Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) kwa mara nyingine amethibitisha kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imefungamana na kutekeleza majukumu yake kuhusiana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Qassemi: Iran haiwaombi wengine ruhusa kuhusu masuala yake ya ndani na nje

    Qassemi: Iran haiwaombi wengine ruhusa kuhusu masuala yake ya ndani na nje

    Mar 04, 2019 10:48

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haikubali masharti na haiwaombi wengine ruhusa kuhusu masuala yake ya ndani ya nje.

  • Nguvu za Marekani zinazidi kudidimia na kudhoofika

    Nguvu za Marekani zinazidi kudidimia na kudhoofika

    Mar 04, 2019 08:29

    Admeri Ali Shamkhani Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nguvu ya Marekani imo katika hali ya kudhoofika.

  • Al Houthi: Mkutano wa Warsaw ulikuwa sherehe ya kutangaza uhusiano wa Waarabu na Israel

    Al Houthi: Mkutano wa Warsaw ulikuwa sherehe ya kutangaza uhusiano wa Waarabu na Israel

    Mar 03, 2019 23:10

    Kiongozi wa harakati ya Ansarullah nchini Yemen amesema kuwa, mkutano wa Marekani uliofanyika huko Warsaw nchini Poland ulikuwa tangazao la kuanzishwa uhusiano na ushirikiano baina ya baadhi ya nchi za Kiarabu na utawala haramu wa Israel.

  • Bwabwaja mpya za Mike Pence dhidi ya Iran, kukaririwa tuhuma bandia

    Bwabwaja mpya za Mike Pence dhidi ya Iran, kukaririwa tuhuma bandia

    Mar 03, 2019 23:09

    Marekani katika kipindi cha uongozi wa Rais Donald Trump, imeonyesha wazi misimamo yake ya kudhoofisha na kujaribu kuundoa madarakani mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu nchini Iran.

  • Syria: Marekani na Uturuki zinajua mahali alipo kiongozi wa DAESH (ISIS), Abu Bakr al-Baghdadi

    Syria: Marekani na Uturuki zinajua mahali alipo kiongozi wa DAESH (ISIS), Abu Bakr al-Baghdadi

    Mar 02, 2019 22:56

    Syria imesema, Marekani na Uturuki zina taarifa za mahali alipo kiongozi wa kundi la kigaidi la DAESH (ISIS) Ibrahim al-Samarrai, anayejulikana pia kama Abdu Bakr al-Baghdadi.

  • Iran yainasihi Imarati na kuitaka iangalie maafa ya kibinadamu Yemen badala ya kuwatuhumu wengine

    Iran yainasihi Imarati na kuitaka iangalie maafa ya kibinadamu Yemen badala ya kuwatuhumu wengine

    Mar 02, 2019 12:44

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemnasihi Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Umoja wa Falme za Kiarabu akimtaka aangalie maafa ya kibinadamu nchini Yemen yaliyosababishwa na uvamizi wa kijeshi wa nchi yake na nchi nyingine kadhaa zikiongozwa na Saudi Arabia badala ya kutoa tuhuma dhidi ya watu wengine.

  • Iran: Usalama hupatikana kwa kupendana si kwa ubeberu

    Iran: Usalama hupatikana kwa kupendana si kwa ubeberu

    Mar 01, 2019 23:18

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, fikra ya kibeberu na kutumia silaha haribifu inapaswa kuondoka na mahala pake pachukuliwe na fikra ya mazungumzo na kuishi pamoja kwa usalama na kupendana.

  • Pakistan yaiomba Iran ipatanishe mzozo kati yake na India

    Pakistan yaiomba Iran ipatanishe mzozo kati yake na India

    Mar 01, 2019 23:18

    Ubalozi wa Pakistan mjini Tehran umeiomba Jamhuri ya Kiislamu ya Kiislamu ya Iran itumie ushawishi wake kusaidia utatuzi wa amani wa mzozo uliozuka baina ya nchi yake na India.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS