Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Misimamo ya Kugongana ya Umoja wa Ulaya kuhusiana na Iran

    Misimamo ya Kugongana ya Umoja wa Ulaya kuhusiana na Iran

    Feb 05, 2019 23:11

    Umoja wa Ulaya na Troika ya Ulaya ikiwa mwanachama wa kundi la 4+1 iliunga mkono makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kukosoa vikali kujiondoa Marekani katika makubaliano hayo muhimu na ya kimataifa.

  • Iran: Hakuna mfungamano baina ya INSTEX na FATF

    Iran: Hakuna mfungamano baina ya INSTEX na FATF

    Feb 05, 2019 04:37

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kuwa, ni jambo lisilokubalika kufungamanisha baina ya Mfumo wa Mabadilishano ya Kibiashara baina ya Ulaya na Iran (INSTEX) na taasisi kama ile ya FATF.

  • Kuinuliwa uwezo wa ulinzi wa Iran, stratijia isiyoweza kubadilika

    Kuinuliwa uwezo wa ulinzi wa Iran, stratijia isiyoweza kubadilika

    Feb 05, 2019 00:12

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haiogopi dola lolote katika kuinua na kuimarisha kiwango cha uwezo wake wa kujihami.

  • Mtandao wa Kijasusi wa utawala  wa Kizayuni wakiri kuhusu uwezo wa kijeshi wa Iran

    Mtandao wa Kijasusi wa utawala wa Kizayuni wakiri kuhusu uwezo wa kijeshi wa Iran

    Feb 03, 2019 21:35

    Mtandao mmoja wa kijasusi wa utawala wa Kizayuni wa Isarel umeashiria kuzinduliwa kombora jipya la Iran na kukiri kuwa: "Kwa mtazamo wa kijeshi, Iran sasa inaishinda Israel na Marekani."

  • Salehi: Ushirikiano wa Iran na Ulaya unaendelea katika miradi ya nyuklia

    Salehi: Ushirikiano wa Iran na Ulaya unaendelea katika miradi ya nyuklia

    Feb 03, 2019 03:31

    Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Nyuklia ya Iran amesema kuwa ushirikiano kati ya Iran na Ulaya katika miradi mbalimbali ya kinyuklia unapiga hatua nzuri.

  • Jeshi la Iran lazindua 'drones' na makombora mapya

    Jeshi la Iran lazindua 'drones' na makombora mapya

    Jan 30, 2019 11:09

    Sambamba na kukaribia maadhimisho ya miaka 40 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limezindua silaha mpya za kijeshi, yakiwemo makombora ya kisasa na ndege zisizokuwa na rubani (drone).

  • Rais Assad: Jitihada za pamoja za Iran na Syria zimewatia kiwewe maadui

    Rais Assad: Jitihada za pamoja za Iran na Syria zimewatia kiwewe maadui

    Jan 29, 2019 21:41

    Rais Bashar al-Assad wa Syria amesisitizia umuhimu wa kuendelea kushirikiana nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kuzima njama za maadui wa mataifa haya mawili.

  • Iran Inaongoza Mashariki ya Kati katika uga wa anga za mbali

    Iran Inaongoza Mashariki ya Kati katika uga wa anga za mbali

    Jan 29, 2019 21:40

    Mkuu wa Shirika la Anga za Mbali la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (ISA) amesema: "Kutokana na jitihada za wasomi wake, Iran sasa inashika nafasi ya kwanza kieneo katika uga wa teknolojia ya anga za mbali na duniani inashika nafasi ya 11."

  • Ahadi za kukaririwa za Troika ya Ulaya kuhusiana na kutekelezwa mfumo maalumu wa kifedha wa SPV

    Ahadi za kukaririwa za Troika ya Ulaya kuhusiana na kutekelezwa mfumo maalumu wa kifedha wa SPV

    Jan 29, 2019 21:38

    Makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) yalihesabiwa kuwa maafikiano muhimu kwa ajili ya kulinda amani na usalama wa kimataifa.

  • Iran ni nchi yenye amani zaidi katika eneo

    Iran ni nchi yenye amani zaidi katika eneo

    Jan 29, 2019 10:14

    Mkuu wa Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Meja Jenerali Mohammad Bagheri amesema leo Iran ni nchi yenye amani zaidi katika eneo la Asia Magharibi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS