-
Shehena ya madawa ya kulevya iliyokuwa ikisafirishwa kupelekwa Ulaya yanaswa kusini mwa Iran
Jan 19, 2019 21:42Wizara ya Usalama ya Iran imetangaza kuwa vikosi vya usalama vimegundua na kunasa shehena ya madawa ya kulevya aina ya heroini yenye uzito wa kilo 618 katika bandari moja ya kusini mwa nchi.
-
Kukiri Antonio Guterres juu ya nafasi muhimu ya Iran katika eneo la Mashariki ya Kati
Jan 19, 2019 21:41Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekiri nafasi muhimu na athirifu iliyonayo Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika eneo la Mashariki ya Kati na kubainisha kwamba, katika hali ya hivi sasa ambapo eneo hili linakumbwa na migogoro mbalimbali, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni nchi muhimu na yenye nafasi muhimu na athirifu katika eneo.
-
Kumalizika safari ya Zarif nchini Iraq; dhihirisho la urafiki kuanzia Baghad hadi Arbil
Jan 18, 2019 07:43Safari ya siku tano ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Baghdad na kukutana kwake na viongozi wa serikali kuu mjini Baghdad na wa eneo la Kurdistan nchini humo ni ishara inayodhihirisha wazi kwamba uhusiano wa nchi mbili hizi jirani ni wa kirafiki.
-
Mtangazaji wa Press TV, Bi. Hashemi, kufikishwa mahakamani Marekani
Jan 18, 2019 04:46Mtangazaji wa Televisheni ya Press TV, Bi. Marzieh Hashemi, ambaye amekuwa akishikiliwa kwa siku kadhaa na polisi ya Marekani, FBI, bila kufahamishwa sababu za kukamatwa kwake anatazamiwa kufikishwa mahakamani mjini Washington DC leo Ijumaa.
-
Iran yalaani hujuma ya kigaidi nchini Kenya
Jan 16, 2019 12:46Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani hujuma ya kigaidi iliyojiri katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi hiyo jana na kusababisha watu kadhaa kuuawa na wengine kujeruhiwa.
-
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran yalaani kutiwa mbaroni mwandishi wa Press TV nchini Marekani
Jan 16, 2019 11:45Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani kitendo cha serikali ya Marekani cha kumuweka kizuizi mtangazaji maarufu wa televisheni ya Press TV na ametaka kuachiliwa huru mara moja mtangazaji huyo tena bila ya masharti yoyote.
-
Marekani na njama zake chafu dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Jan 15, 2019 04:35Mtaalamu wa masuala ya kisiasa nchi Uturuki amesema kuwa, kikao cha Marekani cha kukabiliana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran huko nchini Poland, kimepangwa kufanyika kupitia njama chafu za White House kwa ajili ya kuibua mifarakano kati ya nchi za eneo la Mashariki ya Kati na kufunika mgogogro unaonedelea kufukuta ndani ya Marekani.
-
Mashirika ya Ulaya yapinga ombi la Marekani la kususia Huawei
Jan 13, 2019 23:30Mashirika makubwa ya mawasiliano brani Ulaya yamepinga ombi la Marekani la kulisusia shirika kubwa la mawasiliano la China, Huawei.
-
Qassemi: Iran ingali imefungamana na makubaliano ya nyuklia JCPOA
Jan 13, 2019 04:06Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekanusha uvumi kwamba Tehran imejiondoa katika makubaliano ya nyuklia yanayofahamika kwa kifupi kama JCPOA.
-
Ukosoaji wa Russia kwa EU kwa kufeli mtihani wa kutekeleza kivitendo makubaliano ya JCPOA
Jan 12, 2019 04:43Makubaliano ya nyuklia, yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) ni makubaliano muhimu sana katika uga wa kudumisha amani na usalama wa kimataifa. Lakini uamuzi iliochukuliwa na Marekani mnamo mwezi Mei 2018 wa kujitoa kwenye JCPOA, ulikuwa hatua hasi iliyotekelezwa kwa nia ya kuyasambaratisha makubaliano hayo.