-
Zarif: Kongamano lijalo la Marekani dhidi ya Iran huko Poland ni sarakasi
Jan 12, 2019 04:13Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu amesema mkutano wa Marekani na waitifaki wake dhidi ya Iran unaotazamiwa kufanyika mwezi ujao katika mji mkuu wa Poland, Warsaw ni mwendelezo wa michezo ya kuigiza na sarakasi za Wasington.
-
Kamanda: Jeshi la Iran liko tayari kutoa jibu kwa tishio lolote
Jan 11, 2019 23:24Kamanda wa Jeshi la Anga la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema taifa hili limejiandaa kutoa jibu mwafaka kwa tishio lolote ajinabi.
-
Marekani; sababu kuu ya ukosefu wa amani katika Mashariki ya Kati
Jan 10, 2019 21:43Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kadiri Wamarekani watakavyoondoka haraka nchini Syria ndivyo itakavyokuwa bora kwa wananchi wa nchi hiyo.
-
Zarif: Iran haitasitisha mpango wake wa kurusha roketi anga za mbali, licha ya makelele ya Marekani
Jan 09, 2019 23:19Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Tehran itaendelea na mpango wake wa kurusha roketi katika anga za mbali licha ya onyo, vikwazo na pingamizi la Marekani.
-
Kiongozi Muadhamu: Taifa la Iran litapata ushindi wa kihistoria usiowahi kushuhudiwa dhidi ya vikwazo vya Marekani
Jan 09, 2019 13:34Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema: Marekani inasema kwa furaha kwamba vikwazo vya sasa dhidi ya taifa la Iran havijawahi kushuhudiwa katika historia; lakini taifa la Iran litapata ushindi dhidi yake katika suala hilo ambao pia haujawahi kushuhudiwa katika historia.
-
Iran: Nchi za Ulaya si wakweli katika suala la kupambana na ugaidi
Jan 09, 2019 13:30Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani uamuzi usio na mantiki na wa kushangaza uliochukuliwa na Umoja wa Ulaya wa kuwawekea vikwazo raia kadhaa wa Iran kwa kutegemea tuhuma zisizo na msingi wowote.
-
Iran: Anachofanya Trump ni kubainisha matamanio yake batili tu na yaliyo muhali kuthibiti
Jan 07, 2019 04:17Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema, anachofanya Donald Trump ni kubainisha matamanio batili tu aliyonayo na yaliyo muhali kuthibiti.
-
Kongamano la Kimataifa la Ulinzi na amani Magharibi mwa Asia litafanyika Jumatatu Tehran
Jan 06, 2019 10:41Kongamano la Kimataifa la Ulinzi na Amani Eneo la Asia Magharibi litafanyika kesho mjini Tehran likihudhuriwa na maafisa wa masuala ya kisiasa, kiulinzi na kiusalama na wataalamu wa nyanja hizo kutoka nchi mbalimbali za Asia na Ulaya.
-
Kikosi cha majini cha IRGC ya Iran kuzindua nyambizi mpya za kisasa
Jan 06, 2019 04:41Kamanda wa Kikosi cha Majini cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH) amesema kikosi hicho kinatengeneza nyambizi za kisasa, na mafanikio hayo mapya ya Iran katika uga wa kujihami yatazinduliwa karibuni hivi.
-
IRGC: Nguvu za kijeshi na kisiasa za Marekani ziko katika ncha ya kuporomoka
Jan 05, 2019 04:35Naibu Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH) amesema taifa la Iran limetoa pigo sio tu kwa mfumo wa kisiasa wa Marekani, lakini pia kwa jeshi la nchi hiyo ya kibeberu.