Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Meja Jenerali Safavi: Marekani haina nafasi tena Mashariki ya Kati

    Meja Jenerali Safavi: Marekani haina nafasi tena Mashariki ya Kati

    Dec 27, 2018 11:15

    Msaidizi na Mshauri mwandamizi wa Amiri Jeshi Mkuu wa vikosi vya jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Marekani haina nafasi tena katika eneo la Mashariki ya Kati na kwa msingi huo Wamarekani wanapaswa kuondoa katika eneo hili.

  • Maafisa wa Iran na Misri wajadili masuala ya pande mbili

    Maafisa wa Iran na Misri wajadili masuala ya pande mbili

    Dec 27, 2018 11:13

    Msaidizi maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa, Hossein Amir-Abdollahian amekutana hapa mjini Tehran na kufanya mazungumzo na afisa mkuu anayeshughulikia maslahi ya Misri hapa nchini, Yasser Othman ambapo wamesisitizia umuhimu wa kuimarishwa uhusiano wa pande mbili.

  • Iran yalaani shambulizi la kigaidi katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Libya

    Iran yalaani shambulizi la kigaidi katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Libya

    Dec 26, 2018 11:13

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani shambulio la kigaidi lililotokea jana katika jengo la Wizara ya Mambo ya Nje ya Libya mjini Tripoli.

  • Kuunga mkono Palestina; Sera thabiti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran + Video

    Kuunga mkono Palestina; Sera thabiti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran + Video

    Dec 24, 2018 04:07

    Ujumbe wa wabunge wa Palestina ukiongozwa na Mahmoud Al Zahar Mkuu wa Mrengo wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, katika bunge, ambaye pia ni mwanachama wa Ofisi ya Kisiasa ya Hamas, uko mjini Tehran kwa lengo la kufanya mazungumzo na wakuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • 'Iran haishughulishwi na makelele ya Marekani; itaimarisha majaribio ya makombora yake'

    'Iran haishughulishwi na makelele ya Marekani; itaimarisha majaribio ya makombora yake'

    Dec 21, 2018 23:33

    Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, SEPAH, limeapa kuwa litaendelea na majaribio na utafiti wake wa makombora kwa kasi zaidi ya huko nyuma na litapuuza mashinikizo na vikwazo vya Marekani.

  • Taarifa ya mwisho ya Kikao cha 5 cha Baraza Kuu la Uhusiano wa Kistratijia wa Iran na Uturuki

    Taarifa ya mwisho ya Kikao cha 5 cha Baraza Kuu la Uhusiano wa Kistratijia wa Iran na Uturuki

    Dec 21, 2018 01:10

    Marais wa Iran na Uturuki wamesisitiza katika taarifa ya mwisho ya Kikao cha 5 cha Baraza Kuu la Uhusiano wa Kistratijia wa nchi hizo mbili umuhimu wa kuchukuliwa hatua za dharura za kufanikisha biashara yenye thamani ya dola bilioni 30 kwa mwaka kati ya pande hizo mbili.

  • Rais Rouhani: Vikwazo vya kidhalimu vya Marekani dhidi ya Iran, ni hatua ya kigaidi kwa asilimia mia moja

    Rais Rouhani: Vikwazo vya kidhalimu vya Marekani dhidi ya Iran, ni hatua ya kigaidi kwa asilimia mia moja

    Dec 20, 2018 12:16

    Rais Hassan Rouhani amesema: Hatua ilizochukua Marekani dhidi ya Iran ni za kigaidi kwa asilimia mia moja, kwa sababu nchi hiyo inazitisha nchi nyingine zisitekeleze azimio nambari 2231, zisifanye biashara huru wala kutekeleza matakwa ya wananchi wao, mashirika na wadau wa kiuchumi.

  • Safari ya Uturuki ya Rais Rouhani; Mwanzo Mpya wa Ushirikiano wa Kistratijia

    Safari ya Uturuki ya Rais Rouhani; Mwanzo Mpya wa Ushirikiano wa Kistratijia

    Dec 20, 2018 03:49

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana Jumatano aliwasili mjini Ankara nchini Uturuki akiongoza ujumbe wa ngazi za juu wa kisiasa akiitikia mwaliko wa Rais Recep Tayyip Erdoğan wa nchi hiyo.

  • Dakta Kharrazi: Wamarekani wameitumbukiza Saudi Arabia katika kinamasi

    Dakta Kharrazi: Wamarekani wameitumbukiza Saudi Arabia katika kinamasi

    Dec 19, 2018 23:10

    Mkuu wa Baraza la Kistratijia la Uhusiano wa Nje la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Wamarekani wameitumbukiza Saudi Arabia katika kinamasi na hivi sasa Riyadh imegeuka na kuwa mhudumu wao.

  • Iran: Lugha ya heshima inapaswa kuchukua nafasi ya lugha ya vikwazo na vitisho

    Iran: Lugha ya heshima inapaswa kuchukua nafasi ya lugha ya vikwazo na vitisho

    Dec 19, 2018 04:23

    Naibu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anayehusika na masuala ya kisiasa amesema taifa hili limeishi chini ya vikwazo kwa miaka mingi na hata kupata mafanikio makubwa chini ya vikwazo hivyo, na kwa msingi huo, lugha ya heshima inapaswa kuchukua nafasi ya lugha ya vikwazo na vitisho.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS