Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Kukiri Marekani kushindwa siasa zake za kuipindua serikali ya Syria

    Kukiri Marekani kushindwa siasa zake za kuipindua serikali ya Syria

    Dec 18, 2018 23:18

    Mgogoro wa Syria na vita vya ndani vya nchi hiyo vilivyoanza mwaka 2011 vimeitumbukiza nchi hiyo ya Kiarabu katika mgogoro mkubwa. Suala hilo linatumiwa vibaya pia na madola ya kibeberu ya Magharibi yakiongozwa na Marekani kwa kushirikiana na vibaraka wake wa nchi za Kiarabu kama vile Saudi Arabia kumalizia hasira zao kwa taifa hilo.

  • Zarif amshangaa Netanyahu kwa kusifia makombora mapya ya Israel

    Zarif amshangaa Netanyahu kwa kusifia makombora mapya ya Israel

    Dec 18, 2018 12:06

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali kitendo cha Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel cha kuonesha majivuno na kusifia makombora mapya ya utawala huo wa Kizayuni.

  • Qassemi: Uhusiano mzuri wa Iran na Iraq unaendelea

    Qassemi: Uhusiano mzuri wa Iran na Iraq unaendelea

    Dec 17, 2018 10:23

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, licha ya kuweko njama zisizo na natija za Marekani, uhusiano wa Tehran na Baghdad upo katika kiwango kizuri.

  • Ayatullah Amoli Larijani akosoa undumakuwili wa Wamagharibi katika vita dhidi ya ugaidi

    Ayatullah Amoli Larijani akosoa undumakuwili wa Wamagharibi katika vita dhidi ya ugaidi

    Dec 17, 2018 10:22

    Mkuu wa Vyombo vya Mahakama nchini Iran amekosoa vikali undumakuwili wa baadhi ya mataifa ya dunia katika vita dhidi ya ugaidi na kusema kuwa, baadhi ya madola yanadai kupambana na ugaidi na wakati huo huo yanawakingia kifua magaidi.

  • Rais wa Iraq aishukuru Iran kwa msaada katika vita dhidi ya ISIS (Daesh)

    Rais wa Iraq aishukuru Iran kwa msaada katika vita dhidi ya ISIS (Daesh)

    Dec 15, 2018 23:12

    Rais wa Iraq ameishukuru kwa dhati Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa msaada wake katika vita vilivyopelekea kushindwa magaidi wakufurishaji wa kundi la ISIS au Daesh nchini humo.

  • Zarif: Iran katu haitafanya mazungumzo kuhusu makombora yake

    Zarif: Iran katu haitafanya mazungumzo kuhusu makombora yake

    Dec 15, 2018 11:13

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesisitiza kwa mara nyingine kuwa, Iran haitafanya mazungumzo kuhusu makombora yake ya kujihami.

  • Ayatullah Siddiqi: Demokrasia ya Uliberali imefika ukingoni

    Ayatullah Siddiqi: Demokrasia ya Uliberali imefika ukingoni

    Dec 14, 2018 12:38

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema demokrasia ya uliberali duniani ipo ukingoni kusambaratika na kutoweka kikamilifu.

  • Zarif: Nguvu na ushawishi wa Marekani duniani unaendelea kufifia

    Zarif: Nguvu na ushawishi wa Marekani duniani unaendelea kufifia

    Dec 14, 2018 12:31

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema jitihada za Rais Donald Trump za kuzishurutisha nchi nyingine zisifanye biashara na Tehran zinaonesha bayana namna uwezo, nguvu na ushawishi wa Marekani duniani unavyofifia na kudhoofika siku baada ya nyingine.

  • Iran yakaribisha mapatano ya awali ya amani Yemen

    Iran yakaribisha mapatano ya awali ya amani Yemen

    Dec 14, 2018 03:52

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameyataja matokeo ya awali ya mazungumzo ya amani ya Yemen huko Stockholm nchini Sweden kuwa chanya na yenye kuleta matumaini.

  • Msimamo makini wa Russia, wa kupinga JCPOA kuhusishwa na masuala mengine ya Iran

    Msimamo makini wa Russia, wa kupinga JCPOA kuhusishwa na masuala mengine ya Iran

    Dec 13, 2018 23:12

    Baada ya Marekani kujitoa kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA mnamo mwezi Mei mwaka huu wa 2018, kila mara imekuwa ikijaribu kufanya kila njia kuzishusisha shughuli za nyuklia za Iran na masuala mengine, ili kutetea na kuhalalisha uamuzi wake wa kujitoa kwenye makubaliano hayo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS