-
Iran: Kukabidhiwa kambi ya anga ya Ain al Asad ni ishara ya kuimarisha mamlaka ya kujitawala ya Iraq
Jan 18, 2026 23:25Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amekaribisha kukabidhiwa kambi ya anga ya Ain al Asad kwa vikosi vya jeshi la Iraq na kuitaja hatua hiyo kuwa ishara ya kuimarishwa utuvulivu na mamlaka ya kujitawala Iraq.
-
Mahakama ya Iran kuwaadhibu vikali wahusika wa machafuko
Jan 18, 2026 09:07Mahakama ya Iran imesema itawafikisha mahakamani watu wote waliohusika katika kusababisha vifo vya watu wakati wa machafuko ya hivi karibuni nchini kote, ikiahidi adhabu kali kwa watakaopatikana na hatia.
-
Kwa nini nchi za eneo zinataka kudumishwa utulivu na uthabiti nchini Iran?
Jan 18, 2026 07:22Machafuko ya hivi karibuni nchini Iran na tishio la Trump kuishambulia kijeshi Iran ikiwa ni katika madai ya kuwaunga mkono wanaojiita waandamanaji vimezifanya nchi za eneo kuwa na wasiwasi mkubwa.
-
Onyo la Iran kwa Marekani; Usirudie tena vita vilivyofeli vya siku 12
Jan 17, 2026 23:07Tehran imemuonya Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu kukariri uzoefu uliofeli wakati wa vita vya siku 12 vya utawala wa Kizayuni dhidi ya Iran.
-
Kwa nini Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai inapinga uingiliaji wa kigeni nchini Iran?
Jan 16, 2026 22:59Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) imetangaza rasmi kupinga uingiliaji wa aina yoyote wa kigeni nchini Iran.
-
Iran, China na Russia zailaani Marekani kwa ghasia za karibuni nchini Iran
Jan 16, 2026 03:49Gholamhossein Darzi, Naibu Mwaklishi wa Kudumu wa Iran Umoja wa Mataifa ameikosoa vikali Marekani katika mkutano wa dharura wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu ghasia na machafuko yaliyoungwa mkono na nchi ajinabi dhidi ya Iran.
-
Jumuiya ya Shanghai yalaani ghasia za kigaidi nchini Iran huku uungaji mkono kimataifa ukiongezeka
Jan 16, 2026 03:48Norlan Yerkembayev Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) amelaani vikali hujuma za kigaidi na uharibifu wa hivi karibuni katika mji wa Tehran na miji mingine ya Iran iliyoathiriwa wakati wa maandamano ya amani ya wananchi.
-
Iran: US, Israel ziliwapa silaha, fedha wafanya ghasia nchini
Jan 15, 2026 23:24Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema Marekani na Israel zilipanga na kufanikisha ghasia zilizoshuhudiwa hapa nchini hivi karibuni, zikielekeza silaha na pesa taslimu kuchochea vurugu na uvunjifu wa utulivu, ikiwa ni sehemu ya mpango mpana wa kuibua mgawanyiko na mifarakano katika taifa hili.
-
ANC yaonya kuhusu njama za 'mapinduzi' nchini Iran
Jan 15, 2026 22:43Mkuu wa vuguvugu la Mshikamano wa Kimataifa wa chama tawala cha African National Congress (ANC) katika jimbo la Western Cape nchini Afrika Kusini ameonya kwamba, machafuko ya hivi karibuni nchini Iran yana mkono wa Marekani na washirika wake wa Kizayuni.
-
Nini lengo la mchezo wa takwimu wa Trump kuhusu waliofariki katika ghasia za Iran?
Jan 15, 2026 07:04Ikiwa ni katika fremu ya uingiliaji wake katika masuala ya ndani ya Iran, Rais Donald Trump wa Marekani amezindua sarakasi mpya ya takwimu kuhusu Iran.