-
Iran: Trump ameshindwa ndio maana anazidi kupayuka
Oct 15, 2018 04:24Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, viongozi wa Marekani hasa Donald Trump wanaendelea kushindwa mtawalia mbele ya irada na tadibiri makini ya serikali na taifa la Iran na ndio maana wanazidi kutoa tuhuma zisizo na msingi dhidi ya Tehran.
-
VIDEO: Boti za Kasi za Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH zinavyopambana na manuwari za Marekani Ghuba ya Uajemi
Oct 14, 2018 10:47Kwa mara ya kwanza Iran imetoa video inayoonesha boti za kasi za Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH zikikaribia manuwari ya kivita ya Marekani katika maji ya Ghuba ya Uajemi.
-
Uingereza: Kufungamana na JCPOA ni msingi wa uhusiano wetu na Iran
Oct 14, 2018 04:21Balozi wa Uingereza nchini Iran amesema kufungamana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kama mapatano ya kimataifa ni msingi wa uhusiano wa London na Tehran.
-
Makabiliano ya kidiplomasia yajiri kati ya Iran, Marekani na Saudia katika Umoja wa Mataifa
Oct 13, 2018 04:40Mjumbe wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Kamati ya Kwanza ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa amewakabili wawakilishi wa Marekani na Saudi Arabia katika umoja huo na kuwaeleza kwamba, utawala wa kifalme wa Saudia ni utawala wa kigaidi ambao hata waandishi wa habari pia hawasalimiki na mauaji ya kigaidi yanayofanywa na utawala huo.
-
Ndoto za Trump za kuuondoa madarakani utawala wa Kiislamu nchini Iran
Oct 12, 2018 23:13Kamanda wa Jeshi la Wazlini wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (Sepah) amesema kuwa: Rais Donald Trump wa Marekani anakosea kwa kudhani kuwa Iran imedhoofika baada ya yeye kushika madaraka ya nchi huko Marekani.
-
Trump awashambulia marafiki na maadui zake
Oct 11, 2018 23:11Tangu aingie madarakani nchini Marekani mwezi Januari 2017, Rais Donald Trump wa nchi hiyo amekuwa akitekeleza siasa ambazo zimeifanya dunia kuwa uwanja wa malumbano na mivutano.
-
Njama za kikundi cha Munafiqeen na uchochezi dhidi ya Iran
Oct 11, 2018 08:13Kukamatwa mwanadiplomasia wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Ubelgiji kwa tuhuma bandia za kushiriki kwake katika mpango wa kushambuliwa kikundi cha kigaidi cha Munafigeen katika mojawapo ya viunga vya Paris, mji mkuu wa Ufaransa, ni uchochezi mpya dhidi ya Iran.
-
Iran: Suala la kutia dosari ushirikiano wa Syria na shirika la OPCW linapasa kuepukwa
Oct 10, 2018 11:27Balozi na Mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Shirika Linalopiga Marufuku Silaha za Kemikali (OPCW) amezungumzia kuangamizwa silaha za kemikali huko Syria na kusisitiza kuwa suala la kuchafua ushirikiano mkubwa unaotolewa na Damascus kwa shirika hilo linapasa kuepukwa.
-
Ndege za Qatar Airways kuendelea na safari za Iran licha ya vikwazo vya Marekani
Oct 09, 2018 04:33Shirika la ndege la Qatar Airways limesema safari za ndege za shirika hilo za kwenda na kutoka Iran zitaendelea kama kawaida, licha ya vikwazo vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Iran yaitaka jamii ya kimataifa ishirikiane kupambana na sera za kibeberu za US
Oct 09, 2018 04:27Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amezitaka nchi za dunia kuimarisha ushirikiano wao ili zifanikiwe kuzikabili sera za kibeberu na za kibabe za Marekani.