-
Iran yazindua meli mpya zilizoundwa na wazawa kwa ajili ya ulinzi wa pwani
Feb 13, 2025 07:51Iran imezindua meli 10 za walinzi wa pwani na meli za uongozaji wakati wa ziara ya Rais Masoud Pezeshkian katika mji wa bandari wa Ghuba ya Uajemi wa Bushehr hapa nchini.
-
Iravani: Iran inaunga mkono kuundwa serikali jumuishi nchini Syria
Feb 13, 2025 03:22Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema: Iran inaunga mkono uundwaji wa serikali shirikishi kupitia uchaguzi huru na mazungumzo jumuishi ya kitaifa nchini Syria.
-
Mkutano wa dharura wa OIC kuhusu Gaza kufanyika kwa pendekezo la Iran
Feb 12, 2025 23:22Kikao kisicho cha kawaida cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) ch kuchunguza njama ya Marekani na Israel ya kuwaondoa kwa nguvu watu wa Gaza, kitafanyikandani ya wiki zijazo kutokana na pendekezo la Iran.
-
Mwangwi wa maandamano ya Bahman 22 katika vyombo vya habari vya Marekani
Feb 10, 2025 23:16Vyombo vya habari vya lugha ya Kiingereza vimeyapa kipaumbele maalumu maadhimisho ya miaka 46 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran yaliyofanyika jana kote nchini.
-
Rais Pezeshkian: Iran itazima njama zote za maadui
Feb 10, 2025 07:57Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian anasema Jamhuri ya Kiislamu itafanya juu chini kuzima njama zote zinazopangwa na maadui dhidi ya taifa hili.
-
Iran yataka kufanyika kikao cha dharura cha OIC kujadili kadhia ya Palestina
Feb 10, 2025 11:27Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amezungumza na kubadilishana mawazo na mwenzake wa Gambia, Mamadou Tangara, ambaye nchi yake ndiye mwenyekiti wa sasa wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC), kuhusu matukio ya sasa huko Palestina hususan Ukanda wa Gaza.
-
Maandamano ya Bahman 22 ya kuadhimisha ushindi ya Mapinduzi ya Kiislamu yaanza nchini kote
Feb 10, 2025 04:12Maandamano ya Bahman 22 ya kuadhimisha miaka 46 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu yameanza kote nchini Iran ikiwa ni pamoja na katika Jiji kuu la Tehran.
-
Iran ina nafasi muhimu katika soko la kimataifa la teknolojia ya nano
Feb 09, 2025 07:11Katibu wa Taasisi ya Tekenolojia ya Nano ya Iran amesema kuwa, Tehran imekuwa na nafasi muhimu katika soko la kimataifa la teknolojia ya nano kwa kusafirisha bidhaa za nano zenye thamani ya zaidi ya dola milioni moja kwa nchi sita zilizoendelea.
-
Pezeshkian: Mataifa ya Kiislamu yaungane kuijenga upya Gaza
Feb 09, 2025 03:44Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian ametoa mwito kwa nchi za Kiislamu kuungana na kushirikiana ili kulijenga upya eneo la Ukanda la Gaza ambalo limeharibiwa kikamilifu na mabomu ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Kamanda Salami wa IRGC : Hatutasalimu amri mbele ya tishio lolote
Feb 07, 2025 04:26Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC amesema nguvu za Iran na historia yake pana inaifanya isiweze kutetereshwa na mashinikizo ya nje.