Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Iran: US na Ujerumani zinasaidia mkono kwa mkono mauaji ya kimbari yanayofanywa na Israel Ghaza

    Iran: US na Ujerumani zinasaidia mkono kwa mkono mauaji ya kimbari yanayofanywa na Israel Ghaza

    Dec 17, 2024 04:12

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema, Marekani na Ujerumani zinasaidiana mkono kwa mkono na Israel katika mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala huo wa Kizayuni huko Ghaza.

  • Ripoti ya kila mwaka ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu uliofanywa na Marekani na Uingereza

    Ripoti ya kila mwaka ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu uliofanywa na Marekani na Uingereza

    Dec 16, 2024 03:22

    Kwa mujibu wa ripoti ya kila mwaka ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusiana na ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa Marekani na Uingereza, ripoti ambayo imeandaliwa kwa kutelekeza mswada uliopitishwa na Bunge la Iran mwaka 1391 Hijria Shamsia,

  • Yemen: Marekani inatushambulia kwa sababu ya uungaji mkono wetu kwa wananchi wa Ghaza

    Yemen: Marekani inatushambulia kwa sababu ya uungaji mkono wetu kwa wananchi wa Ghaza

    Dec 15, 2024 23:12

    Mkuu wa Kamati ya Taifa ya Masuala ya Mateka wa serikali ya Yemen amesema kuwa, mashambulizi na tuhuma zinazotolewa na Marekani dhidi ya San'an kuhusu haki za binadamu ni muendelezo wa chuki za mabeberu dhidi ya Yemen kutokana na uungaji mkono wake usiotetereka wa wananchi wa Palestina hasa wa Ghaza.

  • Iran: Marekani imepuuza sheria za haki za binadamu kwa kuunga mkono utawala wa Kizayuni

    Iran: Marekani imepuuza sheria za haki za binadamu kwa kuunga mkono utawala wa Kizayuni

    Dec 15, 2024 07:54

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema katika ripoti yake ya kila mwaka kuwa: Marekani imepuuza sheria za kimataifa na maamuzi yote ya taasisi za haki za binadamu kwa uungaji mkono wake mkubwa na usio na kikomo kwa utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Iran na Qatar zasisitiza kuzuiwa mashambulio ya Israel dhidi ya miundomsingi ya Syria

    Iran na Qatar zasisitiza kuzuiwa mashambulio ya Israel dhidi ya miundomsingi ya Syria

    Dec 12, 2024 07:38

    Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Qatar wamesisitiza juu ya ulazima wa kufanyika juhudi na kuchukuliwa hatua za dhati ili kusimamisha mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya miundomsingi ya Syria na kukalia kwa mabavu maeneo zaidi ya nchi hiyo na utawala huo ghasibu.

  • Iran yailaani Daesh (ISIS) kwa kumuua waziri wa serikali Taliban Afghanistan

    Iran yailaani Daesh (ISIS) kwa kumuua waziri wa serikali Taliban Afghanistan

    Dec 12, 2024 02:58

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani mauaji ya Khalil-ur-Rehman Haqqani, waziri wa masuala ya wakimbizi wa serikali ya kundi la Taliban nchini Afghanistan.

  • Tuhuma mpya za Troika ya Ulaya dhidi ya mpango wa amani wa nyuklia wa Iran

    Tuhuma mpya za Troika ya Ulaya dhidi ya mpango wa amani wa nyuklia wa Iran

    Dec 10, 2024 23:16

    Troika ya Ulaya (Ujerumani, Ufaransa na Uingereza) ya Jumatatu ya tarehe 9 Disemba ilikariri madai yenye utashi wa kisiasa kuhusu mpango wa amani wa nyuklia wa Iran.

  • Iran yalaani jinai na uvamizi wa mfululizo wa Israel dhidi ya Syria

    Iran yalaani jinai na uvamizi wa mfululizo wa Israel dhidi ya Syria

    Dec 10, 2024 03:03

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali uvamizi na mashambulizi ya mara kwa mara wa utawala wa Kizayuni dhidi ya miundombinu ya Syria ambapo Israel imeteka na kukalia kwa mabavu maeneo mengine ya Syria katika kipindi cha siku chache zilizopita.

  • Iran: Mpango wa amani wa nyuklia wa Iran uko uwazi na chini ya usimamizi wa IAEA

    Iran: Mpango wa amani wa nyuklia wa Iran uko uwazi na chini ya usimamizi wa IAEA

    Dec 08, 2024 04:33

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema kuwa, mradi wa amani wa nyuklia wa Iran uko wazi na unafanyika chini ya usimamizi wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA).

  • Iran yaitaka Ukraine iache kuwaunga mkono na kuwasaidia magaidi eneo la Asia Magharibi

    Iran yaitaka Ukraine iache kuwaunga mkono na kuwasaidia magaidi eneo la Asia Magharibi

    Dec 06, 2024 22:56

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imeitaka Ukraine iache kuunga mkono magaidi katika eneo la Asia Magharibi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS