Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Mkutano wa mawaziri wa nchi zinazouza gesi duniani waanza Tehran

    Mkutano wa mawaziri wa nchi zinazouza gesi duniani waanza Tehran

    Dec 06, 2024 08:39

    Mkutano wa 26 wa nchi zinazouza gesi duniani umeanza shughuli zake hapa mjini Tehran.

  • Mufti wa Tanzania apongeza uamuzi wa Iran wa kuanzisha Akademia ya Qur'ani Dar Es Salaam

    Mufti wa Tanzania apongeza uamuzi wa Iran wa kuanzisha Akademia ya Qur'ani Dar Es Salaam

    Dec 05, 2024 23:49

    Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania ameipongeza Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa uamuzi wake wa kuanzisha Akademia ya Qur'ani ya Dar al-Nur na kuahidi kutoa ushirikiano unaohitajika katika uwanja huo.

  • Iran yapinga madai ya 'Troika ya Ulaya' kuhusu kadhia ya nyuklia

    Iran yapinga madai ya 'Troika ya Ulaya' kuhusu kadhia ya nyuklia

    Dec 04, 2024 23:27

    Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amemtumia barua Katibu Mkuu wa umoja huo na Baraza la Usalama akisema kuwa tuhuma zilizotolewa dhidi ya Tehran hazina msingi wowote na zina malengo ya kisiasa. Amir Saeid Iravani ameeleza hayo kufuatia tuhuma zilizotolewa na wawakilishi wa Troika ya Ulaya dhidi ya Tehran. Troika hiyo inajumuisha Ufaransa, Uingereza na Ujerumani.

  • Iravani: Iran itaendelea kuwa imara katika kuiunga mkono Syria

    Iravani: Iran itaendelea kuwa imara katika kuiunga mkono Syria

    Dec 04, 2024 09:35

    Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amezungumzia machafuko ya karibuni ya magaidi huko Syria na kusisitiza kuwa Tehran itaendelea kuiunga mkono Damascus katika kukabiliana na makundi hayo ya kigaidi.

  • Iran iko tayari kuangalia uwezekano wa kupeleka askari Syria ikiombwa rasmi kufanya hivyo

    Iran iko tayari kuangalia uwezekano wa kupeleka askari Syria ikiombwa rasmi kufanya hivyo

    Dec 04, 2024 03:49

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi amesema, Iran iko tayari kufikiria kupeleka wanajeshi Syria, ambako serikali inapambana na ugaidi uliozuka upya, iwapo Damascus itatoa ombi rasmi.

  • Rais Pezeshkian: Kambi ya Muqawama itashinda njama za magaidi

    Rais Pezeshkian: Kambi ya Muqawama itashinda njama za magaidi

    Dec 02, 2024 23:21

    Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema kuwa, Tehran iko tayari kuboresha ushirikiano na Syria ili kuondokana na mgogoro unaoendelea katika nchi hiyo ya Kiarabu baada ya magenge ya kigaidi kuanzisha wimbi jipya la mashambulizi yao ya kikatili.

  • Rais Pezeshkian: Kuenea ugaidi Syria si kwa manufaa ya nchi yoyote ya eneo hili

    Rais Pezeshkian: Kuenea ugaidi Syria si kwa manufaa ya nchi yoyote ya eneo hili

    Dec 02, 2024 23:21

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo ya simu na Amir wa Qatar na kusisitiza kuwa, kuenea machafuko na vitendo vya kigaidi nchini Syria si kwa manufaa ya nchi yoyote ya eneo hili, hivyo ni wajibu wa nchi zote kushirikiana kupambana na vitendo hivyo vya kigaidi.

  • Ismail Baqaei: Utambulisho na malengo ya magaidi nchini Syria hayajabadilika

    Ismail Baqaei: Utambulisho na malengo ya magaidi nchini Syria hayajabadilika

    Dec 02, 2024 08:32

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa mienendo ya makundi ya kigaidi ni tofauti na zamani, lakini kwamba utambulisho na malengo yao hayajabadilika.

  • Duru mpya ya hatua za kidiplomasia za Iran kwa ajili ya kukabiliana na makundi ya kitakfiri na kigaidi katika eneo

    Duru mpya ya hatua za kidiplomasia za Iran kwa ajili ya kukabiliana na makundi ya kitakfiri na kigaidi katika eneo

    Dec 01, 2024 08:46

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeanzisha duru mpya ya hatua za kidiplomasia katika eneo kwa ajili ya kukabiliana na makundi ya kigaidi na kitakfiri.

  • Ivory Coast yasisitiza kuimarisha ushirikiano wa kibiashara na Iran

    Ivory Coast yasisitiza kuimarisha ushirikiano wa kibiashara na Iran

    Dec 01, 2024 00:42

    Balozi wa Ivory Coast nchini Iran amesisitiza azma ya nchi yake ya kuimarisha ushirikiano wa kibiashara na Iran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS