-
Donald Trump na kuanza tena sera iliyofeli ya mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Iran
Feb 06, 2025 08:57Jumanne ya Februari 4, 2025, Rais Donald Trump wa Marekani alitia saini hati ya utendaji ili kuendeleza sera za mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Iran na kudai kwamba, "Yuko tayari kuzungumza na rais wa Iran."
-
Iran yaonesha sehemu ya nguvu zake za makombora mapya
Feb 06, 2025 03:39Mfumo wa kimkakati wa ulinzi wa anga wa masafa marefu wa Bavar 373 wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran umepasi katika majaribio kwa kutungua kwa umahiri vyombo vilivyokuwa vinaruka katika masafa ya juu angani. Hayo yamefanyika kwenye mazoezi ya kijeshi ya anga ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yaliyopewa jina la Eqtedar 1403.
-
Pezeshkian: ECO ni jukwaa muhimu la ushirikiano baina ya nchi za Kiislamu
Feb 06, 2025 03:26Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametilia mkazo wajibu wa kustawishwa uhusiano kati ya nchi za Kiislamu na amesema: "Jumuiya ya ECO inaweza kuwa jukwaa linalofaa mno kwa ajili ya kuleta maelewano na ushirikiano kati ya mataifa ya Kiislamu."
-
Nchi 35 duniani zinatumia dawa za kibioteknolojia za Iran
Feb 05, 2025 23:04Katibu wa Jumuiya ya Watengenezaji na Wasafirishaji wa Bidhaa za Dawa za Sekta ya Bioteknolojia ya Iran ametangaza bidhaa hizo zinauzwa katika nchi 35.
-
Kiongozi Muadhamu awasamehe wafungwa zaidi ya 3,000 kwa mnasaba wa maadhimisho ya Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 05, 2025 11:25Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, ameidhinisha kusamehewa kikamilifu au sehemu ya adhabu wafungwa zaidi ya 3,000 katika maadhimisho ya mwaka wa 46 wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Iran yamhutubu Trump: Mashinikizo mengine ya juu, kushindwa tena US
Feb 05, 2025 09:00Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amesisitiza kuwa, duru mpya ya kutekeleza sera ya "mashinikizo ya juu" ya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu itapelekea kushindwa tena Washington.
-
Iran yaionya Israel kutokariri mauaji ya kimbari ya Gaza katika Ukingo wa Magharibi
Feb 03, 2025 23:24Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameitolea wito jamii ya kimataifa kuishurutisha Israel isikariri jinai yake ya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina wa eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan kama ilivyofanya katika Ukanda wa Gaza.
-
Iran yazindua satalaiti 3 za Navak-1, Pars-1 iliyoboreshwa, na Pars-2
Feb 02, 2025 07:47Iran imezindua satalaiti tatu mpya wakati wa hafla iliyofanyika leo Jumapili kuadhimisha Siku ya Kitaifa ya Teknolojia ya Anga za Mbali.
-
Rais Pezeshkian atembelea mafanikio mapya ya anga na ulinzi ya Wizara ya Ulinzi
Feb 02, 2025 04:19Rais Masoud Pezeskhian mapema leo ametembelea maonyesho ya mafanikio ya Wizara ya Ulinzi. Ziara hii imefanyika leo Jumapili katika Shirika la Anga za Mbali la Iran katika kuadhimisha Siku ya Kitaifa ya Teknolojia ya Anga za Mbali.
-
IRGC yazindua kituo kipya cha chini ya ardhi cha makombora ya kruzi ya kuteketeza manowari za mashambulizi
Feb 02, 2025 00:07Kikosi cha Wanamaji cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) kimezindua kituo kipya cha chini ya ardhi katika maeneo ya mwambao wa kusini mwa Iran, kinachohifadhi makombora yaliyo tayari kuteketeza manowari za mashambulizi za adui katika eneo la kimkakati la majini.