Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Baraza la Mawaziri latangaza tena itiifu wao kwa malengo ya kiongozi mwasisi, Imam Khomeini

    Baraza la Mawaziri latangaza tena itiifu wao kwa malengo ya kiongozi mwasisi, Imam Khomeini

    Feb 01, 2025 09:29

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na baraza lake la mawaziri mapema leo wamezuru haram ya mwasisi Jamhuri ya Kiislamu na kutangaza tena utiifu na mfungamano wao kwa thamani na malengo ya Imam Ruhullah Khomeini (Mwenyezi Mungu amrehemu).

  • Rais wa Iran: Sehemu kubwa ya matatizo ya Ulimwengu wa Kiislamu yanasababishwa na kuwa mbali na mafundisho ya Qur'ani

    Rais wa Iran: Sehemu kubwa ya matatizo ya Ulimwengu wa Kiislamu yanasababishwa na kuwa mbali na mafundisho ya Qur'ani

    Jan 31, 2025 23:37

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika ujumbe wake katika hafla ya kumalizika duru ya 41 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'an katika mji wa Mash'had hapa nchini kuwa: Sehemu kubwa ya matatizo ya Ulimwengu wa Kiislamu hii leo ​​ni matokeo ya kuwa mbali na mafundisho ya Qur'ani.

  • Iran yaonya: Shambulio dhidi ya vituo vyetu vya nyuklia litasababisha 'vita vitakavyoenea katika eneo'

    Iran yaonya: Shambulio dhidi ya vituo vyetu vya nyuklia litasababisha 'vita vitakavyoenea katika eneo'

    Jan 31, 2025 23:37

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araghchi ametoa onyo kali kuhusu matokeo mabaya ya kitendo cha uchokozi kinachoweza kufanywa, ambacho kinaweza kuuhusisha utawala wa Kizayuni wa Israel na Marekani dhidi ya vituo vya nyuklia vya Iran.

  • Spika wa Baraza la Hamas apongeza mchango wa Iran katika kuwatetea Wapalestina

    Spika wa Baraza la Hamas apongeza mchango wa Iran katika kuwatetea Wapalestina

    Jan 31, 2025 23:03

    Muhammad Ismail Darwish, Mwenyekiti wa Shura ya Hamas, ametoa shukurani kwa msaada na uungaji mkono wa Iran kwa watu wa Palestina, na kusema mchango wa Tehran ni muhimu katika mapambano yanayoendelea dhidi ya utawala wa ghasibu wa Israel.

  • Iran yaanza sherehe za Alfajiri Kumi za ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu

    Iran yaanza sherehe za Alfajiri Kumi za ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu

    Jan 31, 2025 10:03

    Raia wa Iran leo wameanza sherehe za Alfajiri Kumi ili kuadhimisha mwaka wa 46 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu yaliyouangusha utawala wa kifalme wa Pahlavi uliokuwa ukiungwa mkono na kusaidiwa na Marekani.

  • Hatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Mafanikio muhimu ya Mapinduzi ya Kiislamu ni uzalishaji wa sayansi na elimu

    Hatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Mafanikio muhimu ya Mapinduzi ya Kiislamu ni uzalishaji wa sayansi na elimu

    Jan 31, 2025 10:00

    Imamu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema: Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu anakutambua kuzalisha elimu na sayansi kuwa ndio njia ya kupata nguvu na kuwa imara, na mafanikio yenye thamani kubwa zaidi ya Mapinduzi ya Kiislamu ni uzalishaji wa sayansi na harakati ya kuelekea kwenye kilele cha elimu inaofanywa na vijana mahiri wa Iran.

  • Pezeshkian: Iran haijapokea ujumbe wowote kutoka Marekani

    Pezeshkian: Iran haijapokea ujumbe wowote kutoka Marekani

    Jan 29, 2025 07:40

    Rais wa Iran Masoud Pezeshkian amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu haijapokea ujumbe wowote kutoka Washington hadi sasa.

  • Uhusiano wa kibiashara wa Iran na Oman wazidi kustawi

    Uhusiano wa kibiashara wa Iran na Oman wazidi kustawi

    Jan 29, 2025 00:06

    Waziri wa Viwanda, Madini na Biashara wa Iran ametangaza habari ya kuzidi kustawi na kuimarika uhusiano wa kibiashara baina ya Jamhuri ya Kiislamu na Oman.

  • Iran yasikitishwa na shambulio la droni lililoua 70 hospitalini Darfur, Sudan

    Iran yasikitishwa na shambulio la droni lililoua 70 hospitalini Darfur, Sudan

    Jan 27, 2025 08:56

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmail Baghaei amelaani shambulio la ndege isiyo na rubani dhidi ya hospitali moja katika mji wa El Fasher katika mkoa wa magharibi wa Darfur nchini Sudan, na kusababisha vifo vya makumi ya watu.

  • Iran yakanusha tuhuma za Israel za kupeleka silaha Lebanon

    Iran yakanusha tuhuma za Israel za kupeleka silaha Lebanon

    Jan 25, 2025 08:05

    Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amepuuzilia mbali madai ya Israel kamba Jamhuri ya Kiislamu inasafirisha kimagendo silaha kwenda Lebanon.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS