Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Sisitizo la Iran la kuendeleza mazungumzo na kubakisha machaguo yake, kuanzia makombora hadi ufungaji wa Lango-bahari la Hormuz

    Sisitizo la Iran la kuendeleza mazungumzo na kubakisha machaguo yake, kuanzia makombora hadi ufungaji wa Lango-bahari la Hormuz

    Feb 16, 2026 11:07

    Wakati mivutano kati ya Iran na Marekani inazidi kuongezeka, Tehran imesisitiza kuwa, machaguo yake yote yako mezani, licha ya mazungumzo yanayoendelea baina yake na Washington.

  • Araqchi: Sarakasi ya Munich dhidi ya Iran imedhihirisha namna Ulaya ilivyopoteza ushawishi wake wa kijiopolitiki

    Araqchi: Sarakasi ya Munich dhidi ya Iran imedhihirisha namna Ulaya ilivyopoteza ushawishi wake wa kijiopolitiki

    Feb 15, 2026 08:00

    Abbas Araqchi Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa Mkutano wa Usalama wa Munich uliokua na mtazamo dhidi ya Iran umegeuka na kuwa kongamano la sakarakasi na hivyo kudhihirisha namna Ulaya ilivyopoteza ushawishi wake wa kijiopolitiki na umuhimu wa kistratejia.

  • Baqaei: Mashinikizo ya kisiasa hayawezi kudhoofisha haki ya Iran ya kurutubisha urani

    Baqaei: Mashinikizo ya kisiasa hayawezi kudhoofisha haki ya Iran ya kurutubisha urani

    Feb 15, 2026 07:58

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa haki "isiyoweza kubatilishwa" ya Iran ya kurutubisha madini ya urani haiwezi kudhoofishwa na mashinikizo ya kisiasa.

  • Kwa nini Grossi amekiri haki ya Iran ya kurutubisha urani?

    Kwa nini Grossi amekiri haki ya Iran ya kurutubisha urani?

    Feb 13, 2026 11:21

    Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) amekiri kwamba, Iran kama nchi iliyotia saini Mkataba wa Kuzuia Uenezaji wa Silaha za Nyuklia (NPT), ina haki ya kurutubisha urani.

  • Kiongozi Muadhamu awashukuru wananchi kwa kuwakatisha tamaa maadui katika maandamano ya mamilioni ya watu

    Kiongozi Muadhamu awashukuru wananchi kwa kuwakatisha tamaa maadui katika maandamano ya mamilioni ya watu

    Feb 13, 2026 07:21

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amewasifu na kuwapongeza wananchi wa Iran kwa kujitokeza kwa wingi kote nchini katika maandamano ya maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu na kusema kuwa maandamano hayo yamewakatisha tamaa maadui.

  • Mkuu wa IAEA: Iran-mwanachama wa NPT, ina haki ya kurutubisha urani

    Mkuu wa IAEA: Iran-mwanachama wa NPT, ina haki ya kurutubisha urani

    Feb 13, 2026 02:04

    Rafael Grossi, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA), amesema katika mahojiano na gazeti la Financial Times kwamba, Iran kama nchi iliyotia saini Mkataba wa Kuzuia Uenezaji wa Silaha za Nyuklia (NPT), ina haki ya kurutubisha urani.

  • Pezeshkian apongeza hamasa kubwa ya wananchi waliojitokeza katika maadhimisho ya tarehe 22 Bahman

    Pezeshkian apongeza hamasa kubwa ya wananchi waliojitokeza katika maadhimisho ya tarehe 22 Bahman

    Feb 12, 2026 11:24

    Rais Masoud Pezeshkian amewapongeza na kuwashukuru wananchi wa Iran kwa kujitokeza kwa wingi "katika hamasa ya aina yake" katika maandamano ya kitaifa kote nchini ya maadhimisho ya kumbukumbu ya miaka 47 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.

  • Admeri Shamkhani asisitiza: Mpango wa makombora wa Iran hautajadiliwa katu

    Admeri Shamkhani asisitiza: Mpango wa makombora wa Iran hautajadiliwa katu

    Feb 12, 2026 06:31

    Uwezo wa makombora ya balestiki ya Iran ni "mstari mwekundu" ambao hautawekwa katu kwenye meza ya mazungumzo. Hayo yameelezwa na afisa wa ngazi ya juu wa ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Baada ya mkutano wake na Netanyahu, Trump asema mazungumzo na Iran inapasa yaendelee

    Baada ya mkutano wake na Netanyahu, Trump asema mazungumzo na Iran inapasa yaendelee

    Feb 12, 2026 06:31

    Rais wa Marekani Donald Trump ameeleza baada ya kukutana na waziri mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu kwamba mkutano huo ulikuwa "mzuri sana" na akasema: "nimesisitiza kwamba mazungumzo na Iran inapasa yaendelee."

  • Kengele ya hatari ya Russia kuhusu matokeo mabaya ya chokochoko yoyote dhidi ya Iran

    Kengele ya hatari ya Russia kuhusu matokeo mabaya ya chokochoko yoyote dhidi ya Iran

    Feb 11, 2026 10:29

    Serikali ya Russia imeonya kuhusu matokeo mabaya ya kuanzisha chokochoko yoyote dhidi ya Iran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS