-
Waziri wa Mambo ya Nje: Magharibi inapaswa ichukue hatua nyingi ili Iran iweze kuwa na imani nayo
Jan 29, 2025 03:28Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ametoa mjibizo kwa kauli ya rais mpya wa Marekani aliyeonyesha hamu ya kufikia makubaliano na Iran, kwa kusisitiza kuwa, nchi za Magharibi zinapaswa kuchukua hatua nyingi ili kuifanya Iran iwe na imani nazo.
-
CIA yakiri kwamba mradi wa nyuklia wa Iran ni wa amani
Jan 12, 2025 03:03Mkuu wa shirika la kijasusi la Marekani (CIA) amekiri kwamba mradi wa nyuklia wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni wa kiraia na hakuna ushahidi wowote unaoonesha kuwa mradi huo umeelekea upande wa kijeshi.
-
Balozi wa Iran UN: Tuhuma za Marekani na Uingereza hazina msingi wowote
Nov 23, 2024 07:21Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amekanusha tuhuma dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu zilizotolewa na Marekani na Uingereza za eti kuvuruga amani katika eneo la Asia Magharibi na kuhusika na mapigano yanayoendelea Ukraine; akisisitiza kuwa tuhuma zote hizo hazina msingi wowote.
-
Iran yaionya Marekani kuhusu kukariri siasa zilizofeli za mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa
Nov 14, 2024 09:34Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameionya Marekani dhidi ya kuanzisha tena kampeni yake ya "mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa" dhidi ya Tehran na kusisitiza kwamba, majaribio ya hapo awali ya Washington ya kuishinikiza Iran yalishindwa na kugonga mwamba.
-
Iran: Madai ya kuhusika na njama za kutaka kuwaua viongozi wa Marekani hayana msingi wowote
Nov 09, 2024 07:39Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema, madai kwamba Iran ilihusika katika jaribio la kuwaua viongozi wa zamani au wa sasa wa Marekani yanakanushwa vikali na hayana msingi wowote.
-
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran: Wazayuni wanataka kuathiri uchaguzi wa Marekani
Oct 09, 2024 06:59Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa utawala wa Kizayuni unataka kupanua vita katika eneo la Magharibi mwa Asia lengo likiwa ni kuathiri matokeo ya uchaguzi ujao wa Marekani.
-
Iran yalaani hotuba ya Netanyahu katika Kongresi ya Marekani
Jul 25, 2024 11:20Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: Benjamin Netanyahu, mtenda jinai nambari moja wa utawala bandia wa Israel, amepakatwa kwenye mikono ya waungaji mkono wake baada ya miezi 9 ya mauaji ya kimbari na mauaji ya watoto wachanga; na fedheha ndilo neno dogo linaloweza kutumiwa kueleza kashfa hiyo.
-
Iran yajibu shutuma zisizo na msingi za Marekani kuhusu Yemen
Jun 20, 2024 07:09Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amezitaja tuhuma za Marekani dhidi ya Iran kuhusu Yemen kuwa hazina msingi wowote na kusema kwamba, Jamhuri ya Kiislamu daima imekuwa ikitilia mkazo utatuzi wa amani wa mgogoro wa Yemen kupitia njia za kidiplomasia.
-
Licha ya mauaji ya Rafah, US yasema Israel bado haijavuka 'mstari mwekundu' wa Biden
May 29, 2024 06:43Msemaji wa Baraza la Usalama wa Taifa la Marekani John Kirby amedai kuwa Israel haijakiuka "mstari mwekundu" wa Rais Joe Biden wa kuifanya Washington isitishe katika siku za usoni kuipatia Tel Aviv silaha za mashambulizi kwa sababu inavyohisi Marekani Israel haitaanzisha operesheni ya ardhini ya kuuvamia kikamilifu mji wa Rafah wa kusini mwa Ukanda wa Ghaza.
-
Iran yathibitisha imekuwa na mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja na Marekani
May 19, 2024 11:15Ofisi ya uwakilishi ya Iran katika Umoja wa Mataifa imethibitisha kuwa kumekuwepo na mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya Jamhuri ya Kiislamu na Marekani.