-
Iraq yatakiwa kuchunguza wizi wa mafuta yanayopelekwa Israel
Jun 18, 2022 11:28Serikali ya Iraq imetakiwa ifanye uchunguzi wa kina kuhusu wizi wa mafuta ya nchi hiyo katika eneo lenye mamlaka ya ndani la Kurdistan, kaskazini mwa nchi na kupelekwa katika ardhi za Wapalestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
-
Kauli zisizo za kirafiki za Fuad Hussein; ulazima wa kutoa ufafanuzi uko kwa Iran au Iraq?
Jun 15, 2022 08:09Waziri wa mambo ya nje wa Iraq, kwa mara ya kwanza ametoa matamshi ya kuituhumu Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwamba inaingilia masuala ya ndani ya nchi yake na kudai kuwa uhusiano wa Iran na Iraq umetoka kwenye hatua ya "ukimya" na kufikia hatua ya kuhitajika "ufafanuzi".
-
Nujaba: Hashdu Shaabi itaendelea kupambana na ugaidi wa US, Israel nchini Iraq
Jun 15, 2022 02:30Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya al-Nujaba nchini Iraq amesema Jeshi la kujitolea la wananchi wa Iraq la al-Hashdu-Sha'abi limefanikiwa kuzima njama nyingi za maadui dhidi ya taifa hilo la Kiarabu, na litaendelea kupambana na ugaidi wa Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel nchini humo.
-
Hashdu Shaabi yashambulia maficho ya magaidi Iraq; yaua kadhaa miongoni mwao
Jun 07, 2022 08:03Wanamapambano wa harakati ya wanamuqawa ya Hashdu Shaabi ya Iraq wameshambulia ngome na maficho ya mabaki ya wanachama wa magenge ya kigaidi yanayoungwa mkono na nchi ajinabi kaskazini mwa Baghdad, mji mkuu wa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Hatua muhimu mno ya kiistratijia ya Bunge la Iraq; uhusiano wowote na Israel ni uhalifu
May 28, 2022 07:10Juzi Alkhamisi tarehe 26 Mei, 2022, Bunge la Iraq lilipasisha kwa kauli moja sheria ya kutambua kuwa ni uhalifu, hatua yoyote ya kuweka uhusiano wa kawaida baina ya nchi hiyo na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Bunge la Iraq lapasisha sheria ya kupiga marufuku kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel
May 27, 2022 11:10Bunge la Iraq limepasisha kwa kauli moja sheria ya kupiga marufuku ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Mkuu wa maulamaa wa Iraq: Marekani inadhamini 85% ya silaha za DAESH (ISIS)
May 25, 2022 10:39Mkuu wa Muungano wa Maulamaa wa Kiislamu Iraq amesema, Marekani ndiyo inayodhamini asilimia 85 ya silaha za kundi la kigaidi na ukufurishaji la DAESH (ISIS).
-
Rasimu ya kupiga marufuku uhusiano wa kawaida na Israeli yapitishwa katika bunge la Iraq
May 14, 2022 02:12Bunge la Iraq limeidhinisha rasimu ya sheria inayopiga marufuku kuanzisha au kuwa na uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel. Rasimu hiyo inatoa adhabu ya kifo kwa mtu yeyote atakayepatikana na hatia ya kuhusika na uhalifu huo.
-
Barhum Salih asisitiza udharura wa kukabiliana na ugaidi na vitisho vya usalama
May 10, 2022 04:13Rais wa Iraq amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Ulinzi wa nchi hiyo ambapo amemueleza kuhusu hatua za karibuni za kupambana na masalia ya kundi la kigaidi la Daesh .
-
Ujumbe wa Idi wa makundi ya muqawama: Mapambano dhidi ya mabeberu yataendelea
May 04, 2022 02:36Brigedi za Hizbullah nchini Iraq zimesema kuwa, zitaendeleza muqawama na kushikamana vilivyo na Uislamu hadi pale ubeberu wa madola ya Magharibi utakapoangamizwa katika nchi za Waislamu.