-
Waziri Mkuu wa Iraq akanusha kuwepo kituo chochote cha kijeshi cha Marekani nchini humo
Dec 31, 2018 03:23Waziri Mkuu wa Iraq amesema, hakuna kituo chochote cha kijeshi cha Marekani au cha nchi nyengine yoyote ya kigeni ndani ya ardhi ya nchi hiyo, na kwamba vituo vyote vya kijeshi ni vya Iraq.
-
Iran: Safari ya kinyemela ya Trump Iraq ni kuwakosea heshima Wairaq
Dec 28, 2018 21:37Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema safari ya siri na ya kushtukiza ya Rais Donald Trump wa Marekani nchini Iraq imekiuka misingi yote ya udiplomasia na ni kutoheshimu uhuru wa kujitawala nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Ayatullah Khatami: Safari ya siri ya Trump nchini Iraq ni ithibati ya kudhalilika Marekani katika eneo
Dec 28, 2018 12:39Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran, ameashiria safari ya kificho na ya kushtukiza ya Rais Donald Trump wa Marekani, akifuatana na mkewe Melania nchini Iraq na kusema kuwa, licha ya Marekani kutumia matrilioni ya dola katika eneo la Mashariki ya Kati, lakini rais wake amelazimika kufanya safari ya siri katika nchi moja ya eneo.
-
Ubalozi wa Marekani Baghdad washambuliwa baada ya safari ya kinyemela ya Trump nchini Iraq
Dec 27, 2018 04:16Ubalozi wa Mrekani mjini Baghdad nchini Iraq umeshambuliwa kwa maroketi mapema leo Alkhamisi masaa machache baada ya Rais wa nchi hiyo, Donald Trump kufanya safari ya kinyemela nchini Iraq akiandamana na mkewe.
-
Hizbullah Iraq: Kuondoka Marekani syria ni ishara ya kushindwa Washington
Dec 22, 2018 21:39Harakati ya Hizbullah ya Iraq imetangaza kuwa, kuondoka kwa majeshi ya Marekani nchini Syria kuna maana ya kushindwa stratijia za jeshi la nchi hiyo.
-
Karibu raia 11,000 wa Tunisia walijiunga na magaidi katika nchi za Iraq na Syria
Dec 21, 2018 23:31Kituo kimoja cha utafiti cha Marekani kimetangaza kuwa, karibu raia 11,000 wa Tunisia walijiunga na magenge ya kigaidi katika nchi za Iraq na Syria.
-
Qassemi: Uhusiano mzuri wa Iran na Iraq unaendelea
Dec 17, 2018 10:23Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, licha ya kuweko njama zisizo na natija za Marekani, uhusiano wa Tehran na Baghdad upo katika kiwango kizuri.
-
Jeshi la anga la Iraq lafanya oparesheni dhidi ya Daesh katika ardhi ya Syria
Dec 16, 2018 11:48Wanamgambo kadhaa wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh wameangamizwa katika shambulio la anga la jeshi la Iraq lililolenga mkusanyiko wa viongozi wa Daesh katika eneo la al Susah mkoani Deir Zor nchini Syria.
-
Rais wa Iraq aishukuru Iran kwa msaada katika vita dhidi ya ISIS (Daesh)
Dec 15, 2018 23:12Rais wa Iraq ameishukuru kwa dhati Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa msaada wake katika vita vilivyopelekea kushindwa magaidi wakufurishaji wa kundi la ISIS au Daesh nchini humo.
-
Timu nyingine ya magaidi wa Daesh yasambaratishwa nchini Iraq
Dec 08, 2018 12:04Vikosi vya ulinzi vya Iraq vimetangaza habari ya kusambaratishwa timu nyingine ya magaidi huko magharibi mwa mji wa al Ramadi, makao makuuu ya mkoa wa al Anbar.