Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iraq

  • Kukiri balozi wa UK kwamba waitifaki wa Marekani ndio wafadhili wakubwa kifedha wa ugaidi nchini Iraq

    Kukiri balozi wa UK kwamba waitifaki wa Marekani ndio wafadhili wakubwa kifedha wa ugaidi nchini Iraq

    Nov 29, 2018 23:17

    Balozi wa Uingereza nchini Iraq Jonathan Wilks, ametoa matamshi muhimu kwa kukiri kwamba Qatar, Saudi Arabia na Imarati (UAE) ndio waliofadhili ugaidi nchini Iraq kwa kiwango kikubwa zaidi cha fedha.

  • Hashdu sh-Sha'abi yafichua njama za Marekani za kutaka kushambulia ngome zake Iraq

    Hashdu sh-Sha'abi yafichua njama za Marekani za kutaka kushambulia ngome zake Iraq

    Nov 26, 2018 01:04

    Harakati ya wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi nchini Iraq kupitia mbunge mmoja wa nchi hiyo imeeleza kwamba, Marekani inapanga njama za kutekeleza shambulizi dhidi ya ngome na wapiganaji wake.

  • Magaidi wa Daesh waendelea kuangamizwa kaskazini mwa Iraq

    Magaidi wa Daesh waendelea kuangamizwa kaskazini mwa Iraq

    Nov 21, 2018 23:51

    Magaidi wasiopungua 15 wa ISIS wameangamizwa kwenye operesheni ya jeshi la Iraq katika mkoa wa Salahuddin wa kaskazini mwa nchi hiyo.

  • Kiongozi Muadhamu: 'Iraq yenye nguvu na tulivu' isimame kidete mbele ya maadui

    Kiongozi Muadhamu: 'Iraq yenye nguvu na tulivu' isimame kidete mbele ya maadui

    Nov 17, 2018 13:13

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei leo amekutana na Rais Barham Ahmed Salih wa Iraq hapa mjini Tehran na kusema kuwa, njia ya kuvuka matatizo na kukabiliana na njama za wasiotaka mema ni kulinda umoja wa kitaifa wa Iraq, kuwafahamu vizuri marafiki na maadui na kusimama kidete mbele ya adui sambamba na kuwategemea vijana na kulinda na kuimarisha mahusiano na umarjaiya au wanazuoni wa kidini.

  • Zaidi ya magaidi 24 wa ISIS wauawa nchini Iraq

    Zaidi ya magaidi 24 wa ISIS wauawa nchini Iraq

    Nov 17, 2018 13:00

    Zaidi ya magaidi 24 wa genge la ukufurishaji la Daesh (ISIS) wameuawa katika mashambulizi ya anga na nchi kavu yaliyofanywa kwenye maeneo tofauti na wanajeshi wa Iraq katika opereseheni ya kuyasafisha mabaki ya magaidi hao katika nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Rais Rouhani ampokea rasmi Rais wa Iraq mjini Tehran

    Rais Rouhani ampokea rasmi Rais wa Iraq mjini Tehran

    Nov 17, 2018 04:37

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mapema leo amempokea rasmi mwenzake wa Iraq, Barham Salih katika makao makuu yake ya Saadabad mjini Tehran.

  • Malengo ya safari ya kwanza nje ya nchi ya Rais wa Iraq huko Kuwait

    Malengo ya safari ya kwanza nje ya nchi ya Rais wa Iraq huko Kuwait

    Nov 12, 2018 09:09

    Barham Salih, Rais mpya wa Iraq jana Jumapili aliwasili nchini Kuwait ikiwa ni kituo chake cha kwanza katika safari yake ya kieneo ya kuzitembelea nchi kadhaa za Ghuba ya Uajemi.

  • Kharrazi: Kuwepo Marekani nchini Afghanistan kumezidisha matatizo ya kiusalama

    Kharrazi: Kuwepo Marekani nchini Afghanistan kumezidisha matatizo ya kiusalama

    Nov 12, 2018 04:47

    Mkuu wa Baraza la Kistratejia la Uhusiano wa Nje la Iran amesema kuwa Marekani imezidisha tu matatizo ya kiuaslama kwa Afghanistan baada ya kuweko nchini humo kwa muda wa miaka 17.

  • Qassemi: Magaidi watashindwa kulipiza kipigo walichopata Iraq

    Qassemi: Magaidi watashindwa kulipiza kipigo walichopata Iraq

    Nov 12, 2018 01:00

    Iran imelaani na kulitaja kuwa la kinyama shambulio la kigaidi lililofanywa katika mji wa Mosul kaskazini mwa Iraq na kueleza kuwa magaidi watagonga mwamba katika juhudi zao za kujaribu kulipiza kisasi kipigo walichopata kutoka kwa serikali na wananchi wa nchi hiyo.

  • Bunge la Iraq lataka kutimuliwa nchini humo askari wa Marekani

    Bunge la Iraq lataka kutimuliwa nchini humo askari wa Marekani

    Nov 11, 2018 10:02

    Mwanasiasa wa ngazi za juu wa Iraq amesema Bunge la nchi hiyo linatazamiwa kujadili hoja ya kuondoka kikamilifu wanajeshi wa Marekani katika nchi hiyo ya Kiarabu huku Baghdad ikiituhumu Washington kuwa inaingilia masuala yake ya ndani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS