Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iraq

  • UN: DAESH (ISIS) imeacha makaburi ya halaiki zaidi ya 200 yenye maelfu ya viwiliwili nchini Iraq

    UN: DAESH (ISIS) imeacha makaburi ya halaiki zaidi ya 200 yenye maelfu ya viwiliwili nchini Iraq

    Nov 06, 2018 12:58

    Makaburi zaidi ya 200 ya halaiki ambayo ndani yake yana maelfu ya viwiliwili yamegunduliwa katika maeneo kadhaa nchini Iraq yaliyokuwa yakikaliwa na kundi la kigaidi na ukufurishaji la DAESH (ISIS).

  • Rais Rouhani: Marekani itafeli tu katika njama zake mpya dhidi ya Iran

    Rais Rouhani: Marekani itafeli tu katika njama zake mpya dhidi ya Iran

    Oct 31, 2018 12:22

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, licha ya kuwepo vikwazo vya Marekani dhidi ya Tehran, lakini nchi nyingi duniani za Asia na Ulaya zina hamu ya kuendeleza ushirikiano wao na Iran.

  • Wafanyaziara milioni 15 wamefika Karbala kushiriki kwenye Arubaini ya Imam Hussein (as)

    Wafanyaziara milioni 15 wamefika Karbala kushiriki kwenye Arubaini ya Imam Hussein (as)

    Oct 30, 2018 03:56

    Baraza la Mkoa wa Karbala nchini Iraq limetangza kuwa limesajili wafanyaziara milioni 15 walioingia nchini humo kwa ajili ya Arubaini ya Imam Hussein (as) huku idadi ya mazuwari hao ikiwa inaendelea kuongezeka.

  • Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran aelekea Najaf Iraq kushiriki maandamano ya Arubaini

    Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran aelekea Najaf Iraq kushiriki maandamano ya Arubaini

    Oct 30, 2018 01:15

    Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo anaelekea mjini Najaf, Iraq, kwa ajili ya kushiriki katika maandamano ya Arubaini ya Imam Husain AS na pia kufanya ziara katika Haram tukufu ya Imam Ali AS.

  • Siku moja kabla ya Arubaini ya Imam Hussein (as) zaidi ya wafanyaziara milioni 10 wameshazuru Karbala

    Siku moja kabla ya Arubaini ya Imam Hussein (as) zaidi ya wafanyaziara milioni 10 wameshazuru Karbala

    Oct 29, 2018 04:45

    Naibu Mkuu wa Mkoa wa Karbala nchini Iraq amesema: Hadi sasa zaidi ya wafanyaziara milioni 10 wamewasili mkoani humo kwa lengo la kushiriki Arubaini ya Imam Hussein (as).

  • Kuangamizwa ugaidi ndicho kipaumbele kikuu cha serikali mpya ya Iraq

    Kuangamizwa ugaidi ndicho kipaumbele kikuu cha serikali mpya ya Iraq

    Oct 29, 2018 01:06

    Jumamosi iliyopita Waziri Mkuu mpya wa Iraq, Adil Abdul-Mahdi alikutana na viongozi kadhaa wa ngazi za juu wa kijeshi na kiusalama nchini humo ambapo alisisitizia ulazima wa kuendelezwa mapambano dhidi ya makundi ya kigaidi hadi kukatwa kibisa mizizi yake.

  • Magaidi wa ISIS walijizatiti vilivyo Iraq, maghala mengine ya kemikali yagunduliwa Salahuddin, al Anbar

    Magaidi wa ISIS walijizatiti vilivyo Iraq, maghala mengine ya kemikali yagunduliwa Salahuddin, al Anbar

    Oct 26, 2018 21:52

    Vikosi vya usalama vya Iraq vimegundua maghala mengine ya silaha za kemikali za genge la kigaidi la Daesh (ISIS) katika mikoa ya Salahuddin na al Anbar, jambo ambalo linathibitisha ni kiasi gani magaidi hao walikuwa wamejizatiti kwa silaha za kila namna hasa za kemikali na za mauaji ya umati.

  • Arubaini ya Imam Husain AS, nembo ya umoja baina ya Iran na Iraq

    Arubaini ya Imam Husain AS, nembo ya umoja baina ya Iran na Iraq

    Oct 26, 2018 10:08

    Maandamano ya mamilioni ya watu katika Arubaini ya Imam Husain AS na wajibu wa kuimarishwa kadiri inavyowezekana uhusiano wa Tehran na Baghdad ndiyo ajenda kuu ya mazungumzo ya simu yaliyofanywa baina ya mawaziri wa mambo ya nje wa Iran na Iraq.

  • Kumbukumbu ya hamasa ya Arubaini ya Imam Hussein AS; nembo ya umoja wa Waislamu ulimwenguni na mshikamano wa mataifa ya Iran na Iraq

    Kumbukumbu ya hamasa ya Arubaini ya Imam Hussein AS; nembo ya umoja wa Waislamu ulimwenguni na mshikamano wa mataifa ya Iran na Iraq

    Oct 14, 2018 03:19

    Viongozi wa makabila yanayohamahama ya maeneo ya kusini mwa Iran na Iraq Ijumaa iliyopita walifanya mkutano katika mji wa Basra uliokuwa na nara inayosema. "Kumpenda Imam Hussein AS, Sababu ya Umoja Wetu".

  • Changamoto zinazomkabili Adil Abdul-Mahdi kwa ajili ya kuunda baraza la mawaziri nchini Iraq

    Changamoto zinazomkabili Adil Abdul-Mahdi kwa ajili ya kuunda baraza la mawaziri nchini Iraq

    Oct 09, 2018 08:31

    Baada ya Adil Abdul-Mahdi kuchaguliwa kuwa Waziri Mkuu wa Iraq, tayari kumeanza mazungumzo na mashauriano yenye lengo la kuunda baraza la mawaziri nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS