Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iraq

  • Muungano unaoongozwa na Marekani umeua raia wasio na hatia wa Iraq

    Muungano unaoongozwa na Marekani umeua raia wasio na hatia wa Iraq

    Nov 28, 2016 04:16

    Raia wasiopungua 18 wameuliwa katika eneo la makaazi ya raia la mji wa Mosul kaskazini mwa Iraq katika shambulio lililofanywa na muungano unaoongozwa na Marekai kwa kisingizio cha kupambana na ugaidi nchini humo.

  • Huffington Post: Arubaini ya Imam Hussein AS ni mkusanyiko mkubwa zaidi duniani

    Huffington Post: Arubaini ya Imam Hussein AS ni mkusanyiko mkubwa zaidi duniani

    Nov 27, 2016 12:43

    Gazeti mashuhuri la The Huffington Post la nchini Marekani limeandika Makala kuhusu ziara ya mamilioni ya watu katika kumbukumbu ya Arubaini ya Imam Hussein AS, mjukuu wa Mtume Muhammad SAW, na kusema kuwa, huo ni mkusanyiko mkubwa zaidi wa kidini duniani.

  • Al Maliki: Uwahabi uwekwe kwenye orodha ya makundi ya kigaidi

    Al Maliki: Uwahabi uwekwe kwenye orodha ya makundi ya kigaidi

    Nov 27, 2016 02:11

    Waziri Mkuu wa zamani wa Iraq ametoa wito wa kuwekwa kundi la Kiwahabi katika orodha ya makundi ya kigaidi duniani.

  • Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran alaani shambulio la kigaidi dhidi ya Mazuwwar nchini Iraq

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran alaani shambulio la kigaidi dhidi ya Mazuwwar nchini Iraq

    Nov 25, 2016 11:49

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amelaani vikali shambulio la jana la kigaidi mjini Hilla Iraq lililopelekea kuuawa shahidi zaidi ya wafanyaziara 80 wa Imam Hussein as wakiwemo Mazuwwar 40 wa Kiirani.

  • Hizbullah yasisitiza kuendeleza mapambano dhidi ya magaidi hadi kuwaangamiza kikamilifu

    Hizbullah yasisitiza kuendeleza mapambano dhidi ya magaidi hadi kuwaangamiza kikamilifu

    Nov 25, 2016 11:41

    Harakati ya Mapambano ya Hizbullah ya Lebanon imesisitiza juu ya kuendeleza mapambano dhidi ya makundi ya kigaidi na kitakfiri na kuyatokomeza kikamilifu.

  • Ripoti: Genge la Daesh linawashikilia Mayazidi 3500 wa Iraq

    Ripoti: Genge la Daesh linawashikilia Mayazidi 3500 wa Iraq

    Nov 25, 2016 04:28

    Kiongozi wa ofisi ya kufuatilia masuala ya raia wa Iraq wa kabila la Yazidi amesema kuwa, hadi sasa wanachama wa kundi la kigaidi la Daesh wanawashikilia mateka watu wa kabila hilo wapatao 3500.

  • Jaafari: Thuluthi moja ya Mosul imekombolewa na vikosi vya Iraq

    Jaafari: Thuluthi moja ya Mosul imekombolewa na vikosi vya Iraq

    Nov 22, 2016 04:22

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq amesema jeshi la nchi hiyo likishirikiana na vikosi vya kujitolea vya wananchi vimefanikiwa kukomboa thuluthi moja ya mji wa Mosul toka mikononi mwa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh.

  • Jeshi la Iraq lawatimua waandishi habari wa Saudia kutoka maeneo ya medani za kivita kwa upotoshaji

    Jeshi la Iraq lawatimua waandishi habari wa Saudia kutoka maeneo ya medani za kivita kwa upotoshaji

    Nov 21, 2016 10:48

    Jeshi la Iraq limetoa amri ya kuondolewa waandishi wote wa habari wa gazeti la Asharq Al-Awsat linalochapishwa nchini Saudia kutokana na vitendo vyao vya upotoshaji na kuwavunjia heshima wanawake wa Iraq katika maeneo ya operesheni za jeshi hilo na harakati ya wananchi.

  • Jahangiri: Matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein AS ni nembo ya amani na ukombozi

    Jahangiri: Matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein AS ni nembo ya amani na ukombozi

    Nov 20, 2016 23:31

    Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein AS ni nembo ya amani na ukombozi.

  • Zaidi ya Waislamu milioni 20 waadhimisha Arubaini ya Imam Hussein, Karbalaa Iraq

    Zaidi ya Waislamu milioni 20 waadhimisha Arubaini ya Imam Hussein, Karbalaa Iraq

    Nov 20, 2016 12:44

    Marasimu ya kumbukumbu ya Arubaini ya Imam al-Hussein (as) mjukuu wa Mtume Muhammad (saw) yamewakutanisha pamoja Waislamu wa Kisuni na Kishia zaidi ya milioni 20 kutoka ndani na nje ya Iraq mjini Karbala.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS