Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Spika wa Bunge la Iran atoa mwito wa kukomeshwa jinai za Israel

    Spika wa Bunge la Iran atoa mwito wa kukomeshwa jinai za Israel

    Jul 01, 2020 21:40

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) ametoa mwito wa kuchukuliwa hatua athirifu za kukomesha jinai za utawala haramu wa Israel, hususan mpango wa utawala huo ghasibu wa kupora ardhi zaidi za Wapalestina.

  • Hania aainisha malengo matatu ya Israel ya kupora ardhi za Palestina

    Hania aainisha malengo matatu ya Israel ya kupora ardhi za Palestina

    Jun 30, 2020 08:12

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema utawala wa Kizayuni wa wa Israel unafuatilia malengo matatu makuu katika mpango wake wa kutaka kutwaa ardhi ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • Iran: Iwapo Israel itapora ardhi zaidi za Wapalestina itapata jibu kali la wapigania ukombozi wa Palestina

    Iran: Iwapo Israel itapora ardhi zaidi za Wapalestina itapata jibu kali la wapigania ukombozi wa Palestina

    Jun 26, 2020 11:43

    Mshauri wa Spika wa Bunge la Iran katika masuala ya kimataifa ameuonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusu mpango wake wa kupora ardhi zaidi za Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • "Marekani kuikingia kifua Israel kumelishushia hadhi Baraza la Usalama"

    Jun 25, 2020 03:19

    Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema hatua ya Marekani ya kuendelea kuukingia kifua na kuunga mkono utawala wa Kizayuni wa Israel imelifanya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lipoteze hadhi yake na likose maana.

  • Jeshi la Israel latumia wanyama hai kufanyia majaribio silaha zake

    Jeshi la Israel latumia wanyama hai kufanyia majaribio silaha zake

    Jun 22, 2020 07:44

    Jeshi katili la utawala wa Kizayuni wa Israel linawatumia wanyama walio hai kufanyia majaribio silaha zake kwa siri.

  • Ansarullah: Saudia na Imarati zinashirikiana na Israel dhidi ya Waislamu

    Ansarullah: Saudia na Imarati zinashirikiana na Israel dhidi ya Waislamu

    Jun 19, 2020 23:33

    Kiongozi wa harakati ya wananchi wa Yemen ya Ansarullah amezionya vikali Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu dhidi ya kuendeleza njama za kutaka kuufanya wa kawaida uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel na kusisitiza kwamba, Riyadh na Abu Dhabi zinashirikiana na Tel Aviv ambayo inajulikana ni adui mkubwa wa ulimwengu wa Kiislamu.

  • Jeshi la Lebanon lajiweka sawa baada ya askari wa Israel kwenda mpakani

    Jeshi la Lebanon lajiweka sawa baada ya askari wa Israel kwenda mpakani

    Jun 19, 2020 23:27

    Jeshi la Lebanon limejiweka katika hali ya tahadhari baada ya kuripotiwa uwepo wa makumi ya wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika mpaka wa nchi hiyo ya Kiarabu na Palestina.

  • Israel kujenga 'vitongoji 300 vya Trump' katika Milima ya Golan, Syria

    Israel kujenga 'vitongoji 300 vya Trump' katika Milima ya Golan, Syria

    Jun 15, 2020 02:23

    Utawala ghasibu wa Israel unapanga kujenga mamia ya vitongoji vipya vya walowezi wa Kizayuni katika Miinuko ya Golan nchini Syria, vitakavyoitwa "Miinuko ya Trump".

  • Hamas yataka wanazuoni wa Kiislamu waunde kamati ya kuzima njama za Israel

    Hamas yataka wanazuoni wa Kiislamu waunde kamati ya kuzima njama za Israel

    Jun 14, 2020 22:41

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ametoa mwito kwa wanazuoni wa Kiislamu kuunda kamati ya uratibu itakayopewa jukumu la kuunda na kutekeleza mpango wa kistratajia wa kuunga mkono kadhia ya Palestina na kukabiliana na njama za utawala wa Kizayuni wa Israel na Rais Donald Trump wa Marekani zilizopewa jina la "Muamala wa Karne."

  • Waziri wa zamani wa Misri: Israel ni adui wa kiistratajia wa Wamisri

    Waziri wa zamani wa Misri: Israel ni adui wa kiistratajia wa Wamisri

    Jun 07, 2020 22:08

    Waziri wa zamani wa Misri ameutaja utawala wa Kizayuni wa Israel kama adui wa kistratajia wa wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu ya kaskazini mwa Afrika.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS