-
Shambulizi la anga la Israel laua na kujeruhi Wapalestina Gaza
Nov 02, 2019 08:55Mashambulizi ya anga ya ndege za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel yamepelekea kuuawa shahidi raia mmoja wa Palestina na kujeruhiwa wengine wawili.
-
Netanyahu asalimu amri, akiri kushindwa kuunda serikali
Oct 22, 2019 04:32Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu amekiri kuwa ameshindwa kuunda serikali ya muungano, baada ya mazungumzo ya kisiasa kati yake na mshindani wake mkuu katika uchaguzi uliopita wa bunge, Benny Gantz kugonga mwamba.
-
Kujitoa Trump katika JCPOA; ni katika kuiunga mkono Israel
Oct 13, 2019 08:40Rais wa Marekani amekiri kuwa alijitoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kwa sababu ya kuiunga mkono Israel.
-
Jeshi la Israel: Ndege zisizo na rubani za muqawama wa Palestina ni hatari kubwa kwetu
Oct 09, 2019 04:01Kamanda mmoja wa jeshi la utawala haramu wa Israel amesema kuwa, ndege zisizo na rubani za muqawama wa Palestina ni tishio kubwa na hatari kwa utawala huo.
-
Hamas: Njama ya kuuawa Jenerali Soleimani wa Iran ni kwa maslahi ya Israel
Oct 05, 2019 08:26Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imelaani vikali njama iliyotibuka ya nchi za Kiarabu na utawala wa Kizayuni wa Israel ya kutaka kumuua Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH), Meja Jenerali Qassem Soleimani.
-
Ripoti: Muungano wa Marekani-Saudia-Israel dhidi ya Iran unadorora katika mgogoro
Oct 05, 2019 03:15Muungano dhidi ya Iran ambao umeundwa na watawala wa Marekani, Israel na Saudi Arabia unadorora huku kila mmoja wa watawala wa nchi hizo akikumbwa na matatizo makubwa.
-
IRGC yatibua njama ya Waarabu na Wazayuni ya kumuua Jenerali Soleimani
Oct 03, 2019 10:22Kitengo cha Intelijensia cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) nchini Iran kimetibua njama za nchi za Kiarabu na utawala wa Kizayuni wa Israel za kumuua Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la SEPAH, Meja Jenerali Qassem Soleimani.
-
Filamu ya matukio: Bin Salman yuko tayari kuitambua rasmi Israel ikiwa Marekani itamsaidia kuishinda Iran
Oct 02, 2019 00:44Filamu mpya ya matukio ya kweli imefichua kuwa, mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia Mohammed Bin Salman, maarufu kama MbS alimuahidi Rais Donald Trump wa Marekani kuwa nchi yake itautambua rasmi utawala haramu wa Kizayuni wa Israel, ikiwa Marekani itausaidia utawala wa Aal Saud "kuishinda Iran na kuidhibiti Mashariki ya Kati."
-
Waziri Mkuu wa Iraq: Israel ndiyo inayoishambulia Hashdu Shaabi
Oct 01, 2019 04:26Waziri Mkuu wa Iraq ameubebesha dhima utawala wa Kizayuni wa Israel ya kutekeleza wimbi la mashambulizi dhidi ya harakati ya wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu ya Hashdu Shaabi.
-
Brigedia Jenerali Nilforooshan: Israel imezungukwa na Iran kila upande
Sep 28, 2019 08:53Kamanda wa ngazi za juu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema utawala wa Kizayuni wa Israel umezingirwa kila upande na Iran na kuuonya utawala huo haramu dhidi ya kuchukua hatua yoyote ya kichokozi dhidi ya taifa hili.